Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point yake inakuwa ni upuuzi kuwahusisha clouds media na ujinga wa ShonzaLemtuz ana point.
So clouds inamshusha adi Roma?Lemtuz ana point.
Ki Msingi LE! kaona katika hawa Manaibu wawili, Mmoja ni Naibu Mkubwa zaidi kuliko Mwengine ingawa hayuko officially so bora awe upande wake.
Wacha picha liendeleeFACT,REDIO INAYOWAFUNGIA WASANII KWA SABABU KUU YA UNYONYAJI LEO NDO WAZIR AENDE KUHOJIWA HUKO
KAMA SI VITUKO NI NN???
NDO MANA HAO CLOUDS WANASHADADIA MAANA WAO WENYEWE HUFUNGIA NYIMBO ZA WATU TENA BILA SABABU YA MSINGI TENA BORA BASATA KULIKO HAO WANOJIKUTA MIUNGU WATU
piga simu namna hii umuulize nape nnauyeLe mutuz
Kuna MUNGU MTU .............................
Kuna NAIBU RAIS...............................
SIJUI MSHINDI NANI...... MUNGU MTU AU NAIBU RAIS......... MKIPATA MAJIBU MNITAG
Shida yko ni bendera fuata upepo,bashite ndio mlezi wcb na nyimbo kabla haijaenda hewani ziro brain anakagua na kutoa ruhusa,hizo nyimbo zote zilipita kwa ziro brain wenu akapitisha ziende hewani,leo huyo muuza nguru lumumba azuie.Hivi kwenye interview ile ni wapi Clouds walimshambulia Diamond? ni kweli mlisikiliza ile interview?
Hahahhaaaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Since Le = RC,
and Dai = RC
Hence Le = Dai, (Other things kept constant)