Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Labda wewe na mazuzu wenzako mnajifunza jinsi ya kupiga porojo na fix na si kwa mtu yeyote makini makini kutetea longolongo hizi.
Chuna basi Bob ,!! Unaonekana bonge la kiazi aisee ..kukazania mwanaume mwenzio ...na kumshuhudia kwamba muongo ..je unaujua ukweli wake utuelezee ,Ina onekana wamjua vizuri chalii ...umbea waachie Dada zako kijana ....jifunze kupitia wengine bob!
 
Mungu amrehemu Hipi Malecela ndie aliyekua kichwa kwenye familia [emoji119]
Duuh...!! Huyo Ippi au Hippi ( Sina uhakika linaandikwaje ) alisumbua sana ile early 90s . The guy alikuwa anagawa pesa kuliko kawaida . Ulikuwa ukimfagilia tu unarushiwa burungutu.Ilisemekana alikuwa mtu wa poda na magumashi kibao.Nafikiri kifo chake kilizua maneno maneno , ila kwakuwa cna mamlaka ya kutoa takwimu ngoja niishie hapa.
 
Nieleweshe vizuri hapo, kivip child support inazingua?
Si unajua ukishakuwa responsible for child support hapo tayari utakuwa unahudumia nyumba mbili?! Depending na idadi ya watoto, utakuta takribani 25% ya kipato chako inaenda kwenye child support na kwa baadhi ya states utaendelea kuhudumia hadi mtoto anafikisha 21 years!

Na in most cases, gharama zinakuwa kubwa maradufu kuliko mahitaji halisi ya mtoto na much worse kama mlikuwa kwenye ndoa!
 
Si unajua ukishakuwa responsible for child support hapo tayari utakuwa unahudumia nyumba mbili?! Depending na idadi ya watoto, utakuta angalau 25% ya kipato chako inaenda kwenye child support na kwa baadhi ya states utaendelea kuhudumia hadi mtoto anafikisha 21 years!

Hiyo ya miaka 21 siyo kwa states zote kweli endapo mtoto ataenda college baada ya high school?
 
Hiyo ya miaka 21 siyo kwa states zote kweli endapo mtoto ataenda college baada ya high school?
Of course, sio states zote na ndio maana nimesema kwa baadhi ya states lakini kama sikosei, NY ni one of those states with up to 21 years.
 
Dah....Dogo Willy kachemka balaa....anarukaruka tu ...hakuna alichokieleza....maisha yana sehemu 4..... Ujuzi ulio nao ili kuwasaidia binadamu wengine.....jinsi unavyopata pesa...mahusiano na wengine mke, watoto, majirani....na imani yako ya kiroho.
Umri wa MTU wala siyo jambo LA maana kwenye jamii....cha msingi ni kujua kama ni mzee au kijana....na hili suala linahusu mwili na ubongo....mwili na ubongo ukichoka basi ujijue wewe ni mzee..... [emoji13] [emoji41] [emoji87]
 
Kenge mama yako mzazi, ni kwa nini unalazimisha watu kusikiliza hizi porojo zisizo na ithibati?

Jitu limekaa tu linalishwa jabari bila kuhoji, sioni hata wa kuuliza ni kwa nini huyo cha uongo alipitia Canada?

By that time hakukuwa na tatizo mtu aliyepo Canada kwenda USA kwahiyo huyu chauongo alifika na kukaa Canada kwanza na kuvuka weekend kuingia USA na kuzamia wakati watu wa Viza Nation tuliruhusiwa kuingia USA kutokea Canada bila non migration viza.

Halafu anatokoa khanisi mmoja anadhani kila mtu anasikiliza porojo za Willy na kwamba sisi wenyewe huwa hatusafiri.
Sawa baba unajua sisi tumependa hadithi kuhusu kudanganywa umtajua wenyewe mnaojuana Story imekaa vizuri sisi ndicho tulichopenda sasa wewe umeshupalia stori yenye sukari tuione ina chumvi.Mavi yako
 
PART 17- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

nikaanza Dating tena baada ya kuacha kwa muda mrefu sababu ya kuteswa na kivuli cha Ericka nikaanza na Msichana Nigga kwenye picha kwa jina Antoniette with experience ya Ericka nilikua ninayo idea tayari ingawa huyu now was Black ni tofauti kabisa alikua anafanya kazi ila anaishi na Mama yake mzazi aliyekua na Uwezo mkubwa sana wanaishi Uzunguni North

d0ea0900a4b9c8514ed738ce0768f731.jpg

mimi ninaishi South in USA always kuna o Class ya North kwa wenye Uwezo na South kwa Masikini pia alikua na Dada zake 2 Mmoja Light Skin na mwingine Mweusi.

Katika kutumia rule ya Divide and Rule yaani kuwagawanya Weusi ili wawatawale sawa sawa Wazungu walifanya makosa ya kibinadam ya kutembea na Watumwa wakaishia kuzaa watoto ma Half Aibu yao Wazungu wakaanza kuwa treat wale watoto wao Cast k tofauti na Watumwa wengine wakawafanya Superior kuliko wenzao weusi kabisa ni Ugonjwa walipandikiza kwa weusi mpaka leo wa kuamini Half Cast ni bora recently.

nimeanza kuona Ugonjwa huu ukiingia mpaka Bongo na kama ilivyo USA kwenye Movies na Music Videos msichana mzuri lazima awe Mweupe so Blacks karibu wote huwa ni lazima wawe na mtoto mmoja Half Cast ambaye Mama aliamua kwa makusudi kuzaa na Mzungu au Bwana mweupe ili apate mtoto mmoja mweupe.

so huyu ndiye anakuwa kipenzi cha Mama always kuliko wote wengine cause ni mweupe na yeye anakua na majivuno ya ajabu sana so my Babe naye alikua na Dada mmoja kwa jina Shawn mweupe ila urefu wangu na kupiga kazi sana ukamfanya huyu Dada mtu anipende sana na kwa sababu yeye alinipenda na Mama mzazi naye akawa hana Choice ila kunipenda so na Antoinette naye akani penda sana ila hakua na Elimu kubwa ingawa alikua na kazi nzuri ya Serikali.

now Shawn akaanza kunishauri nihamie nyumbani kwaa kwa vile hawana Mwanaume kwenye nyumba nikaanza kutafakari idea huku nikijiuliza maswali mazito sana ya maana halisi ni kua MARIO yaani nataka kutunzwa na Mwanamke na familia yake nilikua najichekea mwenyewe peke yangu nikakumbuka mafundisho ya Jandoni kua Mwanaume huwezi kutunzwa na Mwanamke how can I do that now?

but nikihamia kwao nitaokoa Dola 1,000 za kodi ya nyumba kila mwezi JE NIHAMIE AU NISIHAMIE? ....ITAENDELEA 18
 
Sawa baba unajua sisi tumependa hadithi kuhusu kudanganywa umtajua wenyewe mnaojuana Story imekaa vizuri sisi ndicho tulichopenda sasa wewe umeshupalia stori yenye sukari tuione ina chumvi.Mavi yako
Jinga kabisa wewe ndio maana ccm inawadanganya kila siku kwa sababu inajuwa nchi imejaa wapuuzi kama wewe, kwenye kampeni ccm inamleta kibajaji kumnadi mgombea kwa sababu akili zenu wanazijuwa vyema ni wapenda porojo na fix.
 
Hizi simulizi zingenoga sana kama Willy angekuwemo kwenye hii thread ingesaidia kufanya check and ballance mechanism.

Wazungu hata wao wanabaguana pia, Waitaliano wanaitwa white dogs, na Wajerumani hawapendwi kabisa na asilimia kubwa ya western European kutokana na roho zao mbaya.

Issue ya black, coloured na white hadithi yake ni sawa tu na South Africa, wale makaburu wanawaona coloured kama watoto zao kwa sababu wao ndio chanzo cha kizazi cha coloured.

Kwahiyo popote pale mzungu alipofanya uharibifu huo ni lazima hao macorouled watapewa priority.

Hata ukifika Maputo Mozambique, Mreno ameacha generation ya aina hiyo.
 
PART 18: "MY AMERICAN EXPERIENCE"

the idea ya kuokoa Dola 1,000 kwa kwenda kuishi bure kwa Babe wangu ikanivuruga sana mwisho nikaamua kuhamia kwa my Babe na kua MARI0 nikahamisha magari yangu BMW na Jetta Volkswagen lakini nikashituka one thing Fenicha zangu na vitu vingine nikaviweka Storage na kuvilipia kwa Mwezi mpaka nitakapoamua nitavifanyia nini mbele ya safari ila ninapiga kazi kama kawaida na ninapiga Disco kama kawaida ila sasa nikaingia maisha mapya ya kuishi nyumba moja na thereal niggaz Duh!wiki 3 za kwanza nilikua peponi cause walijitahidi sana kuficha madhaifu yao na mimi nilikua alert nasubiri uyaona ili niamue kama ni au hapana ila hapa sasa nikaanza kufanya savings ya ajabu.

cause nilikua na gharama ya petroli tu kila kitu home free hahahaha l loved it mpaka siku mojaShawn alipoamua Niggaz wanaita ku "RAISE HELL" akaniambia African husaidii hata kulipia Umeme tu wewe ni mtu gani?...n- dugu zake waliposikia hizi habari hawakupenda wakaishia kugombana sana wenyewe kwa wenyewe mpaka Shawn akalazimishwa kuniomba radhi kwa kosa la kunishambulia bila sababu na kama kawaida ya all Niggaz akasingizia kua anapitia stress nyingi za matatizo yake ya mapenzi ndio maana aliniwakia sasa u umepita Mwezi mmoja pakatulia ikapita mpaka Miezi 2 mimi ni kazi.

Disco na Gym tu na mtaani na Niggaz hasa Bezo sasa tukawa very Close ila nikaja kugundua anauza "SEMBE" na "BANGl" nikaogopa sana nikaanza kupunguza kumsogelea baada ya kugundua siri kubwa ya Polisi wa NewYork City Police Depart- ment (NYPD) kwamba kumbe wanamtumia kuhakikisha Usalama wa lile eneo zima so un officially wamemk abidhi auze Crack na Bangi lakini asiuze Cocaine tu ila ni wajibu wake kuhakikiaha kua eneo lina amani

asiuze Cocaine tu ila ni wajibu wake kuhakikiaha kua eneo lina amani kama Kuna tatlzo anawashitua Polisi kwa Siri Sana Wao Niggaz huwalta Polisi "COPS" au "FIVE 0" .

mapenzi yangu na nigazz yalikua yanaendelea vizuri ila nikagundua kua nimefanya papara tu kwenye kuchagua cause now nilikua nimeanza ku attract Wabebezz wa ukweli huko mtaani l mean l was almost a Star until one day nilipoingiwa na wazo la kutafuta Green Card kwa njia za Panya yaani kuoa kimazabe! ITAENDELEA! 19
 
Mama nimekoma mimi jaman napitwa na mambo ya le kokobanga kwenye page ebu niombee aniunblock nimejifunza kutokana na makosa sitaguna wala kuongea chochote tena nitapita kimyaaa
Hahahaha Shunie nimechekaa kama nakuona ukipita kimya kimya ukishafunguliwa, mimi pia kokubanga alinipa kofuli 2yrs ago kuna siku akatangaza angefungulia watu wote aliowafungia lkn naona msamaha haukunipitia. Da Mange nae alinipa bloku mwaka juzi hawataki kabisa uwakosoe hata kdg hata kwa ka emoji teh teh
 
Atuwekee na hizo pic za gym basi jaman tumuone alivyokuwa
 
Hahahaha Shunie nimechekaa kama nakuona ukipita kimya kimya ukishafunguliwa, mimi pia kokubanga alinipa kofuli 2yrs ago kuna siku akatangaza angefungulia watu wote aliowafungia lkn naona msamaha haukunipitia. Da Mange nae alinipa bloku mwaka juzi hawataki kabisa uwakosoe hata kdg hata kwa ka emoji teh teh
Yaan nipo kifungoni mwaka sasa halaf sijaguna kwenye acc yake milly alimuweka kwenye acc yake kwahiyo akachungulia wote waliocomments na me mmoja wapo nikala block aje huku atuambie aliotublock atufungulie pole mamy na wewe
 
Jinga kabisa wewe ndio maana ccm inawadanganya kila siku kwa sababu inajuwa nchi imejaa wapuuzi kama wewe, kwenye kampeni ccm inamleta kibajaji kumnadi mgombea kwa sababu akili zenu wanazijuwa vyema ni wapenda porojo na fix.
Nilijua tu kuwa umeathirika na UCHADEMA ndiyo maana unamchukia le mutuz ila kumbuka kuwa hadithi hii hajailenga kwenye mitazamo ya kisiasa so ni vyema wakati mwingine kiweka pembeni chuki za kisiasa ili upate maarifa kutoka kwa kila aina ya mtu
 
Back
Top Bottom