Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Acha wehu wewe nikae New york miaka 25 halafu nije kushangaa Duka la Adidas kuuza raba $300 nonsense kwani yeye na adidas nani alikua wa kwanza kuja duniani hivi unadhani New york n kijimji kama Dar es salaam et 1980 unadhan ilikuaje New york miaka hyo mpaka useme hivo halafu eti alikua anafanya kaz muda mwingi sasa mbona karudi Tz zero braini hana mbele wala nyuma.
Huyu babu alirudi na kende zke plus kibamia hata 500$$ hakurudi nayo,inaonekana hakua na kazi ya maana zaidi ya kuzibua mifereji
 
Sorry Chief kama nimekukwaza,,mimi hata sijui kama ana blog,coz mara nyingi taarifa zake huwa nazisoma hapa hapa JF na ndo nikapata kufahamu kumbe jamaa ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu

Binafsi namuona mpambanaji kwa sababu ni watoto wachache sana wa viongozi wakuu Serikalini,na hasa Serikali za nchi zetu za Kiafrika,,kutafuta maisha kwa staili ngumu kama alivyofanya mchizi,jamaa anasema alifanya vibarua USA vikiwemo vya kudeki kumbi za sinema ili apate ada ya kulipia Chuo,,mimi sijui ni watoto wa mawaziri wakuu wangapi toka Shitholes Countries wanaweza fanya hayo mambo

Najua inawezekana kwenda nje hakupata ugumu sana kama wengine walivyopata,,lakini kwa nafasi ya Mzee wake naona bado kulikuwa na changamoto ambazo zilitakiwa kuwapata vijana wa mitaani na si yeye

Anyway,,ngoja tuendelee kupata uhondo wa simulizi ya hii stori
Umemjibu vyema sana.
 
Copy and Pest from lemutuz PART 2

my Boss Mbelgiji Feyerick alikua ananiambia the bitter truth kua niachane na mambo ya Meli akaniambia "Hii ni kazi ya Wazee na watu wasiokuwa na Maisha sio kwa kijana kama wewe" in all my childhood


nilikuwa naulilia Ubaharia nilianza nikiwa Jamhuri Primary School nilipokutana na "MABAHARIA WA NCHI KAVU" yaani Wanafunzi wenzangu Darasani kina Juma Jagan Burr (now in Canada) na Marehemu Raja Kaka hawa ndio Wanafunzi 2 walionipa the idea ya Ubaharia cause walikuwa na ndugu Mabaharia ambao walikuwa wakiwasaliana nao sana kutoka Nje l was in yaani "BAHARIA NCHI KAVU" Baba yangu mzazi then alikuwa Waziri wa Kilimo he was stunned kusikia kua nina mawazo ya kua Baharia alianza kusikia kutoka kwa marafiki zake ambao nilikuwa nawasumbua sana


kwa pembeni wanisaidie na ndato yangu nikimaliza tu Darasa la Saba they were all shocked that nitakuwaje Baharia at darasa la Saba tu? Baba yangu siku moja akanikalisha chini na akaniambia kuwa nisahau mambo ya Ubaharia its not for me settle kisaikolojia kuwa siwezi kuwa Baharia Darasa la Saba so nilichaguliwa kusoma Sekondari nikaendelea na masomo isipokuwa nikaanza Biashara ya kuuza Siagi


nikishirikiana na Rafiki yangu aliyenifundisha biashara hii Marehemu Koi Margai Mungu Amuweke Pema Peponi kila Jumamosi tunaruka na ndege ya Air Tanzania mpaka Musoma tunanunua siagi Kiwanda Cha Maziwa Musoma na kuirudisha Dar kuwauzia Wahindi tu hii mitaa ninayoshi sasa ndio maana ninawafahamu sana


mpaka leo kwenye kila safari tulikua tunapata faida ya at least Tsh, 20,000 wakati huo USD 1 ilikuwa Tsh, 10 tu nauli ya ndege kwenda Musoma na kurudi Dar ilikua Tsh, 950 tu Cargo tunalipia like Tsh. 3,000 kuileta Siagi kwa ndege na pia nikaingia biashara ya kuuza Dola za Kimarekani mtaani kwa bei ya ujanja.


officially nikawa a "MIDLLEMAN" mtu wa kati yaani mtu ukitaka kuuza anything hapa mjini ninakuuzia unanipa Kamisheni na Ninayemuuzia naye ananipa cha Juu Double kamisheni by the time namaliza High School nilikuwa na karibu Tsh. 1M Cash na USD 10,000 Cash Money nikaanza mipango ya kwenda Majuu ..ITAENDELEA PART 3 from lemutuz
O level na A level hakusema kasoma wapi,ila primary na chuo kataja isije kua ni darasa la 7 tu huyu mwenzetu
 
Anhaaa daah!!!kumbe ni kebehi!!ni kama watoto wanavyosema fyoko.fyokooooo uku kabana pua[emoji23]
Ni hivyo sasa baharia hapa sijui kalipata wapi , maana nimelijua hilo neno kutoka kwa torture mkubwa wa Idd Amin Dada ni jirani yangu .
Tukipiga vyombo anaconfess kila kitu.
 
Ni hivyo sasa baharia hapa sijui kalipata wapi , maana nimelijua hilo neno kutoka kwa torture mkubwa wa Idd Amin Dada ni jirani yangu .
Tukipiga vyombo anaconfess kila kitu.
Wengine wanasemaga ng'e ng'e ng'e
Hehee lekokobanga katembea nchi nying kasema so huenda ilkua rahis kulijua hata hilo[emoji3]
He always humble u know,leo anaruka Dubai,kesho Moscow na hayo ndo maisha u know
Yes i love it(in kokobanga's voice)
 
Kuna kitu mkielewe, huyu jama kashasema mama yake alinyanganywa bwana live na rafiki yake kipenzi mama hippi, dr mwelee na wengine.
mama yake le mutuz alikua na mahusiano na malecela j4.
Kitambo before mama yao hippi kumpindua na kuwa nae forever na mama ya lemutuz kaendelea kuugulia mpk kafariki.
Mutuz ni mtoto wa kwanza anayetambulika wa j4.
Kilichompata ni yaleyale mtoto haramu kwasababu alipatikana nje ya ndoa. (Rf Hitler.)
Vita iliyopo ni dr Mwelee kumtumia Mange kumfanya huyu blaza hata asiongee chochote kuhusu familiya ya J4.
hatambuliki
Na hata uamuzi wake kurudi haukupendwa infact wanagombania urisi kabla baba yao hajafa .

Mama ya wale watoto katumia fursa wanae wanakula bata mpk kesho kutwa.
Haya katika vita yote aliyopigana huyu le mbamiaz US alikuja yeye km yeye . Hakuna fweza maana alizira kumuachia mama watoto kule.
Nnampa heko huyu nd
 
Kapambana vipi hakuna lolote unapambana halafu hakuna mafanikio sisi tunasema ulifeli maisha wakat wa ujana wako ndio huyu sasa kafeli maisha kabakia na historia tu na mabaharia wengi hata mtaani wamebaki na tattoo na Stori tu na kuomba omba na kujipendekeza kwa matajiri ili wapate chochote.hapo alipo hana mbele wala nyuma kutwa kujipendekeza kwa akina bashite,Asas group of companies na GSM.afadhali na uzee alionao angekua na chochote tungesema ni mpiganaji.fighter ukipigwa na maisha tayari umefeli hatukwiti fighter ni zero brain.
so what? kwani kupigwa na maisha ni dhambi? pesa huja na kupotea...i hope yeye (Lemutuz) siyo wa kwanza, na siyo wa mwisho kukumbwa na hizo misfortune. hata hivyo, maisha yake binafsi yanakuhusu nini? kwa nini umushikie bango na kashfa juu? why? sikutaka kujibu your comment, ila imenibidi tu. Records show kuwa unalalamikiwa na kila member humu JF kwa lugha isiyo na staha....kumbuka hakuna mkamilifu hapa Duniani. Yeah, may be Lemutuz ni ombaomba...Coz i don't know the guy in person...but what the fucker are you to judge him?. je wewe unajua future yako? think this way, Kesho ukigongwa na gari or uangukiwe na nyumba na u-paralyze mwili mzima...je hutokuwa ombaomba in one way or another?

THINK TWICE
 
Back
Top Bottom