Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
Soma vizuri, biblia huijuwi:
[h=2]1 Wakorintho 6[/h]9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Katika hayo yako mangapi?
Nimemaliza kusoma amri 10 za Mungu na nimerudia tena na bado sijaona hata sehemu 1 inayosema "Enyi waume wapeni wake zenu hela ili ndoa zenu zidumu".
Na kwa vile sijaiona basi jaribu usimpe hela hapo ndio utajua hi ni amri ya 11 kama hujui na hapo ndipo chanzo cha tamaa.
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe hakuna wa kukusaidia coz hata sisi tunayo mizigo.