Le Mutuz hii sasa imezidi

Le Mutuz hii sasa imezidi

kuna kashfa hapa le mutu huzijibu? 1. Jogoo lako bovu haliwiki 2. Kwanini unajamba jamba hovyo 3. Yule muhindi anaekulipia kodi ya office 2500k/month ni nani yako. 4. Hatujawahi sikia umetembea na mwanamke yeyote 5. Neema anadai amekuacha toka jogoo lako lilipoanza kuonyesha dalili ya low betry. Hahahaha am humbled

- Hahaha kwanza alimtuma rafiki yake mpenzi Grace anayefanya kazi Shell aende kwa Davis amuombee nimrudie, nikakataa kata kata leo yamekuwa haya, amaehangaika kila kona kuwatafuta marafiki zangu wa kike kwamba mimi kazi yangu kutembea na Malaya wa Jolly Club kuna ujumbe mmoja anamwambia Msichana wangu aliyeko South Africa kwamba ninatembea na malaya 4 kwa siku, ushahidi upo wa ujumbe alioutuma alipoabanwa nao akakosa cha kujibu, leo yamekuwa haya baada ya kuja bongo na kum ignore kama hayupo,

- Mama yangu is fine na hata kama asin gekuwa yeye tumeshaachana miaka 4 sasa kwa Divorce anamuhusu nini? Sihitaji hela ya Mhindi yoyote kulipia ofisi yangu kwanza ameiita ni Corridor nina wafanyakazi 4 wa blog ambayo kila siku inaingiza sio chini ya Shillingi Laki 2, ningekuwa na tatizo lolote la kimwili hawa mabebez wote ninaoruka nao hapa mjini na niliokwisha ruka nao hapa mjini ingekuwa hadithi ya siku nyingi na kama huamini kwa nini usije kujaribu mwenyewe maana naamini wewe ni demu cause hakuna Mwanaume anayeweza kuandika maneno ya kupashu kama yako lazima awe demu,

- Kama nilivyosema nilipoulizwa na Blogu ya Wananchi, ninamtakia heri na maisha yake mbele ya safari alitingisha kibiriti akakuta kimejaa hakuamini kwa sababu nilikuwa nampenda sana akajua nitamrudia, sasa ameshaamini kwamba simrudii tena ndio maana amekuja na haya hii inaitwa the last call, Mungu amtangulie ila Wanaume tupo wengi haina sababu ya kuhangaishana na mimi kila wakati.

Le Mutuz
 
- Well, nilikuwa ninaitafuta this kwa muda mrefu sana, toka nilipomuwacha huyu mama yeye na kundi lake wakaingia mitandaoni ma kuanza kunitukana kama ulikuwa hujui matusi mengi mpaka ya umri miaka 55 au 60 yametokea kwa huyu mama na kundi lake, wametukana sana kwa muda mrefu sana kwenye mitandao lakini kwa sababu ninawazidi akili na ninawashinda all the times Criminology inasema mwisho wa siku mambo yakishindikana sana huwa Kiongozi wa uhalifu anajitokeza mwenyewe,

- So nilijua kwamba the day was coming atajitokeza mwenyewe finally it is here na after this it will be over, hakuna jipya hapa yote haya walishayaandika siku nyingi sana sema labda wewe sio msomaji sana wa JF na Instagram, tofauti tu ni this time amejitokeza mwenyewe and I love it!! kwa sababu after this now kutakuwa na amani maana ninakaribia kuoa Msomali wangu na yeye baada ya kusoma haya jana na leo amenielewa zaidi.

Le Mutuz

Malizeni tofauti zenu za chumbani PRIVATE upuuzi sasa huu kutunufaisha strangers! Hivi mnajua ni namna gani mnazidi waumiza watoto wenu??
 
- Kwenye maisha kuna mambo ambayo ni un avoidable so kama wewe ni Mwanaume you should always be prepared to face them facedown bila kulilia privacy, kumbuka aliyekimbilia huko nia na madhumuni yake ni kukufanya uogope kujibu kwa kisingizio cha mambo ya ndani no yakishafika huku yanahitaji majibu kama huna majibu kubali kwamba you are wrong, hahahaha if you are not you just stand up and be counted ok mkuu,

Le Mutuz
 
- Hahaha kwanza alimtuma rafiki yake mpenzi Grace anayefanya kazi Shell aende kwa Davis amuombee nimrudie, nikakataa kata kata leo yamekuwa haya, amaehangaika kila kona kuwatafuta marafiki zangu wa kike kwamba mimi kazi yangu kutembea na Malaya wa Jolly Club kuna ujumbe mmoja anamwambia Msichana wangu aliyeko South Africa kwamba ninatembea na malaya 4 kwa siku, ushahidi upo wa ujumbe alioutuma alipoabanwa nao akakosa cha kujibu, leo yamekuwa haya baada ya kuja bongo na kum ignore kama hayupo,

- Mama yangu is fine na hata kama asin gekuwa yeye tumeshaachana miaka 4 sasa kwa Divorce anamuhusu nini? Sihitaji hela ya Mhindi yoyote kulipia ofisi yangu kwanza ameiita ni Corridor nina wafanyakazi 4 wa blog ambayo kila siku inaingiza sio chini ya Shillingi Laki 2, ningekuwa na tatizo lolote la kimwili hawa mabebez wote ninaoruka nao hapa mjini na niliokwisha ruka nao hapa mjini ingekuwa hadithi ya siku nyingi na kama huamini kwa nini usije kujaribu mwenyewe maana naamini wewe ni demu cause hakuna Mwanaume anayeweza kuandika maneno ya kupashu kama yako lazima awe demu,

- Kama nilivyosema nilipoulizwa na Blogu ya Wananchi, ninamtakia heri na maisha yake mbele ya safari alitingisha kibiriti akakuta kimejaa hakuamini kwa sababu nilikuwa nampenda sana akajua nitamrudia, sasa ameshaamini kwamba simrudii tena ndio maana amekuja na haya hii inaitwa the last call, Mungu amtangulie ila Wanaume tupo wengi haina sababu ya kuhangaishana na mimi kila wakati.

Le Mutuz

Mkeo kakuzidi akili mbali sana, ata watoto wako wamekuzidi kufikiri. Nachokushangaa unaona vp ajabu watoto wako kukukataa ...Trust me ata mimi ningekukataa unawaaibisha sna kwa kweli...nawaonea huruma sana mtu usiyefikiria ata nachokkfanya wanangu wanajiskiaje... Very schupt old man I ever seen
 
- duh hahahahahah nilikuwa busy sana ila thanks kwa kunijibia mkuu, yaani mpaka nimevunjika mbavu na kucheka people IJUMAA KUANZIA SAA TATU USIKU MPAKA SAA NNE NITAKUWA TBC KWENYE MBONI SHOW USIKOSE PLEASE, HAHAHAHAHAHA

lE bIG sHOW

wewe jamaa ni hopeless kbs ndio maana watu wanakufanya cartoon ...masifa ya kitoto ata unapokuwa watu wanakuenjoy waona sifa eti unakubalika...unaongea nonsense mitandaon km mschana mshamba uhoni aibu watu hawakukubali ila wanakung'ong'a ungekuwa na akili ungeshajua hili.
 
Waafrica bhana sijui tumelaaniwa hata kufanya kauchunguzi kidogo tu kama hiki unashindwa na unakuja na tetesi? badala ya kuja na taarifa kamili!

hapo kwenye red nenda kampe hili shimo lako la kutolea mbolea uone kama inasimama au haisimami

na unavyosema hajawah kutembea na mwanamke hizo picha anazopiga na ma baby wazuri nao siyo wanawake ni wanaume?

N:B hamna mwanaume mwenye akili zake timamu amulize mwanaume rijali wa shoka maswali kama hayo!

Mkuu samahan kwa kuvamia mada, jamaa hajamuuliza Le Mutuz, ila kuna dada likua gf wake ndo anayasema haya!! Ila yote haya ameyataka Le Mutuz, asipende kujikweza sana! Apige issue zake then atulie kimya! Sasa yeye muda mwingi anajisifu, of which haimwongezei credibility yoyote!
 
Mkuu huna tofauti na huyo alieleta hayo maswali! Wewe umejuaje Le Mutuz ni mwanaume rijali wa shoka ili hali wewe ni mwanaume kama yeye? Au hili shimo la mbolea unalotaka jamaa ampe, tayari wewe umempa hadi ukajua urijali wake!? Bila shaka ndivyo ilivyo!!
 
wewe jamaa ni hopeless kbs ndio maana watu wanakufanya cartoon ...masifa ya kitoto ata unapokuwa watu wanakuenjoy waona sifa eti unakubalika...unaongea nonsense mitandaon km mschana mshamba uhoni aibu watu hawakukubali ila wanakung'ong'a ungekuwa na akili ungeshajua hili.

Mkuu, umeongea sana, ila jamaa atakua na upungufu wa akili mahali! Jaribu kumwelewa, there is something wrong upstairs, believe me or not! Binafsi siwezi kumjibu juha kama Le Mutuz!!

Ni wa kupuuza tu, na wala usihangaike nae hata kidogo!
 
- Kwenye maisha kuna mambo ambayo ni un avoidable so kama wewe ni Mwanaume you should always be prepared to face them facedown bila kulilia privacy, kumbuka aliyekimbilia huko nia na madhumuni yake ni kukufanya uogope kujibu kwa kisingizio cha mambo ya ndani no yakishafika huku yanahitaji majibu kama huna majibu kubali kwamba you are wrong, hahahaha if you are not you just stand up and be counted ok mkuu,

Le Mutuz

Acha usodoma.
 
mimi ni shabiki wako mkubwa sana na pia ni role model wangu ktk maisha ya kujitegemea japo wewe mwenzangu una msaada wa wazazitofauti na mimi sina wazazi .

Ila kuna kitu sikipendi japo si kibaya ila ni hatari kwako ni tabia yako ya kupost kila kitu ktk maisha yako ya kila siku instagram na pia kupost maisha yako binafsi ktk blog yako wakati unaiita ni blog ya wananchi.

Kwa amani tu badilika kaka mkubwa hiyo tabia ni chance katika kwa maadui wako kukushambulia maana kila kitu chako wanakijua

namalizia kwa kukwambia siyo wote tusiosoma hatuna akili ila matatizo ya dunia kwa kukosa ada kwa hiyo kuwa na lugha nzuri si kwa kutukatisha tamaa pia unaweza kuwa msomi halafu ukaenda kununua magazeti ya kiswahili tupu na elimu yake ikawa bora vilele

kuna mwanalfasa mmoja alisema "lugha unayotumia kuwaza ndiyo itakayokuletea mafanikio"

happy new year
role model?
How old r u?14?
 
Mkuu huna tofauti na huyo alieleta hayo maswali! Wewe umejuaje Le Mutuz ni mwanaume rijali wa shoka ili hali wewe ni mwanaume kama yeye? Au hili shimo la mbolea unalotaka jamaa ampe, tayari wewe umempa hadi ukajua urijali wake!? Bila shaka ndivyo ilivyo!!

Le mutuz young billioner MTU was ma mababyz
 
Mkuu samahan kwa kuvamia mada, jamaa hajamuuliza Le Mutuz, ila kuna dada likua gf wake ndo anayasema haya!! Ila yote haya ameyataka Le Mutuz, asipende kujikweza sana! Apige issue zake then atulie kimya! Sasa yeye muda mwingi anajisifu, of which haimwongezei credibility yoyote!

the mutuz ni jeshi la mtu mmoja na wewe tafuta ujitangaze! au hujulikani na mababyz
 
Acha usodoma.

- Kuna mtu amenipa siri zako kule Private Inbox kwamba wewe ni nani na unafanya kazi wapi na umejuana wapi na neema sasa nimekuelewa, kumbe ni rafiki wa Neema karibu sana. Ok by the way hebu onyesha mbwa wanavyofanya mapenzi na binadam tuone nani ni wanafanya pure usodoma na wewe ni mbwa si ndio au? hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
Mkuu, umeongea sana, ila jamaa atakua na upungufu wa akili mahali! Jaribu kumwelewa, there is something wrong upstairs, believe me or not! Binafsi siwezi kumjibu juha kama Le Mutuz!!

Ni wa kupuuza tu, na wala usihangaike nae hata kidogo!

- Umekuja mbio mtumzima na akili zako kuja kumuongelea mtu mwenye upungufu wa akili na wewe ni mzima kabisa 100%? hahahahahah REally? hahahahaha tena umekuja na mjina huo wa bandia hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Mkuu huna tofauti na huyo alieleta hayo maswali! Wewe umejuaje Le Mutuz ni mwanaume rijali wa shoka ili hali wewe ni mwanaume kama yeye? Au hili shimo la mbolea unalotaka jamaa ampe, tayari wewe umempa hadi ukajua urijali wake!? Bila shaka ndivyo ilivyo!!

- Kwa hiyo wewe sio Mwanaume rijali so unadhani kila mtu ni kama wewe au?

Le Mutuz
 
wewe jamaa ni hopeless kbs ndio maana watu wanakufanya cartoon ...masifa ya kitoto ata unapokuwa watu wanakuenjoy waona sifa eti unakubalika...unaongea nonsense mitandaon km mschana mshamba uhoni aibu watu hawakukubali ila wanakung'ong'a ungekuwa na akili ungeshajua hili.

- hahahahahaha sasa yale yale eti ni nani hao unaowaongelea na biashara zangu hapa mjini ninafanya na nani wewe? hahahaha halafu ninalipaje bills zangu unanilipia wewe mwenye akili sana? Ofisi yako binafsi kama yangu hapa mjini ipo wapi? hahahaha nyamaza maana huna point zaidi ya ujuha mtupu

Le Mutuz
 
Mkeo kakuzidi akili mbali sana, ata watoto wako wamekuzidi kufikiri. Nachokushangaa unaona vp ajabu watoto wako kukukataa ...Trust me ata mimi ningekukataa unawaaibisha sna kwa kweli...nawaonea huruma sana mtu usiyefikiria ata nachokkfanya wanangu wanajiskiaje... Very schupt old man I ever seen

- hahahahah really? hahahahaha umekuja kumjadili mtu asiyefikiria anachokifanya? hahahahahahahah maajabu ya JF haya hahahaha

Le Mutuz
 
- Kuna mtu amenipa siri zako kule Private Inbox kwamba wewe ni nani na unafanya kazi wapi na umejuana wapi na neema sasa nimekuelewa, kumbe ni rafiki wa Neema karibu sana. Ok by the way hebu onyesha mbwa wanavyofanya mapenzi na binadam tuone nani ni wanafanya pure usodoma na wewe ni mbwa si ndio au? hahahahahahahaha

Le Mutuz

Ha ha siri zangu uzipate wapi we kibabu? Utahangaika Sana ujumbe wangu acha usodoma.
 
Back
Top Bottom