Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Haya maneno yana maana gani??
 
Safii sana William Malecela

Endelea kuelimisha hawa Vijana kuwa status za wazee sio credit ya kupasiua maisha , naamini hii story negativity za baadhi ambao waliamini bila kujua ukweli sasa wataelewa ,maana story inatoka kwako mhusika Moja kwa Moja

Hiyo Bermuda triangle, ambayo inaingia story ya Bara lililozama la Atlantis ambapo ndio mlango Wa kuingilia kwenda huko kwa mujibu Wa Myth na n.k

Ipo siku nitakutafuta unipe kidogo , kirefu kuhusu hiyo Bermuda triangle

Kuna watu ,tunachota madini , maana kuna vingi tunajifunza

Bravo
 
Hatimae le kibamiaz amekuja kujibu za wana jf
 
Unatoka ubaharia unaishia Mount Vernon na unaendesha malori sijui ya taka? Kulikoni halafu unaachika na mke anachukuliwa na mkurya sasa yupo Pelham kwenye appartments za watu wenye uhitaji mbona huendi kusaidia wanao wapate hata nyumba New Rochelle ?

Daah, haya maneno yana ukweli Kabisa, Diaspora wa US wanajua mengi
 

- Thanks boss I am nothing but imperfect creature of God, lakini toka ninasoma mpaka leo sijawahi kukosa pa kulala wala pa kula na mara ya mwisho kupewa hela na wazazi ilikua nikiwa Form Two, na siku zote nimekua ninaishi maisha yangu bila ya tatizo mpaka leo, infact hata niliporudi na USD $ 1000 bado niliweza kuishi maisha yangu mpaka leo, nina kampuni, nina wafanyakazi, nina ofisi yangu Posta, ninaishi Apartment nzuri hapa Posta, now ukiwasikiliza haters humu ni kama vile haya yote sio mafanikio ya mtu aliyeishi Majuu, ok labda niwaulize mtu aliyeishi majuu anatakiwa kuwa na nini hasa? Na wapo wangapi hapa mjini? maana mimi kila siku jamaa kibao waliokuwa wananicheka nilipokua ninaenda Shule Majuu wanashinda ofisini kwangu kuomba nauli,

- Guys waulizeni waliobaki Majuu kama ni rahisi kurudi Bongo na kufanikiwa kuishi kama mimi, wakiamua kua wakweli utalia machozi jinsi wanavyoumia na kurudi kwangu. Sijawahi kufanya anything bila kufikiri au kua na Facts za justifications, ndio maana sijawahi kuuliza ushauri wa Wabongo cause wengi wetu uwezo wa kufikiri ni mdogo sana halafu tumekaririshwa maneno ambayo hata maana yake hatujawahi kuijua wala kuishi,

- Le Kigagula ana Dunia yake na siku zote ni agent wa kutumiwa na Wengine kwa manufaa yao huku akidhani kwamba yeye ni Powerful sana kumbe inategemea na wanaowashambulia, mimi sijawahi kumuogopa na mashambulizi yake yote cause najua anachotafuta yaani kilichomshinda Mama yangu wa Kambo ambaye ni marehemu sasa, anahangaika tu hapa ni ukuta, ila kuna anaowatesa na anayoyafanya sio mimi.

- Vijana wadogo wa Bongo wana choice ya kuchagua wanataka nini na inategemea nini kinawalipa, ingawa ninapowaangalia hua nasikia kulia maana they have no clue na kinachoendelea zaidi ya kuja hapa na kutukana tukana, ndio maana juzi niliwaambia Shilawadu kwamba nilipokua umri wenu nilikua Shule, nyinyi mnafanya kazi ya kutukana maadui wa bosi wenu, sasa mkifikia ukubwa au uzeeni Bosi wenu atakuwepo? Je bado mtakua mnafanya kazi hapo mlipo? Je maadui wa bosi wenu mnaowatukana sasa hivi hamtawahitaji mbele ya safari?

- Again Vijana wana Choice kusuka au kunyoa!

le Mutuz
 
Daah, haya maneno yana ukweli Kabisa, Diaspora wa US wanajua mengi

- hahahaha wangekuwa wanajua mengi wangeshasema, MWanamke alikataa ndoa nikamkubalia sasa kaishia mke wa pili na kubadili dini na kunitukana kwenye mitandao ya kijamii nini tatizo lake? hahahahaah sasa Mkurya kamuoa au kaolewa maana Mwanaume kutumwa kuleta sabuni za kuuza bongo kila wakati na mwanamke huoni ni huzuni sana? hahahahahaha mimi situmwi na Mwanamke yoyote in my life then and now!

le Mutuz
 
- Again kwa Mwanaume kulilia kibamia unajisema mengi sana mkuu ila kuwa muangalifu mjini hapa unaweza kuvalishwa dela maana kama unalilia kibamia ina maana unaweza kua na kisima hahahahahahahahaha

le Mutuz
Wacha pressure mzee jibu hoja
 
Ukiona Jamii haipeani Nasaha Njema hiyo ni alama ya kukithiri kwa Wivu baina ya Watu juu ya Neema za Muumba kwa wengine, Yaani Mtu kuona Kinyongo Nduguye anaponeemeshwa Neema na Mwenyezi Mungu hata kufikia kutamani hiyo imwondoke, na kisha aipate Yeye. Le mutuz lete story banaa sie tulioko mambelez na hatuna ma stress ya kijinga tunakuelewa sana na kupata madini adimu pia.
 
Im humble u knw!!!![emoji23] [emoji23]
 
Bab kubwa.......hii twaiita ni funga kalomo
 
Nakereka sana, jitu limeshiba kodi zetu kwa kuwa toto la waziri na kada la CCM mpaka tumbo limekuwa kubwa sana kama mwanamke mjamzito halafu linajifanya pambanaji!!

Eti limepambana kuuza siagi, wakati muda huo linapanda ndege tu!! Kodi zetu hizo halafu linaringa kweli

Shubaaamit.......
 

PART 23:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
hicho hapo ndicho kibali nilichopewa na Marehemu Nyirabu aliyekua Gavana wa BOT nikanunulia Tiketi ya ndege to Canada kwa Tsh. 120,000 na nikanunua USD $ 1 kwa Tsh. 16.

Familia ya Janice walipigwa na mshangao wa ajabu kugundua nina mke hata kama ni Ndoa ya Fekero lakini wao walidai Ndoa ni Ndoa haijalishi Janice alikua analia tu so nikaanza kazi ya kumbembeleza na kumuelimisha kwamba mimi ni African ninahitaji Green Card ndio maana nilioa kifekero yeye na familia yake wakanitaka nifute ile ndoa na kama ninampenda Janice basi nifunge naye Ndoa ya kweli anipe makaratasi na Mama yake akanipiga marufuku kufika nyumbani kwake mpaka nimalize ndoa Janice akawa anakuja tu nyumbani kwangu kwao siendi.

Yule Niggaz akaingia mpaka Benki kutaka aunganishwe kwenye account zangu maana sheria inamruhusu kama mke wangu Masikini ya Mungu Dunia yangu ikaanza kwenda mrama kwa mara ya kwanza in my life I was in a Situation I had no control over it.
siku moja nikaamua kufanya maamuzi magumu sana kwani nilikua tayari nimesha file application for Green Card kwa Advocate wangu Caroline Mbrazil nikamrudia na kumuomba afanye process ya kuyafuta haraka sana.

Carol akashituka na kuanza kulia akaniuliza nimekumbwa na nini? nikamjibu kua Mwanamke ameanza matatizo atanisumbua sana sitaishi kwa amani Mbrazil akanigomea na huku akinishawishi nivumilie hayata chukua muda kuyapata NIKAMGOMEA KATA KATA kua siyataki tena Mbrazil akaniomba nikae kama Wiki moja nitafakari tena nikakubali na kujaribu sana kutafakari lakini jawabu langu likawa ni kuyafuta tu siwezi kua Mtumwa wa Niggaz liwalo na liwe.

Baada ya mwezi mmoja Caroline akanifahamisha kua yameshafutwa so nikachukue makaratasi niliyopeleka process ya kuomba na kuyafuta niligharimu like USD $ 5K sikujali niliiita gharama ya My New Freedom ndio maana mpaka leo ukitaka nikuchukie ingilia Uhuru wangu sina Compromise wala majadiliano kwenye hizo line za my Independence sasa nikaanza process ya Divorce ya Ndoa ya Fekero Niggaz akawa hataki infact akatuma Wahuni wa mtaani wanifanyie uhuni.

Siku moja Asubuhi kazini kikaja KISHINDO CHA AJABU BOOM!....ITAENDELEA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…