Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatamani ungekua teenager upphfffuu!!View attachment 243366
[/TD]sina le mbebs ha ha ha- Do you have a choice? hahahahahahaLe Mutuz
- Hahahahahaha anataka nimuongelee kijana mdogo anayeajiriwa na marafiki zangu wa karibu na huku mimi ninajiajiri mwenyewe hapa mjini, kweli huoni a big kasoro kwenye this concept? hahahahahaha U know!!
Le Mutuz
Si uliambiwa wewe uache kucheza na vijana wadogo,ona sasa unavyojiaibisha.
- Le Mutuz Nation Big Show
Le Mutuz
Hahaahaa
Hahaahaa
Hahahaa
le mutuz hahahaa
Le mutuz hahaah u know
Hahahhaa
Apple ni tunda kubwa tu ila mbegu yake ndogo sana.
- hahahahaha anayejiabisha ni nani niliyejiajiri au aliyeajiriwa na rafiki yangu? hahahahahahahha
Le Mutuz
Wewe mwenyewe ulianza kwa kuajiriwa kuzibua vyoo KFC mbona watu walinyamaza tu.
Naona maswali na majibu haviendani.
- hahahahaha ndio maana ya AKILI KUBWA inapokutana na AKILI NDOGO U know!!
Le Mutuz
Leo unamuona Bikira ana akili ndogo kwakuwa ulimdhurumu siyo,Yeye kurudi kuajiriwa ni matokeo ya utapeli uliomfanyia,yaani uliyumbisha mtaji wote.Siyo mbaya kijana ameanza tena moja.- Binadam mwenye akli kubwa lazima uanze na kuajiriwa ndio ujiajiri mwenyewe, ukiajiriwa ukajiajiri ukaanza makelele mengi halafu ukashindwa ukarudi kuaijiriwa una maana akili yako ni ndogo, kuhusu KFC ni kwamba huwezi kuzibua vyoo Marekani mpaka uwe umesomea na unatoka kampuni inayofahamika kisheria na Serikali pole sana kama ulikuwa unazibua vyoo sio wote, hahahahahaha
Le Mutuz
Leo unamuona Bikira ana akili ndogo kwakuwa ulimdhurumu siyo,Yeye kurudi kuajiriwa ni matokeo ya utapeli uliomfanyia,yaani uliyumbisha mtaji wote.Siyo mbaya kijana ameanza tena moja.
- hahahahaha ndio maana ya AKILI KUBWA inapokutana na AKILI NDOGO U know!!
Le Mutuz
Huyo jamaa hua namshangaa kitu kimoja hata utukane vip hua hapanic wala harudishi tusi
Weee...ana panic vibaya...huwa pressure inashuka.
Ukiona kaanza kuweka vicheko vyake vile vya 'ha ha ha I like it'
Ujue tayari.Ukimuuliza A anajibu B.Anakwambia una akili ndogo ujue tayari.
HATA ukimsifia ana confuse kuwa umemkandia ujue tayariii glucose mkononi.