Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Kapambana vipi hakuna lolote unapambana halafu hakuna mafanikio sisi tunasema ulifeli maisha wakat wa ujana wako ndio huyu sasa kafeli maisha kabakia na historia tu na mabaharia wengi hata mtaani wamebaki na tattoo na Stori tu na kuomba omba na kujipendekeza kwa matajiri ili wapate chochote.hapo alipo hana mbele wala nyuma kutwa kujipendekeza kwa akina bashite,Asas group of companies na GSM.afadhali na uzee alionao angekua na chochote tungesema ni mpiganaji.fighter ukipigwa na maisha tayari umefeli hatukwiti fighter ni zero brain.
Yaani saa nyingine unatema vitu vya maana sana, hicho ulichokisema ndio ukweli na uhalisia,