Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wadau,

Mdau Ruttashobolwa alileta hapa Uzi wa mdau mwengine wa humu W. J. Malecela akimshutumu Naibu Waziri wa Habari, Michezo Bi. Juliana Shonza ambae alikua pia ni mdau humu Jamiiforums. Shutuma za Lemutuz mainly zilihusiana na swala kwamba ni kwanini NW aliamua kwenda Radio Clouds kumjibu Diamond. Sasa leo tena Member huyu W. J. Malecela ameendelea kumshutumu Naibu waziri huyu kama inavyoonekana hapa chini,

LIVE STRAIGHT TALK:-
The Art of Small Minds yaani UJINGA ndio tatizo letu namba moja Wabongo sasa leo tunalilia kua Elimu yetu haifai badala ya kujiangalia Tulipojikwaa tunahangaikia Tulipoangukia guys we need a National Debate on kwanini Wabongo Elimu na Ustaarabu wake vinashindwa kutuondoa Ujinga Wabongo badala yake hata tuwe na Elimu kiasi gani tunaendelea kuwa Wajinga tu that is the issue here

Yaani seriously Waziri wa State anakwenda kituo cha Radio kinachoshiriki mambo ya kuwakataa Wasanii wasiotaka kuwapigia magoti and then na yeye anaungana na kituo kile kuanza kushambulia Wasanii wetu seriously unataka kuilalamikia Elimu yetu kua haifai? HAPANA tatizo ni sisi Wabongo guys we cant think rigjt tusisingizie Elimu hapana Elimu yetu ni nzuri sana sana ila Wabongo tuna Ujinga uliopitiliza kiasi that hata Elimu haiwezi kutusaidia ...

Kwani huyu Mungu Mtu anayekataa kupiga miziki ya Wasanii asiowataka kituoni kwake hana Elimu? sasa vijana wanaopata Elimu sasa hivi wanapo ona vituko vya Taifa kama hivi unategemea wafanye nini watakapomaliza Elimu zao? hivi ni nani Bongo asiyejua kua Vijana hufuata matendo sio maneno ya Watuwazima? ...

Leo Bongo tuna kitu kilichohalalalishwa kabisa Nationally kinaitwa FITNA utakuta watuwazima wanaiongelea like its fun guys it is not ni Ujinga at best ndio maana Vijana na Taifa letu linayumba mentally cause tuna watu wenye Elimu na Akili Kubwazz lakini they act like Hooligans na tunawashangilia like its funny guys it is not tutaendelea kuwa Wajinga mpaka mwisho wa Dunia kwa sababu tumeruhusu Roho zetu mbaya ambao ni Ujinga kutuongoza katika mambo muhimu na ya msingi ambayo yalihitaji Elimu kuonyesha utofauti wa walio na Elimu na wasiokua nayo period! ...

Kila kona ya hili Taifa leo ukiangalia yanayoendelea hasa kwenye media zetu ni UJINGA mtupu ndio unaotawala na tunaushangilia then tunageuka na kulaumu Elimu jamani kosa lake ni nini hasa? Enzi za utawala wa Mwalimu Radio Tanzania ilikua na Kamati maalum ya kuzipitia nyimbo zote mpya za Wasanii wetu ili kuhakikisha kua zipo sawa na maadili yetu lakini leo Elimu yetu imetufikisha kukaa mbali na Wasanii na kusubiri warekodi then tunawafungia

SHAME ON US! - @lemutuz_superbrand
 
SETTING THE RECORD STRAIGHT:-
Nimewasikia sana ila ninasema hivi mimi kama @lemutuz_superbrand nimeamua kutumia haki yangu ya Kikatiba ya Jamhuri in my life kum support @diamondplatnumz na ni ni kazi zake zaidi na wewe unayo haki ya kum support yoyote unayetaka ni haki yako Kikatiba ila sio haki yako kuniamulia nani wa kum support ...halafu Naibu Waziri hakukosea kufungia muziki wa Diamond HAPANA amekosea kwenda kwa "MUNGU MTU" anayemchukia Diamond na kuungana naye kumshambulia Diamond kwa maneno maneno mengi ya mafumbo mafumbo na usanii kwenye hilo KAKOSEA

Ukishafungia kazi za Msanii kwa makosa ya maadili imetosha ila sio tena kwenda kumdhalilisha kwenye kituo cha anayemchukia na asiyetaka kupiga muziki wake yaani nguvu kubwa mbili against kijana mdogo anayepiga muziki wake tu NINASEMA HAIKUA SAWA now kwa kufanya vile Naibu Waziri KAKOSEA SANA .....

Halafu mambo ya kufungia miziki na nguo za kina Gigy Money na Sanchi ni kazi ya Basata isiwe kazi ya Naibu Waziri cause kama kweli timefikia huko kwa Naibu Waziri kusimamia mavazi ya kina Gigy Money then hili Taifa tumefika mbali sana katika kurudi kinyume nyume kimaendeleo ....

Idea za kwamba eti Diamond anajiona mkubwa sana ninasema haiko sawa ni binadam na Mbongo mwenye haki ya kusimama na kusema anapoona ameonewa I mean seriously umenifungia muziki wangu halafu unaenda kushirikiana na anayenichukia kunishambulia mimi kama Diamond ninatakiwa nifanye nini? sasa naona kitendo chake cha kujibu mashambulizi ndio kinataka kuchukuliwa kama ishu bila ya kujali process iliyomfikisha kujibu.

Ninasema tena Naibu Waziri kakosea sana baada ya kufungia muziki wa Diamond angenyamaza na kama ilikua ni lazima aongee angeenda TBC kwenye neutral ground sio kwa MUNGU MTU that was wrong and I stand there kile kitendo kinaleta mashaka sana kama huenda huyu MUNGU MTU anahusika hata kwemye kufungia mziki wa Diamond maana inakuaje Naibu Waziri anaufungia na kuungana na adui wa Diamond kumshambulia tena Diamond I mean mbona mnataka kutufanya wananchi wote kama wajinga fulani hivi ambao hatuna uwezo wa kufikiri? - @lemutuz_superbrand
 
Nilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
 
Movie za kibongo hatuzifuatilii tunafuatilia za kina jet lee na Anold
 
Le mutuz

Kuna MUNGU MTU .............................
Kuna NAIBU RAIS...............................

SIJUI MSHINDI NANI...... MUNGU MTU AU NAIBU RAIS......... MKIPATA MAJIBU MNITAG
 
Ukali na hasira hizo angetumia kudai [HASHTAG]#KatibaMpya[/HASHTAG] wallahi serikali na chama chao wangesarenda. The guy is too bitter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…