Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

kuna mipumbavu humu inaishi kwa mjomba au imepewa kazi za ukarani kwa mjomba ndio inaandika upupu humu kwa kompyuta ya mjomba badala ya kufanya kazi.
le mutuz kaja bongo na dola jero tu kawaacha hapo mnakunywa supu zenu za utumbo na michemsho na nyama choma ugali ndio mnaona maisha.
Huyu jamaa mimi nilikua nataniana nae sana tu sema alipoweka hii story nimemnyanyulia mikono maana niko njia hiyo hiyo ila huku karibia kwa dr shika.
 
Na Malori hayo yalikuwa ya kubebea nini hasa.

Taka-Ngumu..
Taka-Maji..
Maji-Taka..
Taka-Nuka (ng'ee)?

Tuanzie hapo.
ushaambiwa harzadous material,hiyo ni pamoja na makimba,viungo vya binadamu,maiti yaaani kila unachokijua ww harzadous kabeba,na ndo mana alikua anapigwa bonus kila mara maana si kwa roho ngumu hiyo anapiga na overtime.
 
mange anamtambulisha mwelee km mama yake wa hiari,wanajuana,le mutuz ni matokeo ya mbuyu uliofichwa miaka mingi sana ukafie mbele huko,sasa mbuyu ulivyochomoza ukiwa na mabuyu yaliyokomaa sebuleni ndio sasa wale walioficha mbuyu wanahangaika kwamba atawapiku kwenye kuchukua urithi.
By Le mutuz anadai wanahangaika bure tu maana ye kajirudia bongo kwa mishe mishe zake,sasa ndo hapo wanaingizwa wale wanaojua kutumia mtandao vizuri kumu atack simple maths.
 
Ngoja nimalizie Kazi za watu...nisome hapa
Ukimaliza kumsoma Le Mutuz ingia kwenye Insta ya Tundu Lisu ndio mtajuwa huyu Le Mutuz ana degree ya 4 ya uwongo na uzushi.

Unapomsoma Le Mutuz uwe na uwezo wa kufilter maelezo yake maana hapa kuna watu keshawateka akili kwa hadithi zilizojaa kamba na fix kibao.

Kama swala chuki tungewachukia kina Bakhresa na Mengi na siyo Lofa mwenzetu kama Le Mutuz, wengine tunapinga uwongo wa huyu jamaa.
 
Good story lakini mambo ya ndoa na watoto hayakufikiwa labda second episod....Marekani Mke na watoto labda watakuja Tz kuungana na Mzee..Le Muntuz
 
Nimemsoma Lisu pia, ila inavyoonesha huyo nyumbu Lisu ndio muongo maana Le mutuz aliweka na evidence kabisa ya picha aliopiga na huyo Lisu huko US enzi hizo. Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini sana kama huyo Tundu, si ni huyu huyu alituaminisha Lowassa ni fisadi na alikua anaongea hadi mishipa inamtoka??? Si ni huyu huyu Lisu alituaminisha kua madudu mengi ie Escrow ni yeye ndio anayaibua?? Kumbe ni Dr. Slaa yeye alikabidhiwa tu ayaongee. Kwahili bado Le mutuz ni mkweli na Tundu ni muongo.
 
hata avatar yako inabainisha ulicho andika[emoji23][emoji23]
 
Umeanza kujamba na ushuzi wako wa maharage unanuka harufu mbaya, umemsoma Lisu au umehadithiwa?

Nioneshe ni wapi huyo Le Kiba100 wako alipokanusha maelezo ya Kamanda Lisu?
 
Licha ya Upimbi wake lakini huyu jamaa bado ni shujaa, alifanya haya yote wakati baba yake akiwa mtu mkubwa serikalini hadi kufikia cheo cha waziri mkuu na makamo wa pili wa Rais.

Big up sana kwake....ingekuwa ni mitoto ya siku hizi cjui ingekuwaje!
 
@ushuzi1. @W.J. Malecela le KOKOBANGA
 
Lemutuz mbona hujaweka picha ya kifua chuma tuone ulivyokuwa mbona kuna kipindi mlikuwa vizuri na kina dr mwele ukawa unawasifia sana kwenye acc yako sijui shetani gani kapitia kati

Kingine nina ombi langu lemutuz ebu niunblock insta hivi kuguna kwangu tu kwenye maelezo yako nikala block nimekoma sitaguna kitu jaman nitapita tu kimya kimya

Ila story nzuri inafundisha tuachane na mapungufu mengine uliyonayo
 
Hili jamaa ni liongo sana kuna pic amepost akiwa na Mh Lissu,maelezo aliyoyatoa hapo kuhusiana na hio pic Lissu ameyakanusha vibaya sana,so hii story yake haina ukweli kwa 100%
 
Vinavyo kushangaza ni vya kipumbavu, unataka akusimulie mahusiano, simulia wewe yakwako kwanza. Mwanaume af unapenda udaku. Huyu ana watoto, so usimuone hana akiri km wewe
kwa wafugaji wa kuku hawatapata shida kukuelewa maana ubongo wa boiler ni half dead ...jamaa anasema ni story ya maisha yake marekani...amesimulia a lot bt hajagusia mahusiano its normal thing kwenye story kama zake kuwa na para ya relationship...alafu uache kukurupuka nimesema hyo story yake labda kama ana kitu anataka kukiwasilisha lakini ina vitu vingi vya maisha ya kawaida kavifunika.....kwenda karudie fasihi simulizi shule ya msingi ku?@$%#fu miaka 5 mbele...
 
Jamaa anapiga picha yupo kwenye hotel five star zaidi ya moja utamuitaje kafail maisha.Masikini amejawa na chuki sana na ndiyo maana MUNGU kawaterekeza masikini wa kipato waisome namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…