Le Mutuz hii sasa imezidi


i like this.. you agree the mistake and you moved on with flying colours.. big up ma nigga!
 
In a quiet swiss village or French riviera?!

Hahaha, too many tourists these days. It's like Facebook, all the Johnny-come-lately, nouveau riche and community college professors are crowding the air and sucking up oxygen.

I am at a secluded resort, with more security than a Camp David summit.
 
Ha ha ha sawa mkuu unakua Kama tajiri la kiyahudi vile unampita mpaka le mutuz....

Wanaojishaua shaua wote hatuna kitu.

Bakhresa kaingia benki ya Uswizi na mikanzukanzu yake ya Kiswahili, walinzi wa benki wakamzuia. Alipojitambulisha kwamba yeye mteja wakamuona huyu tapeli tu, alipotaka kuonana na meneja wa benki na kutambuliwa vizuri meneja wa benki akamuomba msamaha sana kwani alikuwa mmoja wa wateja wao wakubwa sana.

Ukiona mtu anajishaua kutajataja alivyonavyo na kupiga mapicha kwa sana ni sehemu moja ya kujifariji kwamba na wewe umo.

Waliomo kweli wanaandikiwa biographies na watu mbalimbali kama Yesu Masiha.
 

Naam,

Chema chajiuza kibaya chajitembeza....
 

Mkuu hii fasihi kali sana... Inayowahusu watajijua tu akina nani.
Namkumbuka baba wa taifa aliwahi kuwapiga bit matajiri wa bongo, kuwa bongo hakuna matajiri bali kuna vitajiri uchwara tu,...mtu cjui ana range au lamborgini basi anajiona tajiri wa hajabu😄😃 kumbe magari ya kawaida tu hayo huku unyamwezini!! Jiwe hilo limerushwa gizani!!!
 
kuna kashfa hapa le mutu huzijibu? 1. Jogoo lako bovu haliwiki 2. Kwanini unajamba jamba hovyo 3. Yule muhindi anaekulipia kodi ya office 2500k/month ni nani yako. 4. Hatujawahi sikia umetembea na mwanamke yeyote 5. Neema anadai amekuacha toka jogoo lako lilipoanza kuonyesha dalili ya low betry. Hahahaha am humbled
 

Ukiingia mtaani unyamwezini unaambiwa "you work, you drive, no credit check".

Unauchujua m range huo.

Nenda kagalegale nao kwenye mafuta huko ukajue maana ya 5.0 engine ni nini sio unafakamia vitu kwa sababu ya jina tu.

Na car note inayokimbilia second mortgage.

Ndoyo maana wengine tulishafundishwa na Harvey Mackay tangu tuna miaka 13.

Buy expensive houses and ordinary cars.
 

Hivi kweli unategemea mtu na akili zake timamu ajibu huo utumbo?

Y'all need to get serious now.
 

Ukiona kimyaa jua kitu kipo halijojooo
 

Waafrica bhana sijui tumelaaniwa hata kufanya kauchunguzi kidogo tu kama hiki unashindwa na unakuja na tetesi? badala ya kuja na taarifa kamili!

hapo kwenye red nenda kampe hili shimo lako la kutolea mbolea uone kama inasimama au haisimami

na unavyosema hajawah kutembea na mwanamke hizo picha anazopiga na ma baby wazuri nao siyo wanawake ni wanaume?

N:B hamna mwanaume mwenye akili zake timamu amulize mwanaume rijali wa shoka maswali kama hayo!
 

hahaha mesage sent, am humbled
 

- duh hahahahahah nilikuwa busy sana ila thanks kwa kunijibia mkuu, yaani mpaka nimevunjika mbavu na kucheka people IJUMAA KUANZIA SAA TATU USIKU MPAKA SAA NNE NITAKUWA TBC KWENYE MBONI SHOW USIKOSE PLEASE, HAHAHAHAHAHA

lE bIG sHOW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…