Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Fatilia kaz za kuzibua mifereji NY wanalipwaje afu urudi hapa. Watoto wa iswahilini mnashida sana, usifikili unavyodharau kaz bongo huku na US ni hivyo, ile ni nchi ya kibepari huwez kaa kwa kaka au shemeji et unaaply kaz, kule huwez mkopa mtu hela. Hata uwe na degree utafanya kaz ilyo mbele yako ili uishi km hujawa omba omba wa barabarani basi watakupumulia wenzio.
kuna mipumbavu humu inaishi kwa mjomba au imepewa kazi za ukarani kwa mjomba ndio inaandika upupu humu kwa kompyuta ya mjomba badala ya kufanya kazi.
le mutuz kaja bongo na dola jero tu kawaacha hapo mnakunywa supu zenu za utumbo na michemsho na nyama choma ugali ndio mnaona maisha.
Huyu jamaa mimi nilikua nataniana nae sana tu sema alipoweka hii story nimemnyanyulia mikono maana niko njia hiyo hiyo ila huku karibia kwa dr shika.
 
Na Malori hayo yalikuwa ya kubebea nini hasa.

Taka-Ngumu..
Taka-Maji..
Maji-Taka..
Taka-Nuka (ng'ee)?

Tuanzie hapo.
ushaambiwa harzadous material,hiyo ni pamoja na makimba,viungo vya binadamu,maiti yaaani kila unachokijua ww harzadous kabeba,na ndo mana alikua anapigwa bonus kila mara maana si kwa roho ngumu hiyo anapiga na overtime.
 
Kwa hiyo mange na le mutuz ni ndugu? Ugomvi wao ni mali za urithi...sa hapo mzee ni mzima siku akifariki itakuwaje? Mange ni upande wa mama wa kambo wa lemutuz... lu mutuz na mwale ni mama mmoja au kila mtu na mama yake? Ila wazazi tujifunze jinsi ya kulea familia..wake wengi nao ni shida
mange anamtambulisha mwelee km mama yake wa hiari,wanajuana,le mutuz ni matokeo ya mbuyu uliofichwa miaka mingi sana ukafie mbele huko,sasa mbuyu ulivyochomoza ukiwa na mabuyu yaliyokomaa sebuleni ndio sasa wale walioficha mbuyu wanahangaika kwamba atawapiku kwenye kuchukua urithi.
By Le mutuz anadai wanahangaika bure tu maana ye kajirudia bongo kwa mishe mishe zake,sasa ndo hapo wanaingizwa wale wanaojua kutumia mtandao vizuri kumu atack simple maths.
 
Ngoja nimalizie Kazi za watu...nisome hapa
Ukimaliza kumsoma Le Mutuz ingia kwenye Insta ya Tundu Lisu ndio mtajuwa huyu Le Mutuz ana degree ya 4 ya uwongo na uzushi.

Unapomsoma Le Mutuz uwe na uwezo wa kufilter maelezo yake maana hapa kuna watu keshawateka akili kwa hadithi zilizojaa kamba na fix kibao.

Kama swala chuki tungewachukia kina Bakhresa na Mengi na siyo Lofa mwenzetu kama Le Mutuz, wengine tunapinga uwongo wa huyu jamaa.
 
Good story lakini mambo ya ndoa na watoto hayakufikiwa labda second episod....Marekani Mke na watoto labda watakuja Tz kuungana na Mzee..Le Muntuz
 
Ukimaliza kumsoma Le Mutuz ingia kwenye Insta ya Tundu Lisu ndio mtajuwa huyu Le Mutuz ana degree ya 4 ya uwongo na uzushi.

Unapomsoma Le Mutuz uwe na uwezo wa kufilter maelezo yake maana hapa kuna watu keshawateka akili kwa hadithi zilizojaa kamba na fix kibao.

Kama swala chuki tungewachukia kina Bakhresa na Mengi na siyo Lofa mwenzetu kama Le Mutuz, wengine tunapinga uwongo wa huyu jamaa.
Nimemsoma Lisu pia, ila inavyoonesha huyo nyumbu Lisu ndio muongo maana Le mutuz aliweka na evidence kabisa ya picha aliopiga na huyo Lisu huko US enzi hizo. Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini sana kama huyo Tundu, si ni huyu huyu alituaminisha Lowassa ni fisadi na alikua anaongea hadi mishipa inamtoka??? Si ni huyu huyu Lisu alituaminisha kua madudu mengi ie Escrow ni yeye ndio anayaibua?? Kumbe ni Dr. Slaa yeye alikabidhiwa tu ayaongee. Kwahili bado Le mutuz ni mkweli na Tundu ni muongo.
 
UMEGUSA AMBAPO HUWA NAPALENGA KABISAA KTK MAISHA YANGU ..HUWA NAWAAMBIA WATU KUWA SITAMANI KUWA MTU ASIYEJITAMBUA..ILA NATAMANI MAISHA YAWATU WASIOJITAMBUA..NASBABU KUU ZA KUTAMANI MAISHA YAO NI KAMA HIZO ULIZOZIELEZEA HAPO ...
mtu asiyejitambua hana pressure ya kuwa kwenye mahusiano ya aina yoyote Yale ..iwe nikuwa na mke/demu rafiki /Jamaa ..nyumba Gari .kazi nzuri /biashara wala mafanikio ya aina yoyote Yale .hata wanapokuwa na watoto huwa wanaishia kuwa telekeza tu ..so hali kama hiyo huwa inawafnya kutokuwa na msongo waaina yoyote ule kuhusu maisha yao...
hata avatar yako inabainisha ulicho andika[emoji23][emoji23]
 
Nimemsoma Lisu pia, ila inavyoonesha huyo nyumbu Lisu ndio muongo maana Le mutuz aliweka na evidence kabisa ya picha aliopiga na huyo Lisu huko US enzi hizo. Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini sana kama huyo Tundu, si ni huyu huyu alituaminisha Lowassa ni fisadi na alikua anaongea hadi mishipa inamtoka??? Si ni huyu huyu Lisu alituaminisha kua madudu mengi ie Escrow ni yeye ndio anayaibua?? Kumbe ni Dr. Slaa yeye alikabidhiwa tu ayaongee. Kwahili bado Le mutuz ni mkweli na Tundu ni muongo.
Umeanza kujamba na ushuzi wako wa maharage unanuka harufu mbaya, umemsoma Lisu au umehadithiwa?

Nioneshe ni wapi huyo Le Kiba100 wako alipokanusha maelezo ya Kamanda Lisu?
Nimemsoma Lisu pia, ila inavyoonesha huyo nyumbu Lisu ndio muongo maana Le mutuz aliweka na evidence kabisa ya picha aliopiga na huyo Lisu huko US enzi hizo. Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini sana kama huyo Tundu, si ni huyu huyu alituaminisha Lowassa ni fisadi na alikua anaongea hadi mishipa inamtoka??? Si ni huyu huyu Lisu alituaminisha kua madudu mengi ie Escrow ni yeye ndio anayaibua?? Kumbe ni Dr. Slaa yeye alikabidhiwa tu ayaongee. Kwahili bado Le mutuz ni mkweli na Tundu ni muongo.
 
Licha ya Upimbi wake lakini huyu jamaa bado ni shujaa, alifanya haya yote wakati baba yake akiwa mtu mkubwa serikalini hadi kufikia cheo cha waziri mkuu na makamo wa pili wa Rais.

Big up sana kwake....ingekuwa ni mitoto ya siku hizi cjui ingekuwaje!
 
mange anamtambulisha mwelee km mama yake wa hiari,wanajuana,le mutuz ni matokeo ya mbuyu uliofichwa miaka mingi sana ukafie mbele huko,sasa mbuyu ulivyochomoza ukiwa na mabuyu yaliyokomaa sebuleni ndio sasa wale walioficha mbuyu wanahangaika kwamba atawapiku kwenye kuchukua urithi.
By Le mutuz anadai wanahangaika bure tu maana ye kajirudia bongo kwa mishe mishe zake,sasa ndo hapo wanaingizwa wale wanaojua kutumia mtandao vizuri kumu atack simple maths.
@ushuzi1. @W.J. Malecela le KOKOBANGA
 
Lemutuz mbona hujaweka picha ya kifua chuma tuone ulivyokuwa mbona kuna kipindi mlikuwa vizuri na kina dr mwele ukawa unawasifia sana kwenye acc yako sijui shetani gani kapitia kati

Kingine nina ombi langu lemutuz ebu niunblock insta hivi kuguna kwangu tu kwenye maelezo yako nikala block nimekoma sitaguna kitu jaman nitapita tu kimya kimya

Ila story nzuri inafundisha tuachane na mapungufu mengine uliyonayo
 
story haijafika mwisho lakini kuna kitu najifunza kwa huyu mtu
1. alitumia nafasi ya baba yake vizuri kiasi bila kuwa na utegemezi wa 100% tofauti na kama mimi mzee wangu angekua malechela nisingekaa nilale hata guest ya bei chee sembuse warehouse
2. Mpaka sasa hajalaumu sana familia yake amegusia kidogo umama wa kambo lakini hajaonesha athari za waziwazi kwenye maisha yake
3. kwa kiasi ni mfano wa kuigwa kwa watoto wa viongozi wengine kwa namna alivyohastle.
4. Naona hata now anauwezo wa kuwa billionaire kwa namna asivyo na aibu wa kujali he can do anything... ingawa mara nyingi mtu asiyekuwa na aibu busara yake inakua ndogo kiasi.

CHA KUNISHANGAZA...

Inaonekana jamaa jamaa alikua mdogo sana kipindi ambacho kwa Mimi tayari nilikua na mtoto kwa sababu ya hamu za ujana ...so jamaa hajaelezea hata nukta ya maisha yake ya mahusiano ....

Kingine kinachonishangaza kwa maelezo yake ukipiga hesabu alipotoka baharini alikua na pesa ndefu coz alikua havuti wala hanywi na misosi yote ni ya bure kwenye meli...lakini ni kama alianza moja from kwenye treni..sasa najiuliza alikua anasave how...labda sijaelewa..baharia mwaka mzima huna mpango na mwanamke ni hatari kidogo
Hili jamaa ni liongo sana kuna pic amepost akiwa na Mh Lissu,maelezo aliyoyatoa hapo kuhusiana na hio pic Lissu ameyakanusha vibaya sana,so hii story yake haina ukweli kwa 100%
 
Vinavyo kushangaza ni vya kipumbavu, unataka akusimulie mahusiano, simulia wewe yakwako kwanza. Mwanaume af unapenda udaku. Huyu ana watoto, so usimuone hana akiri km wewe
kwa wafugaji wa kuku hawatapata shida kukuelewa maana ubongo wa boiler ni half dead ...jamaa anasema ni story ya maisha yake marekani...amesimulia a lot bt hajagusia mahusiano its normal thing kwenye story kama zake kuwa na para ya relationship...alafu uache kukurupuka nimesema hyo story yake labda kama ana kitu anataka kukiwasilisha lakini ina vitu vingi vya maisha ya kawaida kavifunika.....kwenda karudie fasihi simulizi shule ya msingi ku?@$%#fu miaka 5 mbele...
 
Unaposema "Amefeli maisha" umempima kwa kipimo gani? Wakati unasema kutwa anajipendekeza na kuombaomba kwa matajiri, unajua ya kwamba hao uliwataja kwamba anajipendekeza kwao asilimia kubwa wanamlipa kutumia platform yake kutangaza biashara zao? Wewe usiyejipendekeza na kuombaomba kwa matajiri umefaulu nini katika maisha yako mkuu?

Hicho chochote unachosema angekuwa nacho ungesema ni mpiganaji, ungependa awe na nini katika Uainishaji (Classification) wako ili uweze kumuita na kumpongeza kama mpiganaji?
Kuna wapambanaji wengi sana wa zamani ambao kwa sasa hawako katika nafasi za juu kimaisha katika jamii, lakini ukweli na alama walizoacha enzi zao zinabaki katika taswira ya jamii.
Jamaa anapiga picha yupo kwenye hotel five star zaidi ya moja utamuitaje kafail maisha.Masikini amejawa na chuki sana na ndiyo maana MUNGU kawaterekeza masikini wa kipato waisome namba
 
Back
Top Bottom