Sasa una commet nini ?umefata nini hapo...
umelipwa? mbona povu linakutoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa una commet nini ?umefata nini hapo...
umelipwa? mbona povu linakutoka.
Wewe umelipwa kwani?[/QUOTE
ili iweje?
Wewe umelipwa kwani?[/QUOTE
ili iweje?
Mi nilipwe ili iweje....
- New York nilikuwa ninaishi downtown na hapa ni downtown siwezi kuishi masaki ninaishi palipo na pesa watu wote asubuhi wanaenda wapi? Wanapoenda ndipo ninapoishi wewe unaishi wapi hapa mjini? hahahahaha
Le Mutuz

Supastaa ushuzi ...
Aende akahudumie familia yake , sio kupiga mikelele hapa huku hajui watoto wake wanakula nn
Habari wadau nimekuwa,nikifwalitia mijadala mingi inayohusu maisha ya huyu babu .Nimegundua hata wale haters wake hujikuta wakitumia swaga za huyu babu.mfano maneno yanayotumika sana IG na hapa JF kama lekopozz,letamkozz ,u know ,le mburulazzz. Namegine hata wale wanao machukia huanza kuyatumia maneno hayo ya wanaye mwita mjinga sasa hiyo ni ishara ya kumkubali huyu jamaa. Nawasilisha
- The King Of All Bongo Social Media Network, U know hahahahahaha
Le Mutuz
- New York nilikuwa ninaishi downtown na hapa ni downtown siwezi kuishi masaki ninaishi palipo na pesa watu wote asubuhi wanaenda wapi? Wanapoenda ndipo ninapoishi wewe unaishi wapi hapa mjini? hahahahaha
Le Mutuz
- New York nilikuwa ninaishi downtown na hapa ni downtown siwezi kuishi masaki ninaishi palipo na pesa watu wote asubuhi wanaenda wapi? Wanapoenda ndipo ninapoishi wewe unaishi wapi hapa mjini? hahahahaha
Le Mutuz
Huyu babu mshamba sana
Babu ze mbulurazzz
vibabu vingine mpaka ma*p*mbu ina ukungu ila vinajifanya vijana
- Well mpaka kuandika matusi naona hamna hoja tena, so I am lout of this topic too nafikiri maswali muhimu nimeyajibu yote!!
Le Mutuz
Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....
Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....