Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Fact, redio inayowafungia wasanii kwa sababu kuu ya unyonyaji leo ndo wazir aende kuhojiwa huko
Kama si vituko ni nn???

Ndio maana hao clouds wanashadadia maana wao wenyewe hufungia nyimbo za watu tena bila sababu ya msingi tena bora basata kuliko hao wanaojikuta miungu watu
 
Nnakuunga mkono kabisaaa
 
Mange ana akili sana alishaona jinsi Bashite na hao kina diamond wanavyo jaribu kupoteza mjadala wa 26/4
Mnawazaje sijui, kwa hyo kisa tar26 ndo watu waonewe??

HIVI MTU ukisema unataka uandamane kutafuta haki yako. kwa mwenzio haibaki kua haki maigizo???

Mpaka huu ujinga siku ukitoka basi ndo tutakua akili moja
 
Dada wa taifa akiwa anasoma haya mabifu anacheka kihutu tu, mana wote wanaogombana hawapendi, maadui zake yani...
Hapana.. Dada wa taifa hawezi kufurahia haya yanayoendelea kwasababu yapo kwajili yakutuoa kwenye reli ya 26.4
 
Nafurahi kuona mziki wa taarabu ukirudi kwa namna nyingine
 
Watanzania ni waajabu sana mtu akidai haki yake ooooh katumwa na mtu yaani daah tuna safari ndefu sanaaa
 
Msimamo wa lemutuz ni msimamo wa bashite
Ki Msingi LE! kaona katika hawa Manaibu wawili, Mmoja ni Naibu Mkubwa zaidi kuliko Mwengine ingawa hayuko officially so bora awe upande wake.
 
Hivi kwenye interview ile ni wapi Clouds walimshambulia Diamond? ni kweli mlisikiliza ile interview?
 
Uko sahihi Gentamycine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…