Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Hata kama alipata dola 500... Hyo Ilikuwa pesa nyng sana kwa wakati huo,,, asingeweza kuacha,,, akalale nje marekani,,, pia LEMUTUZ hana umri mkubwa wa kushindwa kuwa melini hata sasa,,, Kuna watu wana 60 na still wapo on SAIL... melini,,,, yeye ni 2RD ENGINEER ni cheo kikubwa mno melini,,,, ana copy maisha ya watu analeta humu.... Mwongo..
Hakuajiriwa alikuwa field practical training, so angewezapewa posho tu,kuwa assistant engineer ingewezekana yaani msaidizi wa Fundi iwe ni Fundi mkuu au second au third enginear
 
Hilo la child support nilitaka sana kuliweka kama main cause ya kutoonekana na chochote lakini nikaamua kukausha kwa sababu sikuwa na uhakika sana na aina ya mahusiano yake na ex-wake!!

Sifahamu ni wakati gani alitengana nae! Kama ni wakati wa hustle zake au kipindi alichoamua kurejea Tz.

Child support US na Europe ni nyoko... Mwanaume ukishaingia cha kike tayari hesabu wewe ni Msukule wa mwanamke!
Nieleweshe vizuri hapo, kivip child support inazingua?
 
Hakuajiriwa alikuwa field practical training, so angewezapewa posho tu,kuwa assistant engineer ingewezekana yaani msaidizi wa Fundi iwe ni Fundi mkuu au second au third enginear
Ni mwongo,, sababu huwezi kuwa assistant engineer kwa miaka 3 ukawa kibarua,
Kuna kitu melini wanaita SEA TIME,,, Ndy practical,,, yaani ukitoka chuoni level ya OS (OS) means ORDINARY SEAMAN,,
unakuwa huja specialized ni position gani melini utafanya kazi... unakwenda sea time,,
ili upate uzoefu,,

ukirudi unakwenda tena chuoni,,, unasoma Kuna kitu wanaita ratings .. either ya deck or engine

,hapo Ndy unachaguwa unataka unafanya kazi sehem gani melini,, unasoma EITHER DECK RENTING,, OR ENGINE RATING.. ,ukimaliza unakuwa AB means ABLE SEAMAN.. .. wa deck au engine,,, , sasa hapo kwenye engine Ndy unakwenda ngazi kwa ngazi 3rd engineer,, halafu, 2nd engineer ,, engineer ,,, then chief engineer,,, na huko kwenye deck AB,, 3rd officer,2nd officer then chief officer,, then captain ,
Nina maana huwezi ukawa (2rd engineer,,) , , fundi mkuu wa meli msaidizi ,,, huwezi kuwa unafanya practical for 3 years,,, ,, ni uongo,, sea time ni 6 months tu....au miezi 9,,
Tena ukiwa sio wa rank ya OS.. ukiitwa officer unakuwa ushapita kote ktk sea times na mengineyo.

maana ili uwe officer unatakiwa uwe na 3 years experience tena meli kubwa,,,
Ndy unaweza kusoma officer wa meli,,,
sasa yeye LEMUTUZ alikuwa officer melini,, hawezi kuwa ni kibarua,
,. huwezi kuwa 2rd engineer uwe kibarua,,
means unajifunza,, sio kwl... Melini ni kama jeshini,,
watu wanaheshimiana kwa cheo

. Huyo mzee mwongo,,,na kujifunza ni OS.
 
Nimesoma "stori" ya Le mutuz na kisha nikaanza kupitia "comments" za watu humu ndani. Nimegundua kuwa wachangiaji wengi wa huu "uzi" wanachuki binafsi na Le mutuz na wengi wao pia hawaelewi walichokisoma ingawa kimeandikwa kwa Lugha ya "kiswahili".

Comments hizi zinadhihirisha wazi kabisa kuwa uwelewa wa wachangiaji wengi humu JF ni mdogo sana, ni kama watoto wa darasa la 5 wanaosoma "special schools" na kwa wale wanaosoma "shule za kayumba" ni kama watoto wa darasa la 3. Binafsi nakerwa sana na wachangiaji wa aina hii. Jamii Forums imekuwa kama kijiwe cha "mateja", maana hakuna hoja za msingi zinazojadiliwa humu ndani zaidi ya "matusi" na "mipasho" basi.

Le mutuz ameandika "stori" nzuri sana na yenye kufundisha hata kama atakuwa ameongezea "chumvi" sehemu fulani fulani, lakini pia tufahamu kuwa "chumvi" kidogo hunogesha "stori" na kuifanya iwe tamu zaidi.

Ni ujinga kumchukia mtu ambaye hakujui wala wewe humjui, sana sana mmejuana tu kwenye mitandao. Wengi wenu humu ndani huyu "Le Mutuz" ni kama baba yenu kiumri. Inashangaza sana. What a pathetic young demographic!
 
Jiulize ni kwa nini Mabillionare kama Bakhressa na watoto wake wasichukiwe humu ila achukiwe kapuku kama huyu Willy?

Nenda kwenye Insta page ya Tundu Lisu akaone ulaghai na utapeli wa huyo mwehu unayemtetea.
 
Lemutuz mbona hujaweka picha ya kifua chuma tuone ulivyokuwa mbona kuna kipindi mlikuwa vizuri na kina dr mwele ukawa unawasifia sana kwenye acc yako sijui shetani gani kapitia kati

Kingine nina ombi langu lemutuz ebu niunblock insta hivi kuguna kwangu tu kwenye maelezo yako nikala block nimekoma sitaguna kitu jaman nitapita tu kimya kimya

Ila story nzuri inafundisha tuachane na mapungufu mengine uliyonayo
[emoji23] [emoji23] mama ukitaka kufaidi ubuyu kule usipinge chochote[emoji23]wee soma tuuu unless otherwise unakula kufuli,nlishalamba kufuli kwa dada wa taifa kisa nmeweka emoji ya [emoji57] [emoji57] hahaha sijui ilikuaje nikafunguliwa
 
Nieleweshe vizuri hapo, kivip child support inazingua?
Ukishaingia kwenye system ya kimarekani na umezaa na mwanamke na mmedivorce, pesa ya matuzo ya mtoto inakatwa moja kwa moja kwenye mshahara wako inapelekwa kwenye account ya mama mtoto.

Hii ndio inampa kiburi Da Mange kushinda mtandaoni kumwaga matusi mwisho wa siku mzungu lazima akatwe percent iliyowekwa kisheria inaenda kwa mama kwa ajili ya matunzo ya mtoto.

Sheria hii mbaya imesababisha vijana wengi wa Kimarekani kuchukia kazi za kuajiliwa, ila Willy kwenye hizi longolongo zake hausemi ukweli huu.
 
[emoji23] [emoji23] mama ukitaka kufaidi ubuyu kule usipinge chochote[emoji23]wee soma tuuu unless otherwise unakula kufuli,nlishalamba kufuli kwa dada wa taifa kisa nmeweka emoji ya [emoji57] [emoji57] hahaha sijui ilikuaje nikafunguliwa
Mama nimekoma mimi jaman napitwa na mambo ya le kokobanga kwenye page ebu niombee aniunblock nimejifunza kutokana na makosa sitaguna wala kuongea chochote tena nitapita kimyaaa
 
Jiulize ni kwa nini Mobillionare kama Bakhressa na watoto wake wasichukiwe humu ila achukiwe kapuku kama huyu Willy?

Nenda kwenye Insta page ya Tundu Lisu akaone ulaghai na utapeli wa huyo mwehu unayemtetea.
Mkuu kwani kila anachoandika au kusema Tundu Lissu ni "kweli tupu"??? Huyo Tundu Lissu ameshasema vitu vingapi vya uongo ambavyo vinajulikana?? Mbona kama vile unamwona Tundu Lissu ni kama "Malaika"???

Sikatai kuwa Le mutuz atakuwa ameongezea "chumvi" kidogo kwenye stori yake, lakini fahamu kwamba hii ni stori ya maisha na inaweza ikawa imeongezewa chumvi kidogo na muhusika mwenyewe ili "inoge" kwa wasomaji wake. Le mutuz haandiki "Injili" wala "msaafu", anaandika stori ya maisha aliyokutana nayo akiwa Marekani na kwa kufanya hivyo ni lazima tu kuna sehemu atapiga "fix" kidogo ili kuchangamsha kijiwe.
 
Mama nimekoma mimi jaman napitwa na mambo ya le kokobanga kwenye page ebu niombee aniunblock nimejifunza kutokana na makosa sitaguna wala kuongea chochote tena nitapita kimyaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pooole ntakua nakuletea alivyovipost
 
Nimepitia hyo HISTORY YAKO ya UBAHARIA,,, nimegunduwa ni UONGO MTUPU,, wewe mzee hukuwahi kuwa Baharia,, pengine ni STORY TU za VIJIWENI Umeamua kutuletea humu,,,, labda niwaeleze wakuu kwa faida ya wote... Ktk story yako umesema ulikuwa assistant engineer... Elewa kuwa ktk meli hakuna cheo HICHO.. Pili umesema umeshuka melini ukaenda marekani UKAWA unalala nje,,, means hukuwa na PESA,,, wakati BAHARIA YEYOTE pesa zake zinatiwa KWENYE account,,, ukishuka unazikuta zimejaa kwahyo km ulikuwa unafanya kazi melini kwa cheo HICHO ni lazima ungeshuka na pesa nyingi mno,, sasa why ulale nje? Ukose hata pesa za hotel? Wewe unataka kuhalalisha mambo yako ya hovyo unayofanya UTUDHALILISHE SEAFARERS... kumbe SEAFARERS ni watu wanaojielewa..... KWENYE meli Kuna MASTER,, CHIEF OFFICE ,,, OFFICES.,, BOSSEN,,,AB wa deck. .. na OS... hawa ni watu wa DECK.. Nina maana wanaofanya kazi juu ya meli..... Kuanzia MASTER ambaye Ndy CAPTAIN,, yeye ni mkuu wa meli,,, anafata chief officer ambaye yeye ni mkuu baada ya CAPTAIN,, kwa watu wa deck... Halafu Kuna 2nd officer,, 3rd OFFICE.. halafu Ndy officers wa kawaida.. Na hao AB wa deck na OS Ndy BAHARIA wa MWISHO... huko KWENYE injini ROOM Kuna CHIEF ENGINEER,, ndy mkuu wa mambo ya ufundi,,, 2nd engineer,, 3 rd engineer,, OFFICERS wa kawaida,, AB wa engineer.. Na OS,, sasa atwambiye huyo assistant engineer ni cheo gn? Msipigwe porojo za VIJIWENI,,, humu Kuna SEAFARERS kibao,,, asitudhalilishe na MAKAPTULA YAKE,,, anapaswa AOE,, na aache kuvaa MABUKTA kwa kisingizio cha UBAHARIA,, hiyo level yake ya mambo ya meli aliyokuwa nayo sio ya kwenda kubeba box marekani,,,, hata leo angekuwa na cheo HICHO cha mambo ya meli asingekuwa mpambe wa BASHITE,, hebu gougle Mshahara wa chief engineer,, au 2nd engineer,, kama hujaambiwa dola 8000 kwa mwezi... ubaharia hauna limit ya umri... Huyo mwongo kweupe,,,, mwambiye atuwekee pch YUPO on duty melini..... Wee mzee wacha fix... Nyie Ndy mabaharia wa kujichora NANGA MIKONONI,, hata meli hamuijuwi.. Mshahara wa ORDINARY SEAMAN(OS) ni dola 1000 hadi 1500 kwa mwezi.... Huyo ni mtu wa chini melini,,, OFICCERS wa kawaida wanakula DOLA 3500 hadi 4000 kwa mwezi,,, huyo 2nd. A 3rd engineer wanakula zaidi ya dola 6000 kwa mwezi.. Na kazi ni za mikataba miezi sita au tisa,,, unashuka likizo,, mwezi mmoja inchi KAVU.. Ni DOLA ngp angekuwa nazo? Aje awe mpambe wa BASHITE? atawadanganya wengine but sio SEAFERARS.. Awache meli akaendeshe malori,, ni UONGO
boss samahani hiyo amount ni ya miaka hii ya 2000+ au ya miaka ya 1980 ambapo lemutuz alifanya kazi?? Ukipata tym niweke sawa boss
 
boss samahani hiyo amount ni ya miaka hii ya 2000+ au ya miaka ya 1980 ambapo lemutuz alifanya kazi?? Ukipata tym niweke sawa boss
Hiyo amount ni ya sasa,,, lakini hata wakati wake walilipwa vizuri mno,,, Nina babu yngu alikuwa BAHARIA miaka ya 80 kila akirudi ananunuwa nyumba,,anakaa mwaka anarudi TANZANIA..na Hata kama alilipwa LEMUTUZ dollars 500 bado asingeweza kuacha kazi ya meli,,, akalale nje marekani,,, pia kafanya kazi miaka 3 anashindwa kuandika vzr cheo chake melini... Kwani mkuu hujawahi kuona mtu anavaa magwanda ya jeshi na sio mwanajeshi? Kuna sign na vitu fulani kwa real solder ni rahisi kuvijuwa... Na kama ni fake solder ni rahisi kugundulika... . He was never be a SEAFARER... And he will never be
 
Uongo wake ume kuathiri nini mkuu km kaamaua kuchangamsha kijiwe it's ok! in all hatupo hapa ku judge maisha ya mtu alio chagua kuishi tusubirie story km Shigongo sawa km kweli kikubwa ume jifunza nini!?
Kumbe ni porojo? Nilidhanj story ya kwl... Sawa mkuu,,
tuendelee kusikiliza porojo,, ila huna cha kujifunza kupitia porojo,,, jifunze kwa really life
 
Back
Top Bottom