William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
im gonna do 100 extra crunches for le mutuz hakyamama. And you aint no celeb trainer lest i fit this bum into lupita nyong'o's white maxi dress aliyochukua nayo award. You heard!
Acha utoto we kibabu....
Acha usodoma!!!!
- On my way to Double Tree Hilton Hotel Masaki for Dinner business meeting later!!
Le Mutuz
- Kama unaofanyiwa mpaka kujipa ID ya mbwa hahahahahahaa
Le Mutuz
- Alinisaidia sana kuijenga upya nyumba ya mama yangu that is enough, hakupaswa kunialika kwenye harusi ila juzi aliniaambia anarudi kesho nionane naye so pole sana mkuu ila hii ni AKILI KUBWA SANA KWAKO!! hahahahaha
Le Mutuz
- Kaka lazima utakuwa umeolewa kwanza ndio maana unaweza kusema maneno kama haya, duh sikutegemea mtu kama wewe mwanaume unaweza kuwa umeolewa duh! hahahahahah
Le Mutuz
Mmmmh ile nyumba ya mama yako???
Pale ndio imejengwa???
Kweli una akili kubwa kushinda yangu
Hahahahahahsh king of all social media.......
Kumbe jamaa bado kapera...
Duuuh jamaaa n hatareee ile nyumba imejengwa upya cjui ni macho yangu hayaoni vizuri.kweli jamaa mwili mkubwa n akili kubwa
Some of us ar not celebrities but we go to double tree for a casual dinner. Trust me, coral beach, sea cliff and double tree ni sehemu za kawaida kabisa and not such a big deal. Tunahold trainings ama meetings hadi tunachoka menu zao.
For a weekend sleep over just to recharge the batteries with hubby tunaendabali kidogo huko nungwi shamba pia kuna hilton double tree. Hongera kwa kikao, dont forget to eat healthy
- Alinisaidia sana kuijenga upya nyumba ya mama yangu that is enough, hakupaswa kunialika kwenye harusi ila juzi aliniaambia anarudi kesho nionane naye so pole sana mkuu ila hii ni AKILI KUBWA SANA KWAKO!! hahahahaha
Le Mutuz
king'asti kwa nini unamshushua bigi selebriti??? Nani kakupa ruhusa????
Halafu mpaka uzeeni bigi selebriti anaposti insta picha za vyakula..... Kweli heri upate akili kubwa mwili mdogo kuliko kupata mwili jumba akili kisoda
King'asti kwa nini unamshushua bigi selebriti??? Nani kakupa ruhusa????
Halafu mpaka uzeeni bigi selebriti anaposti insta picha za vyakula..... kweli heri upate akili kubwa mwili mdogo kuliko kupata mwili jumba akili kisoda
Mie sijamshushua. Namuambia tu naona anatamba na hizo hotels na offer za dinner. Mie naenda kwa bill yangu na ni kawaida sana.
Acha apost vyakula bwana, sasa ayapost nini?
Bora aposti picha za bandarini...wajukuu watajua babu akishapiga picha na wabebzz wakali anaenda kusaka "ubilionea " wa uzeeni
Mie sijamshushua. Namuambia tu naona anatamba na hizo hotels na offer za dinner. Mie naenda kwa bill yangu na ni kawaida sana.
Acha apost vyakula bwana, sasa ayapost nini?
Daaahh kweli akili kubwa kusaidiwa kujengewa nyumba ya mamako akirudi anakuja kukujengea yakwako😕😕
King'asti kwa nini unamshushua bigi selebriti??? Nani kakupa ruhusa????
Halafu mpaka uzeeni bigi selebriti anaposti insta picha za vyakula..... kweli heri upate akili kubwa mwili mdogo kuliko kupata mwili jumba akili kisoda
Huyu baba yangu anaishi kwa hisani ya degree 3 ana maakili mengi ila maisha yake hayana tofauti na std 7.hebu niambie ile nyumba imejengwa upya au macho yangu sioni vizuri.kweli mbaba unakuja na uwongo kua umemjengea nyumba maza kutafuta sifa z kich...pi
Mie sijamshushua. Namuambia tu naona anatamba na hizo hotels na offer za dinner. Mie naenda kwa bill yangu na ni kawaida sana.
Acha apost vyakula bwana, sasa ayapost nini?