Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
- Well, kwa jinsi ulivyoanza na ulivyobadilika ina maana umenielewa kwamba nina deal na kelele za mlango, saafi sana sasa imagine ningekimbia si ungeamini kwamba siko sawa sawa, majuzi nilikuwa nimeitwa EFM Radio for Interview kufika pale nikanasa kwenye lift calmly nikampigia simu host wangu nikamwambia nimekwama kwenye lift, akataka kuanza kupiga makelele nikamuuliza why mimi niliyekwama sipigi kelele wewe unapiga kelele za nini tafuta msaada nitoke humu wacha kelele, unajua yule mtu mpaka leo haamini kila anaponiona ana heshima kuliko zamani,
- Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua, in my life kama kuna kosa kubwa niliowahi kulifanya lilikuwa ni lile la kutoka Ulaya na kuja kuishi kwa Baba yangu, that was for the first time in my life nilikuwa sina la kujitetea kwa kawaida mimi sinywi pombe wala sigara my brain is sober and clean, siku zote huwa nahikikisha nina justifications ya everything I do isipokuwa kwa mara ya kwanza nikawa sina justifications for that it pained me a lot kwamba after 30 years of living on my own bila kutegemea msaada wa mtu, nikarudi kufikia pale, ilikuwa inaniuma mpaka nikawa ninaondoka asubuhi sirudi mpaka usiku wa manane, ila namshukuru sana Mungu kwa kunipa kila kitu nilichonacho now!!
Le Mutuz
i like this.. you agree the mistake and you moved on with flying colours.. big up ma nigga!