Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)


Ndani ya Basi la Greyhound kutoka Ottawa/Canada tunaelekea New York City/USA nilikuwa ninawaza nitakapofika New York City itakuwaje? Simjui mtu so sitakuwa na mahali pa kulala JE ITAKUWAJE?................

Kuna Mbongo mshikaji wangu nilikuwa na namba yake ya simu aliahidi kuja kunipokea lakini dakika ya mwisho HAKUJA nikashuka na begi langu dogo la nguo kama kawa nikakuta Ma Homeless kibao wanajitayarisha kulala so nikatafuta mahali saafi nikatoa Blanketi langu

naomba ufafanuzi.......humjui mtu ila kuna mtu umempigia aje akupokee
 

Atakuja Kujibu ikifika Page ya 100 Kokabanga,Mobimba NYE NYE NYE.

Cc: W. J. Malecela , Field Marshal ES , Nyani Ngabu
 

Huyu dogo ndo Le Mutuz mnatemzungumzia au nimekosea ?

Hapa akiwa kwenye tamasha na wanafunzi wenzie
Hapa ndiyo huwa nacheka sana jinsi huyu mshua anavyojichanganya. Anyway, ameshasema enzi za ujana wake haya mambo hakuyafanya. He has just turned back the hands of time, let him live his life so long he is happy
 
Ahahah super mababez walikuja kunipokea u know? Me am super star u Know?



Hili ndilo jibu atakalo kupa ngoja aje [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuliko kulala nje USA au kuendesha semi za inyee,km alikuwa assistant engineer angeomba Kazi kwenye meli za kubwa za USA.Alitupiga story za ishu za risasi za lisu eti kasomea criminology,inabidi kutokuamini kila kitu, Isome tu km ni story ya kujifunza.
 
Tena hata sasa angepata kazi nzr tu ya meli...
 
Dah stori tamu sana japo watu wanamdisi kuwa jamaa nimuongo
 
Kw maelezo ya let mutuz cfahamu na cjackia km wanamgogoro ijapokuwa tunatoka Kijiji kimoja lol ninahofia kw maelezo yake as if Kuna mtafaruku wa kifamilia japokuwa hatujawahi kuckia ama kuhisi I japokuwa yote aloyananena ni kweli tupu hakuna aloongeza ama kupunguza ingawa kuhusu masuala ya mirathi ndo nayaona kwenye hii stori yake..!
 
Tena hata sasa angepata kazi nzr tu ya meli...
Hivi kuelewa mnajua? Au ni kusoma tu. Jamaa kaz ya ubaharia haitaki hata wangekua wanalipa dunia, alichokikuta sio alichokua anatamani akiwa mdogo na hata aliowakuta walikuwa watiwazma wakamshauri kwakuwa yeye ni kijana mdogo achane nayo wao wanajuta sema hawakuwa na namna umri umeenda. Ss mkikaa hapa mnausifia ubaharia sijui vyeo, ukweli ile kaz ni ngumu, unaishi majini na mambo ya duniani yanakupita, hata familia zao zina athirika.
 
Huyo sio mkweli mkuu,,, melini unakaa miezi 6 au 9 then unapata likizo,,unarudi home. Na, sasa kama aliona akiwa melini family zinapata taabu aliposhuka alirudi TANZANIA? au alikuwa na family gani inamtegemea? mkuu UBAHARIA mtamu sana,,, usisikie maneno ya FAILURE,,, HAKUNA pesa tamu kama kuipata dollars kwa pamoja,, uzishike EURO in cash.... Tamu mno
 
sasa miezi 9 unaiona michache?...........yaani umuache mke wako kwa miezi 9 yote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…