Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)


Yaani saa nyingine unatema vitu vya maana sana, hicho ulichokisema ndio ukweli na uhalisia,
 
****Niligundua siku nyingi sana toka nikiwa mdogo kwamba I was born different nilizaliwa Mwanaume tofauti sana Mama yangu mzazi na Mama yangu wa Kambo originally walikuwa ni marafiki wa damu walioishia kuzidiana Akili na kugeuka kuwa maadui wa Ajabu na mimi nikawa caught up in the middle ya Uadui wao na the worst is Mama yangu wa Kambo was very educated as opposed na Mama yangu Mzazi ingawa wote leo ni Marehemu lakini kivuli cha Vita yao ninapigana nacho mpaka leo ****


Hii kauli Kwangu mimi nadhani ndio msingi mkuu wa maisha yake ya sasa. Every outcome in Life has its roots!
 
tatizo kubwa la le mutuz anaishi chini kivuli cha ya matatizo ya kifamilia.......hizo digrii tatu alizitafuta sio kwa ajili ya kumake life bali ni kwa ajili ya kuionyesha familia ya mama yake akina dr.Mwele kwamba na mimi nimesoma kama nyie inferior complex ndio ilimsukuma kutafuta hizo digrii......haiingii akilini uwe na degree 3 tena za US ushindwe kuzifanyia kazi ....tungetegemea kwa influence ya baba ake ukichnganya na madegree yake sasa hivi jamaa angekuwa CEO wa moja ya makampuni makubwa hapa TZ!
 
Wewe matola unapenda sana umbea point yako unataka kujua habari za mke wake! wewe ni Mwanaume bhana!
 
Daaaahh hiyo nayo ni POINT KUBWA SANA [emoji736]
 
Kwahiyo tumezuia copy and paste zisiletwe?
Hapana mkuu nashangaa muanzishaji wa thread alivyopotelea kimyakimya tu baada ya watu kujadili sana kwenye page nyingi za thread yake, zimepita siku kadhaa now tokea copy & paste ya mwisho aliyoileta
 

Mnavyosikia neno Child support Marekani mnajuwa maana yake?

Kama hamjui maana yake basi muangalieni Mange hafanyi kazi yoyote Marekani yeye ni kushinda mtandaoni kumwaga mitusi na kuchamba tu, source of income ni child support.

Huko mbelez wanawake is untouchable usiombe kitu kinaitwa divorce labda uhame nchi ndio utakuwa umemkomesha mnyonyaji wako.
 
Hata mm nimelion hilo


Ngoja aendelee kutupa story yake.
 
Hapana mkuu nashangaa muanzishaji wa thread alivyopotelea kimyakimya tu baada ya watu kujadili sana kwenye page nyingi za thread yake, zimepita siku kadhaa now tokea copy & paste ya mwisho aliyoileta
Ina maana wewe kama upo interested kweli na hiyo story unashindwa vipi kuingia Instagram ya Lemutuz ukasoma yote huko?
 
Huyu jamaa KAMBA SN,, ameleta story za VIJIWENI,, ANA ACT ni yeye.,, USITUDHALILISHE SEAFARERS,,, hukuwahi kupanda meli,,, wala kufanya kazi melini, wacha FIX
Acha udaku ww

Team B 13 NA lemutuz wapi kwa wapi

Usipende kuongea vitu ambavyo huvijui.
 
Degree 3 una miaka over 55 na background yako ni crew melini na dreva wa Lori then uwe CEO?

Kweli ccm mmejaa wapumbavu watupu.

Huyo Le Mutuz ni umri wa kina Charles Kimei, wakati wenzake wanastaafu yani yeye ndio apewe uceo?
 
Lakini mwenyewe si ameshaweka wazi kwanini alilazimika kutafuta elimu?!

Kwamba, kwavile alisaona wadogo zake wana backup kubwa hata ya kielimu kwavile hata mama yao ni msomi anayefahamu umuhimu wa elimu, nae akajua ni elimu pekee yake ndiyo itakayomwezesha kupambana!!!

Na kama unaona ni inferiority complex basi ni inferiority complex mzuri kwa sababu, kama ni wivu basi ni wivu wa maendeleo!

Kwamba, anafanya nini cha maana na hizo digrii 3, hilo ni jambo lingine! Life isn't fair. My O-Level Chemistry teacher was a Chemist, not a Chemistry teacher! Mwaka mmoja baada ya kumaliza O-Level, nikakutana na yule Mwalimu... oh God! Lakini kwa upande mwingine, ukisoma hayo maandiko yake, haonekani kama ni mtu wa kubembeleza support ya mshua!!

But on top of that, kama nazikumbuka vizuri digrii za Le Mutuz, naona zili-base sana kwenye masuala ya hobby yake ya ubaharia and marine stuff! Digrii ambazo haziwezi kumpa huo u-CEO! Sana sana sehemu ninayoona ana-fit sana ni pale DMI.
 
Hilo la child support nilitaka sana kuliweka kama main cause ya kutoonekana na chochote lakini nikaamua kukausha kwa sababu sikuwa na uhakika sana na aina ya mahusiano yake na ex-wake!!

Sifahamu ni wakati gani alitengana nae! Kama ni wakati wa hustle zake au kipindi alichoamua kurejea Tz.

Child support US na Europe ni nyoko... Mwanaume ukishaingia cha kike tayari hesabu wewe ni Msukule wa mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…