Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
I couldn't agree more mkuu, ndo maana Mimi nimesema "hata kama alijitakia" sikuhitimisha kwamba alijitakia au ilimlazimu. Either way jamaa kapambana na Hali yake na he's brave enough not to blame anyone of his shortcomings whatsoeverHonestly speaking, nilishahisi Le Mutuz hana uhusiano mzuri na akina Mwere na kwa simulizi hii, niki-connect na line za mama zao, siwezi kushangaa kwa sababu baadhi ya wamama wa kambo hulea watoto wao kwa namna muwaone watoto wa mama mwingine kama ni threat kwenu.
Na kama ni kweli Mama Mwere alimpora mume mama Le Mutuz wakati walikuwa marafiki, basi ni very possible chuki ya wanawake wawili walionyang'ana mume kuhamia kwa watoto!!
Na kama baba ukiwa mdwanzi, au kv mshua mwenyewe ndo vile tena huenda alikuwa busy na shughuli za serikali (Le Mutuz been genius enough not to blame his dad) basi possibility ya kukutwa na yaliyomkuta Le Mutuz ni possible kwa sababu huenda mshua alikuwa wala hafahamu nini kilikuwa kinaendelea skani!!
Hayo mengine namwachia mwenyewe lakini kama aliyosema kuhusu family matter ni kweli basi kwangu yanatosha kutomkejeli kwa sababu anaweza kuwa ni matokeo ya family bullying na matokeo yake kama mwanaume akaamua kutafuta maisha yake!
Ni kama alikuwa na option mbili... ama ageuzwe kuwa like houseboy asiye na mtetezi ndani ya nyumba ya baba yake mwenyewe au asepe!!
Hata hivyo, inawezekana pia Le Mutuz alikuwa Nuda kupita kiasi to the point he's a family shame!!
Kingine kila mtu ana tafsiri yake ya mafanikio, inawezekana kuna watu wanamuona jamaa Kama ni failure ila kwa tafsiri yake ya mafanikio anajiona katoboa. Siwezi lazimisha tafsiri yangu ya mafanikio iapply kwa kila mtu