Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Wadau,
Mdau Ruttashobolwa alileta hapa Uzi wa mdau mwengine wa humu W. J. Malecela akimshutumu Naibu Waziri wa Habari, Michezo Bi. Juliana Shonza ambae alikua pia ni mdau humu Jamiiforums. Shutuma za Lemutuz mainly zilihusiana na swala kwamba ni kwanini NW aliamua kwenda Radio Clouds kumjibu Diamond. Sasa leo tena Member huyu W. J. Malecela ameendelea kumshutumu Naibu waziri huyu kama inavyoonekana hapa chini,
LIVE STRAIGHT TALK:-
The Art of Small Minds yaani UJINGA ndio tatizo letu namba moja Wabongo sasa leo tunalilia kua Elimu yetu haifai badala ya kujiangalia Tulipojikwaa tunahangaikia Tulipoangukia guys we need a National Debate on kwanini Wabongo Elimu na Ustaarabu wake vinashindwa kutuondoa Ujinga Wabongo badala yake hata tuwe na Elimu kiasi gani tunaendelea kuwa Wajinga tu that is the issue here
Yaani seriously Waziri wa State anakwenda kituo cha Radio kinachoshiriki mambo ya kuwakataa Wasanii wasiotaka kuwapigia magoti and then na yeye anaungana na kituo kile kuanza kushambulia Wasanii wetu seriously unataka kuilalamikia Elimu yetu kua haifai? HAPANA tatizo ni sisi Wabongo guys we cant think rigjt tusisingizie Elimu hapana Elimu yetu ni nzuri sana sana ila Wabongo tuna Ujinga uliopitiliza kiasi that hata Elimu haiwezi kutusaidia ...
Kwani huyu Mungu Mtu anayekataa kupiga miziki ya Wasanii asiowataka kituoni kwake hana Elimu? sasa vijana wanaopata Elimu sasa hivi wanapo ona vituko vya Taifa kama hivi unategemea wafanye nini watakapomaliza Elimu zao? hivi ni nani Bongo asiyejua kua Vijana hufuata matendo sio maneno ya Watuwazima? ...
Leo Bongo tuna kitu kilichohalalalishwa kabisa Nationally kinaitwa FITNA utakuta watuwazima wanaiongelea like its fun guys it is not ni Ujinga at best ndio maana Vijana na Taifa letu linayumba mentally cause tuna watu wenye Elimu na Akili Kubwazz lakini they act like Hooligans na tunawashangilia like its funny guys it is not tutaendelea kuwa Wajinga mpaka mwisho wa Dunia kwa sababu tumeruhusu Roho zetu mbaya ambao ni Ujinga kutuongoza katika mambo muhimu na ya msingi ambayo yalihitaji Elimu kuonyesha utofauti wa walio na Elimu na wasiokua nayo period! ...
Kila kona ya hili Taifa leo ukiangalia yanayoendelea hasa kwenye media zetu ni UJINGA mtupu ndio unaotawala na tunaushangilia then tunageuka na kulaumu Elimu jamani kosa lake ni nini hasa? Enzi za utawala wa Mwalimu Radio Tanzania ilikua na Kamati maalum ya kuzipitia nyimbo zote mpya za Wasanii wetu ili kuhakikisha kua zipo sawa na maadili yetu lakini leo Elimu yetu imetufikisha kukaa mbali na Wasanii na kusubiri warekodi then tunawafungia
SHAME ON US! - @lemutuz_superbrand