Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Honestly speaking, nilishahisi Le Mutuz hana uhusiano mzuri na akina Mwere na kwa simulizi hii, niki-connect na line za mama zao, siwezi kushangaa kwa sababu baadhi ya wamama wa kambo hulea watoto wao kwa namna muwaone watoto wa mama mwingine kama ni threat kwenu.

Na kama ni kweli Mama Mwere alimpora mume mama Le Mutuz wakati walikuwa marafiki, basi ni very possible chuki ya wanawake wawili walionyang'ana mume kuhamia kwa watoto!!

Na kama baba ukiwa mdwanzi, au kv mshua mwenyewe ndo vile tena huenda alikuwa busy na shughuli za serikali (Le Mutuz been genius enough not to blame his dad) basi possibility ya kukutwa na yaliyomkuta Le Mutuz ni possible kwa sababu huenda mshua alikuwa wala hafahamu nini kilikuwa kinaendelea skani!!

Hayo mengine namwachia mwenyewe lakini kama aliyosema kuhusu family matter ni kweli basi kwangu yanatosha kutomkejeli kwa sababu anaweza kuwa ni matokeo ya family bullying na matokeo yake kama mwanaume akaamua kutafuta maisha yake!

Ni kama alikuwa na option mbili... ama ageuzwe kuwa like houseboy asiye na mtetezi ndani ya nyumba ya baba yake mwenyewe au asepe!!

Hata hivyo, inawezekana pia Le Mutuz alikuwa Nuda kupita kiasi to the point he's a family shame!!
I couldn't agree more mkuu, ndo maana Mimi nimesema "hata kama alijitakia" sikuhitimisha kwamba alijitakia au ilimlazimu. Either way jamaa kapambana na Hali yake na he's brave enough not to blame anyone of his shortcomings whatsoever

Kingine kila mtu ana tafsiri yake ya mafanikio, inawezekana kuna watu wanamuona jamaa Kama ni failure ila kwa tafsiri yake ya mafanikio anajiona katoboa. Siwezi lazimisha tafsiri yangu ya mafanikio iapply kwa kila mtu
 
Niilishahisi Le Mutuz hana uhusiano mzuri na akina Dr. Mwere na kwa simulizi hii, niki-connect na line za mama zao, siwezi kushangaa.

Baadhi ya wamama wa kambo wenye fikra za kimaskini hulea watoto wao kwa namna wawaone watoto wa mama mwingine kama ni threat kwao.

Na kama ni kweli Mama Mwere alimpora mume/bwana mama Le Mutuz wakati walikuwa marafiki, basi ni very possible chuki ya wanawake wawili walionyang'ana bwana kuhamia kwa watoto!!

Na kama baba ukiwa mdwanzi, au kv mshua mwenyewe ndo vile tena huenda alikuwa busy na shughuli za serikali (Le Mutuz been genius enough not to blame his dad) basi possibility ya kukutwa na yaliyomkuta Le Mutuz ni possible kwa sababu huenda mshua alikuwa wala hafahamu nini kilikuwa kinaendelea skani!!

Hayo mengine namwachia mwenyewe lakini kama aliyosema kuhusu family matter ni kweli basi ni possible Le Mutuz ni matokeo ya family bullying!

Hpa akabakiwa na option mbili... ama ageuzwe kuwa like houseboy asiye na mtetezi ndani ya nyumba ya baba yake mwenyewe au asepe!!

Hata hivyo, inawezekana pia Le Mutuz alikuwa Nuda kupita kiasi to the point he's a family shame!! Na kama anamsingizia Mama Mwere, basi Mungu anamuona!
Lemutuz ni drama sana ,Ana miliki IDs nyingi na zote zinaweka comments
 
Le Mutuz kajaribu kujisafisha ila kuna gaps nyingi sana kwenye story yake if one is reading between the lines.

Hustle zake haziendani na uhalisia wa maisha yake ya sasa, ila pia huwezi pinga kuwa jamaa kapita katika bonde la uvuli wa mauti hata kama ni kwa kujitakia.
Nieleze kwa kifupi kwenye simulizi zake ni wapi amepitia kwenye bonde la maiti? Huyu amekulia kwenye silver spoon tu.

Waulize vijana wasiokuwa hata na laki mbili mfukoni jinsi walivyofika South Africa kwa njia za hatari kama kuvuka mto limpopo wenye mamba.

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini ati Le Mutuz hakuwa na back up ya baba yake mpaka asitumiwe dollar za kumkimu kabla hajapata kazi huyu ni muongo.
 
Well said
 
I couldn't agree more mkuu, ndo maana Mimi nimesema "hata kama alijitakia" sikuhitimisha kwamba alijitakia au ilimlazimu. Either way jamaa kapambana na Hali yake na he's brave enough not to blame anyone on his shortcomings or whatsoever

Kingine kila mtu ana tafsiri yake ya mafanikio, inawezekana kuna watu wanamuona jamaa Kama ni failure ila kwa tafsiri yake ya mafanikio anajiona katoboa. Siwezi lazimisha tafsiri yangu ya mafanikio iapply kwa kila mtu
We're even man... na hata hapo uliposema tafsiri ya mafanikio, of course, kila mmoja na tafsiri yake!! Na mwenyewe ni kweli anajiona keshatoboa... and it's okay!

Nadhani wengine kinachotusumbua ni ile kuona umri wake umeenda lakini ndo kwanza leo hii anahangaika na v-blog kazi ambayo inaonekana it's fit for Millennials. Hatuioni kama ni kazi ambayo mtu anaweza kujivunia! Lakini kwangu naona like wtf! Yaani huyu mzee kaamua kula sinia moja na vijana na kwa staili yake!!

Ah! I bow down....

Na tunaweza kumchukia tupendavyo but ukweli ni kwamba, the old man is happy na ndio maana amechagua kuishi apendavyo yeye na sio what the society expects him to be!

Na mimi nikizeeka, nataka kuwa kama Le Mutuz 😀😀😀 na kwavile nishaanza kuzeeka zeeka kwa mbali, naanza kupiga jaramba!!!
 
Lemutuz ni drama sana ,Ana miliki IDs nyingi na zote zinaweka comments
Post yangu has nothing to do with comments za watu but imetokana na simulzi za Le Mutuz! I'd some pieces kuhusu maisha yake na amegusia kile ninachokifahamu!

So, labda useme story yake ni uongo mtupu though linaweza kufuata swali: Ni kwa kiasi gani wewe binafsi unamfahamu Le Mutuz!
 
Copy and Pest from lemutuz PART 1

safari yangu ya USA ulikua ni uamuzi wangu mgumu wa kuacha Ubaharia nikiwa Melini "MV. Luxemburg"ICMB Belgian Shipping Line tukiwa South China Sea tunatokea Shanghai/China tunarudi Singapore kazi yangu Melini nilikuwa Assistant Engineer au 0fisa wa Meli ndani ya Meli.

maisha ni kwa grade and class Maofisa mnaishi sehemu maalum na mnakula sehemu maalum na mna hang out sehemu maalum sheria za Meli hamtakiwi kuchanganyikana na Crew yaani Mabaharia wa kawaida infact hata Chakula ni tofauti Maofisa mnakula vizuri sana kuliko Mabaharia ...

l was a lucky man cause nilikuwa i ninasama Chuo Kikuu Cha Ubaharia Zeeman Marine Engineering College/Antwerpen, Belgium ambako nilijiunga nacho Miaka 4 na huu ulikua Mwaka wa Tano ninamalizia Leseni ya Uinjinia wa Meli ambayo ni Equivalent to Degree cause Melini zamani hakukuwa na Degree ila Leseni Only na Masomo ya Meli ni kila Miezi 6 Darasani na Miezi 6 unasafiri kufanya kazi Melini so by Mwaka wa Tano nilikuwa Baharia wa Ukweli nimetumia like 3 Years Baharini ambayo Practically katika Ubaharia inaitwa "SEA TIME" ambayo inaheshimika sana unapoamua kuomba kazi mpya ya Ubaharia Kampuni nyingine ndani ya Meli.

nilikuwa na Bosi wangu Engineer Feyerick Mzee aliyekuwa anavuta Cuban Cigar all the times binafsi nilikua sinywi Pombe wala kuvuta sigara hii ilinifanya kuwa Baharia maarufu sana ndani ya ile Melicause kila ljumaa tulikuwa tunapewa mgao wa Meli Katoni 5 za Beer, Katoni 2 za Sigara na Chupa 2 za Pombe Kali bure mimi nilikuwa always nabadilishana na Maofisa wengine wao wananipa Juice na Soda ...

Mzee Feyerick alikuwa na tabia ya kukaa chini na kunipa darasakuhusu Maisha nilikua kijana mdogo sana infact nilikuwa nimeichezea Miaka yangu kwenye makaratasi nikisaidiwa sana na Mwili Mkubwa lakini hata hivyo sura yangu ilikua inani betray always kuwa ni mdogo so nilikuwa natembea na Kitambulisho all the times ...

kama kawaida Mzee Feyerick my Bosi wa Engine Roomalinikumbusha sana kwamba Kijana mdogo achana na hii kazi ya Ubaharia haikufai i Nchi Kavu kasome utafute maisha bora ya kisasa", maneno mazito yalinigusa sana ..........ITAENDELEA PART 2..! From le Mutuz
Tunasubiri pia historia ya pacha wako Nyani Ngabu!
 
We're even man... na hata hapo uliposema tafsiri ya mafanikio, of course, kila mmoja na tafsiri yake!! Na mwenyewe ni kweli anajiona keshatoboa... and it's okay!

Nadhani wengine kinachotusumbua ni ile kuona umri wake umeenda lakini ndo kwanza leo hii anahangaika na v-blog kazi ambayo inaonekana it's fit for Millennials. Hatuioni kama ni kazi ambayo mtu anaweza kujivunia! Lakini kwangu naona like wtf! Yaani huyu mzee kaamua kula sinia moja na vijana na kwa staili yake!!

Ah! I bow down....

Na tunaweza kumchukia tupendavyo but ukweli ni kwamba, the old man is happy na ndio maana amechagua kuishi apendavyo yeye na sio what the society expects him to be!

Na mimi nikizeeka, nataka kuwa kama Le Mutuz 😀😀😀 na kwavile nishaanza kuzeeka zeeka kwa mbali, naanza kupiga jaramba!!!
Ukizeeka unataka mfanane vibamia!
 
Ukizeeka unataka mfanane vibamia!
Ina maana kibamia kinatokana na uzee au ulivyozaliwa?!

Anyway, mimi kama mwanaume siwezi kumkejeli mwanaume mwenzangu kwa kuwa na kibamia! Why should I be concerned na dushe la mwanaume mwenzangu?! Nitakuwa concerned na how mwanamke gets old manake nikishazeeka nitatakiwa kuwa na wazee wenzangu.... but how do they look!!

Hapa ndipo napomkubali Zarinah wa Diamond... Wanawake wote wangejiweka kama Zari, hawa akina Le Mutuz wala wasingehangaika na visichana wadogo manake wangekuwa wanakutana na wanawake wanaoendana na wao but still wapo attractive!

NB: Ndo kwavile naandika hii NB or else, wangetokea wengine wakusema "ni photoshop" tu zile...as if wameshawahi kukutanae nae face to face!!
 
We're even man... na hata hapo uliposema tafsiri ya mafanikio, of course, kila mmoja na tafsiri yake!! Na mwenyewe ni kweli anajiona keshatoboa... and it's okay!

Nadhani wengine kinachotusumbua ni ile kuona umri wake umeenda lakini ndo kwanza leo hii anahangaika na v-blog kazi ambayo inaonekana it's fit for Millennials. Hatuioni kama ni kazi ambayo mtu anaweza kujivunia! Lakini kwangu naona like wtf! Yaani huyu mzee kaamua kula sinia moja na vijana na kwa staili yake!!

Ah! I bow down....

Na tunaweza kumchukia tupendavyo but ukweli ni kwamba, the old man is happy na ndio maana amechagua kuishi apendavyo yeye na sio what the society expects him to be!

Na mimi nikizeeka, nataka kuwa kama Le Mutuz 😀😀😀 na kwavile nishaanza kuzeeka zeeka kwa mbali, naanza kupiga jaramba!!!
Mkuu ukimsoma le mutuz alisema alirudi bongo akiwa na dola 1000 pekee..........kwa maisha anayoishi sasa hivi na kwaa pesa aliyorudi ni sawa kusema katoboa!........hayo maisha ya kushinda kwenye mitandao na kufungua viblogu ndio yamempa umaarufu na kumfanya ajulikane ssana na kupata connection kwa watu wengi waliompa dili za hapa na pale mfan kuwatangazia biashara zao kwenye page yake ya insta n.k......kama sio mitandao ya kijamii ungekuta le mutuz sasa hivi amejikunyata sebuleni kwa mzee malecela anasubiri mzee afe arithi mali..........mi kinachonitatiza jamaa anasema alikuwa anasave sana lakini inakuwaje karudi bongo hana kitu?
 
Umenena vyema mkuu
Umeona enh! But kama hiyo avatar inawakilisha jinsia yako, then plz don't even dream to be like hao wamama niliowataja bhana... manake duh, mara nyingi wanakuwa ndio chanzo cha watoto wa mitaani!!
 
Mkuu ukimsoma le mutuz alisema alirudi bongo akiwa na dola 1000 pekee..........kwa maisha anayoishi sasa hivi na kwaa pesa aliyorudi ni sawa kusema katoboa!........hayo maisha ya kushinda kwenye mitandao na kufungua viblogu ndio yamempa umaarufu na kumfanya ajulikane ssana na kupata connection kwa watu wengi waliompa dili za hapa na pale mfan kuwatangazia biashara zao kwenye page yake ya insta n.k......kama sio mitandao ya kijamii ungekuta le mutuz sasa hivi amejikunyata sebuleni kwa mzee malecela anasubiri mzee afe arithi mali..........mi kinachonitatiza jamaa anasema alikuwa anasave sana lakini inakuwaje karudi bongo hana kitu?
Hata mimi na-salute hustle zake including hizi za kidijitali!!

Lakini hata hilo la ku-save sana na kurudi Bongo bila kitu, issue muhimu hapo ni ku-save! Unarudi na kiasi gani inategemea ulikuwa unaingiza kiasi gani manake hicho ndicho kita-determine kiasi unacho-save . Unaweza ku-save sana lakini kama kipato chenyewe ni kidogo basi hata kile unacho-save hakiwezi kuonekana sana!!

Lakini kama nimemuelewa... ni kwamba amesema "ali-save sana" ili akapige shule!

Hey, don't forget, jamaa ana madigrii matatu!!!
 
Huyu jamaa KAMBA SN,, ameleta story za VIJIWENI,, ANA ACT ni yeye.,, USITUDHALILISHE SEAFARERS,,, hukuwahi kupanda meli,,, wala kufanya kazi melini, wacha FIX
 
Back
Top Bottom