Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
hahaha anakwambia ''le gademu mburulaz mazafanta..kama vipi kufwaaa for me u know...im humbled u know...napendwa na mabebez super mtindiz" hahahahaha shidaaaaaaa
 
Aaaaa. Jamiii forum Bwana watu wanzima ovyo. Hawawezi kujadili mambo vinzuri kwa ajili ya kujifunza zaidi maneno machafu, au nikichaka cha wavuta bangi au mateja. Badilikeni acheni ujinga.
 
Habari wana Jamii Forums.

Kuna majina huwa nayaona yanatumika mara kwa mara na yamekuwa maarufu kiasi flani, ningependa kujua yamepataje umaarufu.Majina yenyewe ni;

Mcharo (Mfano mtu anasema hao ndio wakina mcharo hai) , Mario (Mfano utasoma sehemu vijana wanapenda sana umarioo) na jina jingine ni Le mutuz na le nini sijui huko.

Mwenye ujuzi aniweke bayana asili ya hayo majina na kisa cha kuwa maarufu mjini.
 
marioo wanaume wanaopenda kuhudumiwa na wanawake..
 

Lemutuz Katika Ukurasa wake Amefunguka na kutoa sababu moja wapo ambayo imemfanya mpaka sasa hajachukua uamuzi wa kuwa na jiko :

'Kuna vitu siviamini kabisa in mylife mojawapo ni kufanyiwa anything na Mbebezz wako cause siku zote ninaamini Mwanamme ndiye anayetakiwa kumfanyia Mbebezz...kuna wakati nilikuwa nmdate mbebezzz mmoja hapa town akaninunulia Benzi so aliponiletea I was like are U kidding me or what?.....yaaani unataka niwe mtumwa wako hahah ni LE MARIOZZZZ hahaha NO way if anything Mbebezzz ninunulie labda perfume tu basi lakini zaidi ya hapo hapana.....na ndio maana ninachelewa kuoa cause nataka nikifikia siku ya kuoa niwe na kila kitu on my own sio ohhh nilikukuta huna kitu gademeti hahaha no please....Na hata mbebezzz nitakaye muoa Mali yangu ni yake ila mali yake sihiitaji U know sijawahi na I wll never be LE MARIOZZZZ hata nilipokuwa mbelezzz Majuu mambo ya kuoa nipate makaratasi niliyakataa kata kata Mamen usiwe mwepesi sana kupokea pokea vitu vya mabebezzz sometimes hujui kanunuliwa na nani so wote mtaishia kuwa watumwa wa anayemnunulia hapa mjini U know hahaha jioni njemazzz! - le Mutuz

maoni yangu:

Le Mutuz umri umeenda sana,sasa uko 56 pesa gani hizo unazotafuta zinakushindwa kuoa,ukumbuke uliwai kufanya vikao vya harusi lakin harusi ikayeyuka,vikao vya harusi ilikuwa November 24 2013,jumapili. na huu ndio uthibitisho

[h=1]VIKAO VYA HARUSI YA WILLIAM MALECELA aka LE MUTUZ VYA ANZA RASMI.[/h]
[h=4]
  • Chafanyika Mpiji Beach Kigamboni

  • Chaongozwa na billionaire Super Mogul Davis Mosha

  • Mabillionaire wengine wengi wa mujini wahudhuria

  • Itakuwa harusi ya kibillioner hakuna michango
[/h]
Bwana harusi mtarajiwa William Malecela aka Le Mutuz Big Show Baharia King of all Social Media Networks akiwa katika pose kwenye kitu kipya aina ya Range Rover Autobiography 2013 inayo milikuwa na Super Mogul Davis Mosha Mkurugenzi wa Delina Inc.​
Bwana harusi mtarajiwa akipunga upepo wa bahari.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kikao kikiendelea​
Mambo mazuri for Le Mutuz​
Le Mutuz na marafiki zake
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Wazee wa mujini wenye utajiri wakutisha hehehe maneno ya Le Mutuz hayo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hawa ndo marafiki
billionaire wa Le Mutuz mara wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kikao hicho cha harusi kilicho ongozwa​
na Super Mogul Davis Mosha wa Delina aliyevaa miwani wa pili kulia na Mtanzania mwingine mwenye utajiri wa ajabu Duniani mwenye fulana nyekundu Super Ali owner wa Lake Oil Company. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
JE UTAALIKWA????

OA maisha ya dunia mafupi na raha za dunia haziishi mkuu le super star le mutuz

 
Haya maisha acheni tu jamani. Huyu ndugu alikuwa na mategemeo ya maisha mazuri sana toka udoggoni, baba yake walivyomchinjia kwenye maji ndoto zote zikageuka za alinacha. Frustration zimemfanya awe mtu wa kujishtukia, maisha anayotaka ajioneshe nayo mbele za jamii siyo size yake, mwisho wa siku anabaki kupiga picha na watu maarufu, kupiga picha na vitu vya watu, kuvaa vichenicheni na mambo kama hayo ili aonekane yuko daraja fulani kumbe hakuna lolote! Sasa mwanaume unakimbilia kwenye sitini upoupo tu kama kijana wa miaka 20, kuoa siyo lazima lakini wanawake wanapokukimbia wakati vikao vya harusi vimeshaanza ujue kuna jambo!
[video]https://youtu.be/zaELvv7-T3Q?list=PL57836A96FB08674A[/video]
[video]<iframe width="640" height="390" src="https://www.youtube.com/embed/zaELvv7-T3Q?list=PL57836A96FB08674A" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>[/video]
 
Money stuna & Warumi mshaurini mwenzenu apunguze mwili.Team diet ,mazoezi

baada ya kifo cha marehemu kapteni Komba,Le mutuzi alitoa tamko kuwa amejifunza kitu,nacho ni kufanya mazoezi kupunguza mwili ili kuepuka presha,sasa hivi yuko anafanya zoezi kupunguza mwili,hivyo akipungua msimsingizie ngomaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom