Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Elimu ya mwenzio hai kusaidii hata bebez zao. Acha unga oa
 
Hii elimu ya wazungu nimejiongeza leo. Kwa hiyo celebrities wa kidhungu ndio wakifanya house warming party wanatoza kiingilio sio? Kweli wazungu wametuzidi.

Nilishatangulia kusema i admire you. It takes a lot of courage to do what you do. Your parents must be very proud of you.
 
Huyu hapa, hahahaha....nilijua tu utaibuka! Mwanaume kupiga picha umeegemea magari ya watu ni low to the floor:eyebrows:!
 
Huyu hapa, hahahaha....nilijua tu utaibuka! Mwanaume kupiga picha umeegemea magari ya watu ni low to the floor:eyebrows:!

- Onlu kama ningekuwa sina gari, halafu vipi wewe unalo hebu weka hapa au ndio wale wale unasema Diamond alipopiga picha kwenye lile gari la MWanza Talapia Hotel ulikuwa ni ulimbukeni kama wako wa kutumia majina ya bandia kulalamikia wanaume wasiokujua hahahahahahaha

Le Mutuz
 
- Kwa sababu ni Celebrity ndio maana watu wapo radhi kulipa kuja, lets wazazi wako wapo very proud kuzaa mtoto anelala macho Social Media na kajina ya bandia kutukana watu wasiomjua na wala asiowajua hahahahahahaha U know!!

Le Mutuz
 
Hahaha. Inabidi besti yangu Nyani Ngabu aje asafishe hali ya hewa. Hivi admiring ni tusi eh?

Nikikuambia im not even the family pearl, but we humbly live and respect each other. Celebrity life aint my thing kiukweli, uzuri what i do for a living doesnt require publicity. I mean unnecessary publicity, wananijua wadau tu.
- Kwa sababu ni Celebrity ndio maana watu wapo radhi kulipa kuja, lets wazazi wako wapo very proud kuzaa mtoto anelala macho Social Media na kajina ya bandia kutukana watu wasiomjua na wala asiowajua hahahahahahaha U know!!

Le Mutuz
 
Last edited by a moderator:

- How I make my living requires the public to know so that I can make more bucks on the next mission, so relax and no body cares about your things cause you are not a Celebrity!! like me!! hahahahahaha

Le Mutuz
 
And you think i care about 'your things' because you are a 'celebrity'?
Hahaha no pun intended, you should get a slot the guiness book like that nigerian prezidaa
- How I make my living requires the public to know so that I can make more bucks on the next mission, so relax and no body cares about your things cause you are not a Celebrity!! like me!! hahahahahaha

Le Mutuz
 
- How I make my living requires the public to know so that I can make more bucks on the next mission, so relax and no body cares about your things cause you are not a Celebrity!! like me!! hahahahahaha

Le Mutuz

Ma nigga...what up though...? You good?
 
Hahaha hebu toka hapa. Dont whatsup me wakati wewe sio celebrity. Hebu clear ze air kwanza, mi namuambia le pipoz i admire him afu anagoma. Nimemind kichizi, leo gym two hours kukomeshea
Hey you, what up?
 
Mwacheni aoe awe na majukumu, mnataka abaki kama nyinyi kukesha kwenye miziki, disco kama popo, kaoe upunguze stress maana k za kununua kila siku zinachosa, ukiwa hauna kitu uchekewii.
 
Kwa hiyo Mosha kamm..oa le mtuz halafu naye anaoa? Ujinga mtupu. Mwanamume lazima ajisimamie
 
Hahaha hebu toka hapa. Dont whatsup me wakati wewe sio celebrity. Hebu clear ze air kwanza, mi namuambia le pipoz i admire him afu anagoma. Nimemind kichizi, leo gym two hours kukomeshea

Teh teh teh...napiga picha umejikunja ukifanya crunches huku una grunt....le mutuz le mutuz le mutuz...you son of a bitch le mutuz....son of a bitch
Halafu unasema mi sio celeb? Mi celebrity trainer siku hizi...oohooooo
 
im gonna do 100 extra crunches for le mutuz hakyamama. And you aint no celeb trainer lest i fit this bum into lupita nyong'o's white maxi dress aliyochukua nayo award. You heard!
Teh teh teh...napiga picha umejikunja ukifanya crunches huku una grunt....le mutuz le mutuz le mutuz...you son of a bitch le mutuz....son of a bitch
Halafu unasema mi sio celeb? Mi celebrity trainer siku hizi...oohooooo
 
Kwa hiyo Mosha kamm..oa le mtuz halafu naye anaoa? Ujinga mtupu. Mwanamume lazima ajisimamie

- Kaka lazima utakuwa umeolewa kwanza ndio maana unaweza kusema maneno kama haya, duh sikutegemea mtu kama wewe mwanaume unaweza kuwa umeolewa duh! hahahahahah

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…