Le Mutuz: Hayati Magufuli alikuwa rafiki yangu binafsi

Le Mutuz: Hayati Magufuli alikuwa rafiki yangu binafsi

Watu hawajapata ajira since 2015 alipoingia huyo msemaye alipigania wanachi! Ndoto za wangapi kaharibu? Wangap wanaozeekea makwao sababu ya huyo msemaye alikuwa mtetezi wa wanyonge??? NAFSI YANGU HAIWEZI MSAMEHE KAMWE
 
Magufuli hakuwa tu rafiki wa lemutuz Bali alikuwa ni rafiki wa watanzania wote wenye kuchukia rushwa,ukanda na matumizi mabaya ya pesa za umma ambayo kwa sasa yamekithiri awamu ya sita
 
Le mutuz ni very genuine person...binafsi naamini Le mutuz Yuko kama alivyo hate him or love him ..

Haya ya Magufuli kaongea ukweli wake kabisa alivyomuona Magufuli
I read you, me watching a far!
 
Halafu dada mkubwa ukiwa kwenye heat unajichetua sana. Haya sema nikukute wapi nikupige kimoko. Agizia kabisa kitimoto kilo moja .
Haya chagua rangi hapo nikununulie
20220825_230140.jpg
 
Hivi hata watoto wa vigogo wastaafu Wana Njaa km sisi watoto wa wanusa asali...hii baghosha
M.mwenyew nilkiwa nawaza hvyo hvyo inakiwaje Bab ake alikuwa waziri mkuu na mbuge Muda mrefu na makamu rais jmn na yey lemutuz Ni wa kulia njaaa njaa dah demiti
 
Nimetoka majuu na Le noaz ikiwa 0 kilometer sema tu im humbled, niende zangu sea view nikale upepoz maana Moyo una le mafutaz ila ni ya alizeti you know[emoji1787]
Ahahahajaj mnanichekesha mno alinibloku bhna ndio maan siku hz sipati mbwembe zake
 
Kuna watu wanazaliwa na vipawa ambavyo wa nje wanaviona na wenyewe wanavijua lakini awavitilii maanani kuvikamilisha.

Le Mutuz huyu jamaa alizaliwa kuhubiri neno la mungu sema akufuata hiyo njia.

Ukiacha uchawa na kujitukuza, kuna mambo ya msingi ya maisha kama umekutana nayo (nothing to do with love) hasa namna ya kukabiliana na shetani anaposhauri namna ya kuchomoka ana make sense sana ni kama ana kuhakikisha unachofikiria ni sawa kwa asilimia 100%.
 
Jamaa ni chawa wa next level....analazimisha picha picha ili atoe Instagram 🤣🤣🤣
 
TAZARA ilijengwa na Magufuli?

Mkapa bridge?

Hii nchi haijawahi kusimama kabla na baada ya uhuru as long as serikali inakusanya kodi...

Usituletee ujinga wako hapa we mana Mboga shwaini!
Magu aliidhinisha kodi za watanzania zijenge miundombinu mingi sana madaraja barabara za lami stendi mbalimbali na masoko mbalimbali, ila kuna wanaoidhinisha kodi za watanzania zikusanywe walambe asali.
 
Back
Top Bottom