Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Mie sasa hivi sihangaiki na wewe nishakugundua wewe ni akili ndogo kwahio yote unayoelezwa ni kama kumpigia gitaa mbuzi; kingine una low education sio kosa lako. Im out with you.
HICHO Ndy ulichobakisha,, WEWE mwenye elimu kubwa UMEGUNDUWA NN? hata kibatari kuunda Hujuwi.... Kweli UNKNOWN ID inawapa hata MAPIMBI JEURI ya kubishana na WAJUVI... Ungekuwa Unajuwa unayebishana nae kuhusu MELI,,, ungekaa Kimya.... Pengine upo Gengeni kwako unatamba kuhusu ELIMU,,, Ungekuwa na elimu kubwa ungeshindwa kugunduwa uongo wa LEMUTUZ? from the beginning? Na wewe wacha porojo zako
 
Mimi ni UKNOWN... niweke detail zangu ili iweje,, SEAFERAR utamjuwa tu,, wala sio kwa barua wala makaratasi,, hivyo vitu vinachongwa tu,, na mihuri inawekwa,, uwe na barua na meli Hujuwi,, wala sheria na vyeo VYAKE Hujuwi.. Itasaidia nn? maelezo yake yanaonyesha hakuwa melini . . tena anachokifanya sasa ni EDITING tu.... Kufuta makosa ya mwanzo,,, tena mm huo Uzi wake muda tu sifatilii,,
 

- Jawabu ni simple kwamba una maisha yako jali maisha yako, mimi ya kwangu hayakuhusu. Umri wangu huujui na wala haukuhusu heshima ya maisha haipatikani hapa JF wala Mitandaoni so take that nonsense back, jali maisha yako please humu soma nyamaza kama huna any positive ya kuchangia. Thanks

le Mutuz
 

- Nonsense!

le Mutuz
 
Well said brother Le Mutuz, namba za umri wako zitamsaidia nn? Bas mwambie achukue 90
 
Le Mutuz ukisikia watu wanakusema sema ujue wanakupenda na kwamba uliwahi kuwepo manake wana kudocument"if it is not documented it didn't exist
 
Wewe ni nani humu upangie watu cha kuuliza? Ni koherehere chako cha kuanika maisha yako mitandaon ndio kimeleta maswali hayo!!

Kama ulijua una makando na aibu ungeona busara kuficha privacy zako!!
 
Le Mutuz ukisikia watu wanakusema sema ujue wanakupenda na kwamba uliwahi kuwepo manake wana kudocument"if it is not documented it didn't exist

- I am a natural Social Media King, nilianzia hapa JF mpaka kufikia nilipo na Social Media niamini siku zote huwa ninawafanya my clients kucheza my music cause mimi ndiye mwenye agenda, worry out

le Mutuz
 
Wewe ni nani humu upangie watu cha kuuliza? Ni koherehere chako cha kuanika maisha yako mitandaon ndio kimeleta maswali hayo!!

kubwa jinga wewe kama ulijua una makando na aibu ungeona busara kuficha privacy zako!! Idiot kabisa

- Who is an idiot here? Historia ya maisha yangu inakaribia kunilipa big time, wewe kalia ya kwako ila yangu nitaiuza na ndio sababu nikaanza now na sio huko nyuma na ninazo nyingi sana mpaka ya "MY JAMIIFORUMS EXPERIENCE" kama unakwazika na hii basi itakapokuja ya hapa ndio utalia mazchozi maana najua hujui lolote kuhusu JF nitakusaidia, ila wewe hunipangii cha kufanya sio wewe wala mtu yoyote, ndio maana nilipigana sana kujisomesha maana nilijua siku moja in my life nitakutana na wajinga kama wewe hahahahahahahaha!

le Mutuz
 
Hahaha wewe ni mpuuzi namba moja, eti historia ya JF? What has that got to do with me??yaani nipoteze mida kubishania ujinga kama huo ili iweje?? mzazi wako aliona wazi anapoteza muda kuwekeza kwa pimbi kama wewe ambae mpaka umri huo mama ako ANAFARIKI ukashindwa kujenga ata kaburi, mpaka umri huo bado UMAISHI kwenye apartments za kupanga..mjinga ambae mpaka umri wa uzee bado PICHA ZA UCHI na aibu zinasambaa mitandaoni!!

baba yako aliona mbali ndio sababu ulitelekezwa mapema sana..maana ni mzazi au ndugu tahira tu anaweza jivunia wewe..wasped sperm!!!
 
Totoo200 nitashkuru b-13
Mkuu Shunie Kwa jinsi ulivyokuwa unambembeleza Le Mutuz, Le Kokobanga, Mobimba, Nye nye nye, aku-unblock Instagram, nimeona niwasiliane naye na amekubali kuku-unblock.

Sasa nafikiri uko huru kutembelea page yake ya Instagram.
Unajua Le Mutuz ni mtu mmoja "peace" sana, and he is always humble you know! Ha ha ha ha.

By the way, Le Mutuz amesema usirudie tena kuandika mambo ya "kipuuzi" kwenye Page yake ya Instagram, uki-comment, ucomment kwa adabu. Ha ha ha ha ha.
 

- hahahahahaha nimeshakuelewa sana ila hapa umepiga ukuta cause unanisoma na unalia lia, mzazi wangu ni mzazi wangu hawezi kua wako hahahaha naona ungependa kua mtoto wa Malecela kwa haya maneno yako hahahaha Mama yangu mzazi aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwenda kuishi Tuduma mbali na Dunia, nilimuomba ahame achukue nyumba yangu Kinyerezi hakutaka, alisema hawezi kuacha makaburi ya wazazi wake,

- Baada ya mazishi yake wananchi wa Tunduma waliniomba nitoe muda wa Mwaka mmoja na nusu kusudi Kaburi likae sawa kwasababu ya udongo kuwa imara, otherwise muda walionipa umetosha na sasa nimeshaanza mipango ya kulijenga pesa ninayo so wala sio ishu,

- Ni afadhali ya baba yangu aliyezaa mtoto anayeweza kusimama mwenyewe like me kuliko mjinga kama wewe anayetumia majina ya bandia kutukana watu kwenye mitandao, ningekua wewe ningejiua hahahahahahaha

- Maisha yangu ni Social Media na kila Field kwenye maisha ina gharama zake, ninaishi kwenye Apartment na watu wengi sana ambao wana maisha kuliko wewe, baada ya kuishi Majuu miaka 30 siwezi kuishi kwenye nyumba ila Apartment tu, hahahahaha pole sana mkuu ila maisha yako sio yangu na wala I dont care

le Mutuz
 
Duh! Mkuu kuwa mpole tu, kubali kuwa watu hawalingani. Lemutuz hiyo ndio personality yake na ni maisha yake ameamua kuyaishi so kama hayamkwazi yeye sioni kwanini mwingine akwazike. Ikiwa uzi wake unakukwaza upotezee tu kibingwa. Peace
 
cc:
Avatar mok
The miller
Inna
hearly
 
Hahahaha asirudie kuandika upuuzi wala kuguna Shunie umesikia? BTW hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…