Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Jazba nyingi,ubabe tu ilimradi mlio nidharau awali mnikome,nyodo aisee wacha vijana wapambane.Na kwa hali hii si ajabu projects nyingi wakapeleka kenya.
 
Le mutuz bamayeee Le mutuz mobimba Lemutuz Nyenyenyee Mara y kwanza kumfahamu Le mbebez ilikua mwaka juzi 2015 katika kicollage concert Udom alipokuja na Diamond,Mafikizoro n.k wakati ule wamewasili eneo la event alipanda stage akajipiga kifua mara3 akatupa bonge la Kiss

Safi sana Lemutuz nakukubali knoma.
 
Ki Msingi LE! kaona katika hawa Manaibu wawili, Mmoja ni Naibu Mkubwa zaidi kuliko Mwengine ingawa hayuko officially so bora awe upande wake.


Ila Makonda anamchafua mh Raisi sio mchezo, Naibu waziri anachambwa Na mtoto wa tandale kisa mlezi wao ni Makonda, mpaka mission town wakina seba na lemutuz wanamchamba waziri this is nooooo
 
Wacha picha liendelee
 
Le mutuz

Kuna MUNGU MTU .............................
Kuna NAIBU RAIS...............................

SIJUI MSHINDI NANI...... MUNGU MTU AU NAIBU RAIS......... MKIPATA MAJIBU MNITAG
piga simu namna hii umuulize nape nnauye
076781290⅔
 
Le mutuz ameshawahi kusema yeye ushauri wa mtu mwingine haufanyii kazi, unachoangalia yeye ni lile tumbo lake kubwa
 
Hapa kuna mtu anatafutwa nadhani huyu naibu waziri anatafutwa na team mako na diamond ndiye katumika kama chambo kumnasa
 
Hapa tatzo ni maslahi binafsi,Le Kokobanga na Dai' wapo kwenye team Bash Baby
Then,Bash Baby na Ruge a.k.a kichwa mtaji hawasikilizani cuz it's believed that kuachwa kwa Kichwa mtaji na Zam' Bash Baby ndyo alikuwa nyuma ya mchezo,pia si unakumbuka Bash Baby alishawahi kufanya ambush Pale studio so,kilichopo hapa Kichwa mtaji kwa kuwa yy ni gwiji wa kucheza na upepo huenda ameamua kumnunua Julie Shenz ili aweze kumtumia kama silaha kupambana na maadui zake
Lkn,yote kwa yote hawa team Ruge na team Bash Baby huenda kuna biashara ya giza walikuwa wakiifanya then kwa kuwa Ruge ni tapeli akaamua kum- double cross Zero brain from koromije land so,Mkoromije akaamua kutumia nguvu ya kiutwala aliyonayo kum-discipline Ruge
Kumbuka Bash Baby ndyo mlezi wa WCB...hapo unganisha dots utapata majibu mengi sana!
 
Hii Movie hata sieelewi. Ila sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Bongo bahati mbaya
 
Hivi kwenye interview ile ni wapi Clouds walimshambulia Diamond? ni kweli mlisikiliza ile interview?
Shida yko ni bendera fuata upepo,bashite ndio mlezi wcb na nyimbo kabla haijaenda hewani ziro brain anakagua na kutoa ruhusa,hizo nyimbo zote zilipita kwa ziro brain wenu akapitisha ziende hewani,leo huyo muuza nguru lumumba azuie.
Liko wazi hilo nyuma ya chibu yupo RC ndio anampa kiburi
 
Diamond,makonda,le mutuz vs shonza na mwakyembe ,hapa tayari upande wa mkuu umeshajulikana na mchezo umekwisha
 
Labda mi sijaelewa, utasemaje kuwa tatizo sio elimu yetu bali tatizo ni sisi wabongo na vichwa vyetu wakati sisi ni products za elimu hiyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…