Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
POOR FOOL.
 
Hahaa wewe lemutuz ni mtu wa pwani nini una maneno wewe.
 
hivi unaoa lini lemutuz?? umri unaenda ujue, utapiga picha na mademu za watu mpaka lini?
Mwambie awahi mtera kwao wanahitaji chakula....mana wanakula viwavi jeshi njaa kali sana huko..
 
Ni king wa machangudoa wa hapa mjini ndomana kwenye blog yake imejaa mademu tu
 
Ila wabongo tunashida sana kwann mnapenda mtu aishi mnavyotaka nyie kila mtu huwa na malengo yake na mtazamo wake kimaisha usipende mtu aishi upendavyo,hata ale mavi infact havunji sheria ya nchi ni yeye,broo piga kazi ili mradi hamna anayekulipia kodi wala kukupa chakula @W.J.Malecela
 
William hana hata ofisi anadandia eti el maarufu feeewwww
 
Nani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.

Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?

followers wake wa INSTAGRAM
 
Ana utoto mno ...king of blogs how ....kuna kings na wako kimya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…