Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.

- Guys mimi ndiye THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, kwa sasa nipo Lagos/Nigeria baada ya kuchaguliwa na DSTV kuja kuiwakilisha kwenye "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" infact nipo na Lulu huku na hizi picha ni leo baada ya kushinda hapa kwenye hotel ya Eko Hotel downtown Lagos.

- Mimi ni the Kingkwa sababu ni mimi peke yangu as a blogger ninayefanya Social Media bila kufungamana na kazi nyingine kama Radio au TV, wengine wote wanafungamana na hivyo vyombo mimi peke yangu ndiye sina Radio wala TV lakini ngoma nzito sana ndio maana nimeletwa na DSTV Lagos na nikitoka hapa Jumatatu naruka tena Dubai on Emirates Airlines, i hope nimekusaidia!!

- Halafu tizama sichezi sinema wala sipigi muziki, lakini likitajwa jina langu tu page 10 mpaka 20 viewers 40,000 comments 3000 sasa kama sio King wa Social Media ni nini jamani? hahahahahahah

le Mutuz @Lagos
POOR FOOL.
 
Hahaa wewe lemutuz ni mtu wa pwani nini una maneno wewe.
 
Ni king wa machangudoa wa hapa mjini ndomana kwenye blog yake imejaa mademu tu
 
Ila wabongo tunashida sana kwann mnapenda mtu aishi mnavyotaka nyie kila mtu huwa na malengo yake na mtazamo wake kimaisha usipende mtu aishi upendavyo,hata ale mavi infact havunji sheria ya nchi ni yeye,broo piga kazi ili mradi hamna anayekulipia kodi wala kukupa chakula @W.J.Malecela
 
William hana hata ofisi anadandia eti el maarufu feeewwww
 
Nani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.

Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?

followers wake wa INSTAGRAM
 
Ana utoto mno ...king of blogs how ....kuna kings na wako kimya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom