Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Atakayetoka nje ya mada na kutaja mambo ya kilimo cha Bamia... mod piga Ban haraka. Manake hamchelewi humu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siyo kilimo Cha Bamia tu na Pilipili kichaa
 
Acha wehu wewe nikae New york miaka 25 halafu nije kushangaa Duka la Adidas kuuza raba $300 nonsense kwani yeye na adidas nani alikua wa kwanza kuja duniani hivi unadhani New york n kijimji kama Dar es salaam et 1980 unadhan ilikuaje New york miaka hyo mpaka useme hivo halafu eti alikua anafanya kaz muda mwingi sasa mbona karudi Tz zero braini hana mbele wala nyuma.

Kwa hiyo point yako ni nini kua anachokisimulia Le Mutuz ni uongo ama??

Soma story yake kuna vingi vya kujifunza achana na propaganda za kwenye media.
 
Nahitaji kujua, chuki za wabongo zinasababisha umaskini au umaskini wa wabongo una sababisha chuki??
Lol.

I salute you William Malecela a.k.a Le Mutuz.
a real fighter, a real hustler.
Mwenye chuki namba moja yupo pale magogoni.

Sasa jiulize tena tatizo lake ni nini mpaka atake binadamu waishi kama mashetani?
 
Maisha ya ulaya hiyo ni kawaida. Mimi mwenyewe zamani wakati nilijiwekea malengo yangu na mgeni katika nchi ya watu. Nilikuwa nafanya kazi mno.nalala 6 na nusu naamka 11.naanza kazi na break yangu ilikuwa ndogo mno.nilipiga moyo nikajituma.nilivyoridhika nikaacha kufanya hivyo. Na kuna wahindi walikuwa wanafanya kazi mtu anaingia kazini saa 8 mchana mpaka siku ya 2 asubuhi( ni illegal) kufanya hivyo kila siku ila bosi wao alikuwa muhindi .ila mapumziko yake ya one hour sijui.siongelei USA naongelea nchi nyengine
Ndugu Yangu haya mambo ya kubet yameharibu kabisa ubongo wa vijana wetu ukiondoa na ule uvivu asilia.... hajui watu wanafanya kazi tofauti tofauti huko duniani kwa masaa 23 na analala only one hour.
Yeye akilala saa sita usiku baada ya kutoka kubet anaamka kesho yake saa nane mchana anaenda kubet akitoka hapo pull table mpaka saa sita tena.

Sad.
 
Ndugu Yangu haya mambo ya kubet yameharibu kabisa ubongo wa vijana wetu ukiondoa na ule uvivu asilia.... hajui watu wanafanya kazi tofauti tofauti huko duniani kwa masaa 23 na analala only one hour.
Yeye akilala saa sita usiku baada ya kutoka kubet anaamka kesho yake saa nane mchana anaenda kubet akitoka hapo pull table mpaka saa sita tena.

Sad.
Sasa na wewe umekuja kuharibu uzi,

Habari za kubet zimetoka wapi?

Hujui kama watu wana-bet na wame-win

Anyway go back to le-mutuz issues mtu akizingua mkaushie
 
Minatamani kusikia akisimilia kipindi alipokua anaendesha gari la taka mitaani huko yuesiei.....
Pia natamani nisikie kilicho mfanya akaachana na mkewe huko yuesiei....
Na ninatamani kusikia kuhusu usaliti alio ufanya enzi akiwa baharia hadi wakataka wamtose baharini.....
Hahaaahaaaa......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
You know....
 
Sijui kwa nini watu wanamchukia huyu mtu na wanapenda kumbeza na age yake. Mwenyewe ameamua kuishi anavyoona yeye sawa. And no one is perfect. Ila namuona kama hajali
Le mutuz atajali wajinga wajinga hawa?kabla hata hajarudi bongo alitangaza hapa hapa jf kwamba naacha maisha US narudi bongo .
Nilimwambia karibu mzee wa nyc sasa itakuwa @kibaigwaa.wabongo wanaongea sana utawavumilia tu.
 
Nye nye nye ni kebehi hasa wale kwa wale tortured people waliokuwa nakasero dungeon enzi za Idd Amin.
Asili ya hilo neno ni wale askari waliokuwa wanawatesa.
Kuwapiga nyundo kwenye pumbu , kukata sikio mtu anapolia kwa maumivu na wao wanamfatisha nyeee nyee nyee.
Source:
Mtesaji mstaafu ughaibuni
Anhaaa daah!!!kumbe ni kebehi!!ni kama watoto wanavyosema fyoko.fyokooooo uku kabana pua[emoji23]
 
Ha ha ha sijui na sijawahi kubet kama una frustration zako za maisha mama relax kila mtu ana shida zake yote yana mwisho hayo
Sijui neno "frustration" limeingiaje katika majibizano yetu, ni aidha hujui kuliweka mahala pake au una hulka ya ushari,

Na kama ni la pili basi pole sana tafuta wa kufafana nawe mie sijafunzwa ushari,
Hapa ni Peace and Love tu.

Nikajua ulisema tujikite kwenye mada husika, Lol.
 
Back
Top Bottom