Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.

Unatamani ungekua teenager upphfffuu!!
 
- Hahahahahaha anataka nimuongelee kijana mdogo anayeajiriwa na marafiki zangu wa karibu na huku mimi ninajiajiri mwenyewe hapa mjini, kweli huoni a big kasoro kwenye this concept? hahahahahaha U know!!

Le Mutuz

Si uliambiwa wewe uache kucheza na vijana wadogo,ona sasa unavyojiaibisha.
 
panapostahili sifa papewe na panapostahili lawama papewe
 
Wewe mwenyewe ulianza kwa kuajiriwa kuzibua vyoo KFC mbona watu walinyamaza tu.

- Binadam mwenye akli kubwa lazima uanze na kuajiriwa ndio ujiajiri mwenyewe, ukiajiriwa ukajiajiri ukaanza makelele mengi halafu ukashindwa ukarudi kuaijiriwa una maana akili yako ni ndogo, kuhusu KFC ni kwamba huwezi kuzibua vyoo Marekani mpaka uwe umesomea na unatoka kampuni inayofahamika kisheria na Serikali pole sana kama ulikuwa unazibua vyoo sio wote, hahahahahaha

Le Mutuz
 
Leo unamuona Bikira ana akili ndogo kwakuwa ulimdhurumu siyo,Yeye kurudi kuajiriwa ni matokeo ya utapeli uliomfanyia,yaani uliyumbisha mtaji wote.Siyo mbaya kijana ameanza tena moja.
 
Leo unamuona Bikira ana akili ndogo kwakuwa ulimdhurumu siyo,Yeye kurudi kuajiriwa ni matokeo ya utapeli uliomfanyia,yaani uliyumbisha mtaji wote.Siyo mbaya kijana ameanza tena moja.

- hahahahahaha nilimdhulumu hewa hahahaha naomba umuulize nilimdhulumu hela ngapi nimrudishie na Kampuni ya Instagram Party TZ waliotangaza kwenye mitandao kumfukuza kazi na wao walimdhulumu hela ngapi? hahahaha mtaji alikuwa nao? Ningekuwa na hiyo tabia ningewadhulumu Matajiri wakubwa washikaji wangu kabla yake hahahahahaha

- Kosa lake ni moja tu kuiamini sana Instagram na wale Team Nonesense kwamba kwa vile wanamshangilia sana basi akifanya Tamasha watakuja kwa wingi na kuleta watu wengine kwa wingi ndio wanaomuangusha sana na apunguze kuiamini Instagram mimi naitumia kama sehemu ya kutengenezea pesa ila simuamini yoyote mle na wala siishi maisha yangu kwa kuiamini sana Instagram, ndio inamponza na ndiyo imemponza,

- Otherwise najua kuwa ameamua kunitumia mimi kama kisingizio cha matatizo yake ya maisha nimesoma sana Sociology binadam wa aina yake huwa ukianza urafiki nao wanajaribu kila njia kuku Control wakishindwa wanakuwa na hasira sana kama wanajua una faida kubwa kwao, so wanaanza kukushambulia na kukusingizia kwamba ndio chanzo cha matatizo yao namsikitikia sana juzi alikuwa Mliman City TV akajaribu sana kunichafua lakini kwa vile Wamiliki Mliman TV wananijua kwa karibu sana wakamkatalia na kufuta kila kitu alichosema na wakaniambia, katika Maisha yake yote hapa Duniani aliwahi kuwa rafiki na mimi kwa miezi 3 tu, Imagine sasa hivi mimi ndiye chanzo cha matatizo yake ya maisha hahahahahahaha

POLENI SANA WOTE WEWE NA YEYE!!

Le Mutuz
 
Huyo jamaa hua namshangaa kitu kimoja hata utukane vip hua hapanic wala harudishi tusi
 
Huyo jamaa hua namshangaa kitu kimoja hata utukane vip hua hapanic wala harudishi tusi

Weee...ana panic vibaya...huwa pressure inashuka.
Ukiona kaanza kuweka vicheko vyake vile vya 'ha ha ha I like it'
Ujue tayari.Ukimuuliza A anajibu B.Anakwambia una akili ndogo ujue tayari.
HATA ukimsifia ana confuse kuwa umemkandia ujue tayariii glucose mkononi.
 

Kiboko yake case mtanga limbululazzz huwa anatokwa povu mpka anakunywa painkiller
 
Seth de Jesus Giovanni aka Bikira wa Kisukuma Kama Anavyofahamika kwenye ukurasa wa Instagram, Amefunguka mengi kuhusu umaarufu wake alionae mitandaoni, Ugomvi alionao na Super staa Le Mutuz, pamoja na Sheria ya Mitandaoni.

Tusiandikie mate, mahojiano haya hapa chini;


Chanzo: Bongo Fuse
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…