babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
kuna mipumbavu humu inaishi kwa mjomba au imepewa kazi za ukarani kwa mjomba ndio inaandika upupu humu kwa kompyuta ya mjomba badala ya kufanya kazi.Fatilia kaz za kuzibua mifereji NY wanalipwaje afu urudi hapa. Watoto wa iswahilini mnashida sana, usifikili unavyodharau kaz bongo huku na US ni hivyo, ile ni nchi ya kibepari huwez kaa kwa kaka au shemeji et unaaply kaz, kule huwez mkopa mtu hela. Hata uwe na degree utafanya kaz ilyo mbele yako ili uishi km hujawa omba omba wa barabarani basi watakupumulia wenzio.
le mutuz kaja bongo na dola jero tu kawaacha hapo mnakunywa supu zenu za utumbo na michemsho na nyama choma ugali ndio mnaona maisha.
Huyu jamaa mimi nilikua nataniana nae sana tu sema alipoweka hii story nimemnyanyulia mikono maana niko njia hiyo hiyo ila huku karibia kwa dr shika.