View attachment 248917hebu View attachment 248917angalieni mtu mzima makamu ya lowasa anavyoadhirika tangu asubuhi ameenda kucheza ngoma ya watoto, amesikia kutakuwa na sambusa na kababu za bure basi alikuwa wa kwanza kufika hata mswaki hajapiga vizuri uso umejikunja kwa uzee haha, huyu babu sijui atakuwa lini.
Huyu lemutuz Alitakiwa sahvi awe kwao mvumi dodoma hehehe
Hahahahhaaaa sijapenda kucheka basi tu nimeshindwa kujizuia!
Hakuna kitu muhimu km ukweli na kuacha ushabiki, Diamond ali perform kwenye Zari white party in Uganda, what happened? Na ilikuwa just ametoka South Africa kupata award. Waganda hawakumpa that attention coz sio kichwa cha mwendawazimu km wabongo wenye kupapatikia watu kisa wansongea English, lol. Ni aibu ku admit kuwa hiyi ndio hulka ya kibongo
Mkuu ticket za million 3 zilikuwa sita na za milioni 1 zilikuwa 10 tu... Chibu kapiga pesa hatukatai ila haiwezi fika 1.8 b nasisitiza haiwezi fika hiyo pesaHebu tukisie unavyodhani wewe,meza sawa na mil30, ambayo ni sawa na watu 80 kwani kla meza inasemekana walikuwa watu 8,mle ndani inadaiwa walikuwa elf 3 tutoe watu 150,nikimaanisha 20 ni dai,zari na wasafi team na ndugu na jamaa,halafu 50 labda complimentary,2850 watu waliolipa viingilio,let say 2000 wamelipa 100000, moja,na waliobaki elfu hamsn inaweza kufika hyo hela na mitandao ya kijamii na cm kuliko kubisha,tujifunze kukamata fursa,
Mkuu ticket za million 3 zilikuwa sita na za milioni 1 zilikuwa 10 tu... Chibu kapiga pesa hatukatai ila haiwezi fika 1.8 b nasisitiza haiwezi fika hiyo pesa
Kuna wadhamini,kUna mitandao,let say smart tz waliostream labda laki 3,waliokatwa bila kuona kama elfu 50,tz,kwa elfu 3,then walio nje wa dola 5,kama ukumbi uliingiza watu elfu tatu,ina maana tiket za lak na elfu 50 ni kama 2850,kwn uwanja wa taifa unaingiza sh ngapi cku ya cmba na yanga kwa kiingilio cha buku tano na kumi tu,?so kwa dai amount ya watu haifikii taifa lakin kwa amount ya hela ukiigawa ni sawa na elfu 5 mara watu elfu 10 watakaoingia u/taifa dogo kapiga hela,kesho mtasma free masson kumbe tumemchangia wenyewe
Meneja wa Diamond alisema kuwa tiketi za milioni 3 zilikuwa 10 pekee sasa kama zilikuwa tatu tu na ule ukumbi haufikishi watu 5000 hizo hesabu za 1.8bilioni zimetoka wapi