Le Mutuz: Hayati Magufuli alikuwa rafiki yangu binafsi

Le Mutuz: Hayati Magufuli alikuwa rafiki yangu binafsi

Mi naamini maana magufuli alikuwa mtu wa busy for nothing! Alilala usiku wa manane kwaajili ya petty issues kama kusoma faragha za watu, umbea na uchimvi.

Alikua na muda mwingi wa kuchezea.
Sawa mama,ngoja ujaziwe like na mashoga zako
 
Wewe unachuki binafsi tu.

Miradi kama ya SGR ilikuwepo wakati wa ukoloni?

Waache wenzako walale sasa huku tukikosa huduma mhimu kila kona.
TAZARA ilijengwa na Magufuli?

Mkapa bridge?

Hii nchi haijawahi kusimama kabla na baada ya uhuru as long as serikali inakusanya kodi...

Usituletee ujinga wako hapa we mana Mboga shwaini!
 
Mkuu kuna namna usema ukweli japo kwa njia ya kuchekesha. Nimecheka sana[emoji2][emoji23]kuwa na raisi mmbeya ni hatari kwa familia yake na taifa lote.
Mi naamini maana magufuli alikuwa mtu wa busy for nothing! Alilala usiku wa manane kwaajili ya petty issues kama kusoma faragha za watu, umbea na uchimvi.

Alikua na muda mwingi wa kuchezea.
 
TAZARA ilijengwa na Magufuli?

Mkapa bridge?

Hii nchi haijawahi kusimama kabla na baada ya uhuru as long as serikali inakusanya kodi.

Usituletee ujinga wako hapa we mana Mboga shwaini!
Mhh.. hadi wenzako wakushangaa jinsi unavyowehuka haoa
 
TAZARA ilijengwa na Magufuli?

Mkapa bridge?

Hii nchi haijawahi kusimama kabla na baada ya uhuru as long as serikali inakusanya kodi...

Usituletee ujinga wako hapa we mana Mboga shwaini!
Akijibu nistue .
 
Mhh.. hadi wenzako wakushangaa jinsi unavyowehuka haoa
Nimekuuliza mradi mkubwa kwa wakati huo wa TAZARA alijenga Magufuli?

Mradi mkubwa wa chuo kama UDOM alijenga Magufuli?

Vipi Shule za kata? Vipi bomba kubwa la gas from kusini to Dar?

Hiyo SGR unayoisema imefika wapi?

BRT ya Dar ilijengwa na Magufuli?

Wewe ni mama mboga huna akili za kuwaza zaidi ya kushukuru kwa kitambulisho cha machinga cha elf 20!!
 
Hongera Le mutuz kwa kupendelewa na Rais
 
Nimekuuliza mradi mkubwa kwa wakati huo wa TAZARA alijenga Magufuli?

Mradi mkubwa wa chuo kama UDOM alijenga Magufuli?

Vipi Shule za kata? Vipi bomba kubwa la gas from kusini to Dar?

Hiyo SGR unayoisema imefika wapi?

BRT ya Dar ilijengwa na Magufuli?

Wewe ni mama mboga huna akili za kuwaza zaidi ya kushukuru kwa kitambulisho cha machinga cha elf 20!!
Unavyovingelea hivyo vimejengwa zaia ya miaka 100 .. Magufuli kaafanya vyote ndani ya miaka 6 tu.

Kichwa chako kimejaaa chuki.chuki.chuki. hauna shukrani.

Binafsi nilimwelewa sana JPM.

Ndio rais pekee aliyefanya hii nchi ikatulia...tukaanza kusafiri usiku kucha. Huduma zikawa zinatolewa kwa urahisi.

Sasa hivi walamba asali walamba vibaya mno........ barabara zinazomaliziwa sasa hivi ni kituko..mfano..mwendo kasi wa mbagala, ilala..na daraja la keko..nk...mamaaaa.. Mungu mfufue Magufuli.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nimeisikiliza hiyo intavyuu,JPM alikua na mazuri,na mabaya pia.He will continue to be remembered kwa hayo.
 
Sina hakika na ukweli wa Hii story lakini ina viashiria vya ukweli sababu hiyo ilikuwa personality ya Jiwe, alikuwa anakupa namba mkikutana
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mi naamini maana magufuli alikuwa mtu wa busy for nothing! Alilala usiku wa manane kwaajili ya petty issues kama kusoma faragha za watu, umbea na uchimvi.

Alikua na muda mwingi wa kuchezea.
Ulikuwa unashinda nae
 
Back
Top Bottom