Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.

Ingebuma white party weeeeeee wangefurahiaaajeee na wamekomeshwaaa yaan zari ni kiboko ya kina wema wolper woteee
Washaibiana mabwana,wameshaiba waume za watu,maringo kujiona wao ni kila kitu waandae party nani aende ??wao wenyewe hawana ushirikiano mzuri hapo unategemea ninii??
We umeona watu kutoka nchi mbali mbali walivyomsapoti zari
 
Ukisikiliza hiyo clip hapo juu
Za Milioni 3 zilikuwa 10
Za Milioni 1 zilikiwa 12
Wanaosema kuwa streaming ....
Kwa Tanzania yetu hii streaming ni ngumu sababu ya kasi ya mtandao kua ndogo sana.
Wa 50k na 100k wasingeweza ingiza 1bil na uchafu.
Kiufupi watanzania tiache uongo na twende na facts
 

Yani inahitajika wahudhuriaji zaidi ya elfu 20 kufikisha hiyo pesa.
 

yakubali maisha ya mazingila yako huku kwetu uswaz mama wa mtumzima kabisa age around 45 to 60 wanashiriki hizo arobain labda utakuwa umezaliwa obey
 
​uko sahihi ndg!!!!!!!!!
 
Hahah hii inaitwaga get angry or get inspired!!!
Zari ana akili sana huyu mwanamke tuacheni tu azidi kuneemeka hata maandiko yanasema aliyenacho ataongezewa.

Jamani ule msemo wa kamata fursa twen'zetu mkiusikia muwe mnachangamkaaaa!!! Kuna watu wana majina ila wanayatumia tu kuonyeshea kadi za gari badala ya kujibrand. See this chick who goes by the name Huddah Monroe unaweza kumuona kama chizi lakini ni paper chaser. From a street girl ambaye alikimbia kwao lakini leo hii si haba pullover, jeans na mengineyo anauza kwa hiyo hiyo nembo ya huddah!

Even Zarina herself from being a karaoke singer to a successful business woman si lelemama hawa watu wana vision. Suppose angebakia kuuza sura tu pale stejini na kutembea na mabwana za watu, hiyo akili ya ujasiriamali angeipata wapi? What if angejibweteka tu kwa lile libaba leo si angekuwa anaanza moja?? Lakini leo hii anazidi kusonga tu mbele, hivi wanaomdiss anategemea kudokoa hela ya child support hawaonagi aibuuuu!!!

Kuna la kujifunza hapo. Wema kamlipa Omotola kuja kuzindua movie yake lakini yeye anapelekwa kwenye instagram party hahah kweli jameni???!!!
 
zels ukweli una point na like yangu nimekugea. Ila sasa umeongelea upande mmoja tu wa mashabiki but umeiacha part ya msanii/mhusika mwenyewe ana/amejipresent vipi kwa audience na amelenga kitu gani na anaitumiaje status aliyonayo.
Usiseme tu mtanzania bali ongeza kuwa mtanzania wa aina gani.
Prabably Wema na Wolper wanaweza wasijaze what about K-Lynn au Madam Rita au Millen Magese?? Kitu atakachofanya Tonto Dikeh leo ni tofauti na atakachofanya Omotola ama Genevieve japokuwa wote ni wanigeria

Kitu chingine huo unafiki uliouongelea. Ukweli ni kwamba kuna mambo yataendelea kuwepo tu milele na milele na huwezi kuyazuia. Wanafiki wataendelea kuwepo tu na hakuna mwanga wenye utawamulika eti wafumbe macho wakome, hilo halipo. Kazi ni kwako we mwenyewe kujitambua unafanyaje ili ufikie target yako maana unafiki is there to stay na huwezi kumpangia mtu aweje ili kukupa nafasi wewe utoboe. Utaenda unaknock kila nyumba uwaambie waache unafiki na watatii???
Hata hao waganda wenyewe zari wanamdiss ile ile this means na wao wanafiki kwa mwenzao lakini hakomi na show anafanya kama kawa. Wanafiki wapo kote hata ugenini cha muhimu ni juhudi tu na ubunifu wako na akili pia.

 
Last edited by a moderator:

Mkuu umeua, ukweli mtupu
 
Ila . Msiwe wanafki na km watu walokosa fikra nia aibu jamani

Mkuu mimi nakubaliana na wewe kwamba watanzania tunapenda sana vya nje na kuacha vya kwetu kwa hapo tuko pamoja.

Ila napingana na wewe kusema kwamba watu wengi walikwenda pale kumona Zari kwa mtazamo wangu si kweli kabisa, wengi walioenda pale walienda kwa kivutio cha Diamond na mastaa wengine wa kibongo waliohudhuria.

Sawa show iliandaliwa kwa jina la Zari, na ni kweli inawezekana mnufaikaji mkuu akawa ni Zari. Lakini ukweli huo isiwe kigezo cha kumpa credit kiasi hicho mganda kua yeye ndo alikua kivutio kikuu na kumsahau diamond na mastaa wengine wa kitanzania.

Leo rudi kamuulize mtu aliyehudhuria akwambie katika party ile alivutiwa na nini, naamini wengi watakwambia "nilivutiwa na show ya diamond,yamoto band, weusi na mastaa wengine wa kibongo"

Kuthibitisha embu assume, Zari angekua sio mpenzi wa Diamond na angeandaa party yake hii hapa bongo unadhani ingejaza vile?
Zali hajaanza leo kuandaa hiyo party yake, kipindi cha nyuma mbona alikua haji kuandaa hiyo party yake bongo?
 
Ile couple ya kibiashara ina nyota ya pesa party ilipendeza nlivoona kwa picha na pesa imeingia kazi ya kujua kias gani waneingiza achieni team wema....kuna clip nmeona kama vle zari kammind dai pale stejini akakataa hata kufutwa jasho nini kilitokea? au hasira mimba???
 

Audience = hadhira
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz hataki kuja kuwajibu hapa JF anajibu kupitia instagram page yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…