Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
- New York nilikuwa ninaishi downtown na hapa ni downtown siwezi kuishi masaki ninaishi palipo na pesa watu wote asubuhi wanaenda wapi? Wanapoenda ndipo ninapoishi wewe unaishi wapi hapa mjini? hahahahaha

Le Mutuz

Wanakuonea wivu you know?wanatamani kua wewe you know? I love you more le mbebez

Hahahah haha u know
 
Supastaa ushuzi ...
Aende akahudumie familia yake , sio kupiga mikelele hapa huku hajui watoto wake wanakula nn
 
- New York nilikuwa ninaishi downtown na hapa ni downtown siwezi kuishi masaki ninaishi palipo na pesa watu wote asubuhi wanaenda wapi? Wanapoenda ndipo ninapoishi wewe unaishi wapi hapa mjini? hahahahaha

Le Mutuz

U know me naku feel kchiz,u know we unaish mgodin huna haja ya kutoka kutafuta madin.le mutu ya watu nikaribishe kwa nation yako u know😀😀😀
 
Supastaa ushuzi ...
Aende akahudumie familia yake , sio kupiga mikelele hapa huku hajui watoto wake wanakula nn

- hahahahahahahaha U know le madebe matupu what do you know kuhusu my kids wewe juha? hahahahahaha

Le Mutuz
 
Habari wadau nimekuwa,nikifwalitia mijadala mingi inayohusu maisha ya huyu babu .Nimegundua hata wale haters wake hujikuta wakitumia swaga za huyu babu.mfano maneno yanayotumika sana IG na hapa JF kama lekopozz,letamkozz ,u know ,le mburulazzz. Namegine hata wale wanao machukia huanza kuyatumia maneno hayo ya wanaye mwita mjinga sasa hiyo ni ishara ya kumkubali huyu jamaa. Nawasilisha

- hahahaha salute U know!1

Le Mutuz
 
- New York nilikuwa ninaishi downtown na hapa ni downtown siwezi kuishi masaki ninaishi palipo na pesa watu wote asubuhi wanaenda wapi? Wanapoenda ndipo ninapoishi wewe unaishi wapi hapa mjini? hahahahaha

Le Mutuz

Babu cartoon naishi unapoishii wewe babu cartoon
 
- New York nilikuwa ninaishi downtown na hapa ni downtown siwezi kuishi masaki ninaishi palipo na pesa watu wote asubuhi wanaenda wapi? Wanapoenda ndipo ninapoishi wewe unaishi wapi hapa mjini? hahahahaha

Le Mutuz

huko uswahilini ndio unakuona kwa maana sana eeh
 
- Well mpaka kuandika matusi naona hamna hoja tena, so I am lout of this topic too nafikiri maswali muhimu nimeyajibu yote!!

Le Mutuz

uwe out usiwe out nani ana-care,kafie mbele kijana mzee,kujifanya kijana wakati umezeeka kichwani upara hata nywele hazioti.
 
Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....

Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....

Yule mchumba kaishia wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom