Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Le mutz ni bogazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mmoja hivi mkubwa kimwili ila ubongo wa samaki.Le Mututuz ni nani?
POOR FOOL.
- Guys mimi ndiye THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, kwa sasa nipo Lagos/Nigeria baada ya kuchaguliwa na DSTV kuja kuiwakilisha kwenye "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" infact nipo na Lulu huku na hizi picha ni leo baada ya kushinda hapa kwenye hotel ya Eko Hotel downtown Lagos.
- Mimi ni the Kingkwa sababu ni mimi peke yangu as a blogger ninayefanya Social Media bila kufungamana na kazi nyingine kama Radio au TV, wengine wote wanafungamana na hivyo vyombo mimi peke yangu ndiye sina Radio wala TV lakini ngoma nzito sana ndio maana nimeletwa na DSTV Lagos na nikitoka hapa Jumatatu naruka tena Dubai on Emirates Airlines, i hope nimekusaidia!!
- Halafu tizama sichezi sinema wala sipigi muziki, lakini likitajwa jina langu tu page 10 mpaka 20 viewers 40,000 comments 3000 sasa kama sio King wa Social Media ni nini jamani? hahahahahahah
le Mutuz @Lagos
Hahaa wewe lemutuz ni mtu wa pwani nini una maneno wewe.

Mwambie awahi mtera kwao wanahitaji chakula....mana wanakula viwavi jeshi njaa kali sana huko..hivi unaoa lini lemutuz?? umri unaenda ujue, utapiga picha na mademu za watu mpaka lini?
Shati lake linajaa VitsLe mtuz ni bingwa aisee jamaa anajikubali sana
- Choko huwa wepesi sana kujisema wenyewe bila kuulizwa hahahahaha kumbe ndio mambo yako hayo? Sasa hapa nani kakuuliza? hahahahahahah
le Mutuz
Ni king wa machangudoa wa hapa mjini ndomana kwenye blog yake imejaa mademu tu
Hahahah.....hak ya mungu Watu mna maneno km mmezaliwa njia pandaShati lake linajaa Vits
Nani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.
Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?
King of UgogoLe Mutuz..
Le capitalist..
Namkubali sana...wapo wachache kama yy!