Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Ameongeza umaaruf wa kibamia chako
 
WELL SAID!!!
 
Hahahahhhh
.. Fact
 

PART 31: "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Mwili wangu uli freeze kukutana na Mbongo aliyenichongea Kazini sikusema kitu nilimuambia tu kua "Nitaishi kuja kuona mwisho wako" akajibu "Wewe unajifanya mjanja sana na bado" baada ya Wiki mbili nikasikia Jamaa alikamatwa na FBI kumbe alikua anasafirisha Unga kutoka Bongo kwa kutumia Posta na kuuleta New York akafungwa Federal Prison Miaka 20 akapiga Miaka 10 alipomaliza akawa deported back to Bongo nilishamsamehe na leo ni mshikaji wangu sana tu yupo hapa mjini na we are kool nilijifunza siku mapema sana in my life kusamehe ...

Chuoni likaanzishwa Darasa maalum la Wanafunzi wenye AKILI KUBWAZZ tu yaani kila Darasa walikua wanachagua Mwanafunzi mmoja mwenye akili sana na kujiunga na hilo Darasa ambalo lilikua linafundisha kila kitu kwa wakati mmoja kwa likiitwa "HONORS CLASS" ilipokuja Darasa langu nikachaguliwa bila Ubishi wala Mpinzani Waalimu wangu wote waliridhia mimi kujiunga na Darasa my records hazikua na mpinzani Criminology inabebwa na masomo ya "PRINCIPLES OF INVESTIGATIONS" na "THE MINDS OF THE CRIMINALS"

Kwenye haya madarasa hakuna Mzungu aliyeweza kushindana na mimi kwa mfano kesi maarufu ya O.J Simpson ikiwa inaendelea Mahakamani tuliambiwa kila mmoja aangalie Facts za kesi atoe utabiri wa kama atashinda au atafungwa Wazungu wote darasani walitabiri atafungwa niliwakatalia kua HAWEZI kesi ni nyepesi kwa sababu Polisi waliohusika kuitayarisha ile kesi hasa the leading detective Furhman alikua racists na matokeo yakawa kama nilivyotabiri ikawa Heshima Darasa zima.

Hatimaye siku moja nikamaliza my "CRIMINOLOGY & POLICE SCIENCE" Associate Degree kwa kiswahili inaitwa Degree ya Pili sasa nikaamua kuhamia Lehman College Bronx kusomea BA ya Political Science ila now tatizo ni huwezi kusoma Degree bila kua na Proper Papers ..nikaanza mbio za kutafuta Njia cause maisha yalikua yameshanifundisha kua always kuna alternative ya kila kitu but nitawezaje kuvuka hiki kikwazo? ...
ITAENDELEA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa unagusa mulemule..
 
Napenda sana confidence yako mkuu kwenye kujibu hoja za kimbea mbea waTz a.k.a ngozi nyeusi tuna matatizo mengi sana kichwani mwetu nasema hivi kwa sababu Haingiii akilini mtu unashupalia ku attack kiungo cha mtu huku unajua kabisa hakikuhusu kivyovyote.
 
Acha kuwa kama mchawi kijana mdogo una chuki mpaka tako linakuwasha yaani.
 

Associate degree ni sawa na Advance diploma hapa bongo ukimaliza hiyo ndio unaingia degree.
 
Associate degree ni sawa na Advance diploma hapa bongo ukimaliza hiyo ndio unaingia degree.
Mkuu naomba ufanye research kwenye hii ulioandika hapa,
Matangazo mengi ya kazi hapa Bongo huandika kua wanahitaji Mtu mwenye Degree au Advanced Diploma,
Pia Qualification za kuingia Masters kwa Hapa Bongo ni either Degree or Advanced Diploma,
 

1. Baharia niliyekua nagombewa na wabebezz nijiue kwa sababu yako? Sasa ilikuaje sikufa? hahahaha Watoto ni wangu wala sina wasi wasi tatizo ni unahangaika sana sijui unachohangaikia, mimi nimetulia najua wewe ni mjinga ndio maana ulipombembeleza Davis Mosha anilazimishe nikurudie nilimshangaa maana mimi nikurudie wewe akili ndogo hivyo? hahahahaha NEVER!

2. Niligundua siku nyingi sana wewe ulikua unadhani ninawaogopa ndugu zangu na ulidhani ninaweza kujikomba kwao, sasa unajua kua sio kweli unahangaika hahahaha wale hawana shida na wewe wala watoto wako wankuona mjinga tu usiyekua na idea ya Dunia ikoje, maana ungejua wale hawana habari na mtu zaidi yao tu, unajikomba komba kwao bure they could careless about you, uliwafurahisha kwenye Divorce basi caiuse walidhani itani destroy, walipoona haikufanikiwa sasa wamewekeza kwa Mange sio wewe, jifunze mjinga wewe!

3. Nasra aliyemuacha ni mimi, alichokifanya yeye na wewe hamna tofauti yoyote ila mmenihakikishai kua I am a good man na mnajua kua sio rahisi kupata Mwanaume bora kama mimi, ndio maana nikwawacha mnakimbilia kutafuta njia ya kunimaliza wengine wasipate wote mmeshindwa, Baba yangu hawezi kulilia kale kavideo anajua jinsi MWalimu alivyokua anamtukana matusi ya nguoni na sikutingishika hata siku, na kumbuka kama sio yeye ningepata taabu sana ku deal na wewe ni yeye ndiye aliyenipa ushauri ulionisadia sana namna ya ku deal na wewe mpaka leo unalia lia kwenye mitandao ni kwa sababu in the real life umenishindwa na Shetani wako aneykutumia.

le Mutuz Mobimba!
 
Mkuu naomba ufanye research kwenye hii ulioandika hapa,
Matangazo mengi ya kazi hapa Bongo huandika kua wanahitaji Mtu mwenye Degree au Advanced Diploma,
Pia Qualification za kuingia Masters kwa Hapa Bongo ni either Degree or Advanced Diploma,

- Kwa USA Associate Degree ni sawa na nusu Degree ndio maana ukiwa nayo badala ya kusoma Degree miaka 4 utaishia kusoma miwili zinahesabiwa nusu credits za Degeree.

le Mutuz
 

- Yes nikuwa nimekusanya pesa mingi sana lakini zote nililipia Shule na inafct sijamaliza my story, usiwe na haraka utelewa ni kwa nini sikurudi na pesa na kwa nini nina pesa za kunitosha sasa hivi

le Mutuz
 

- hahahahahaha umenivunja mbavu hayo ya kufa mbona wanaokutuma wameniombea wameshindwa? hahahaha utakufa wewe mimi utaniacha hapa hapa mpaka Mungu atakapoamua, nilipoamua kwenda majuu niliwafikiria sana watu kama wewe imagine nsingekwenda si ndio ungeniua kabisa kua sipo, mlitaka nisijulikane kua nipo hii ndio dawa yenu, naomba nikuambie kua siandiiki kitabu changu kwa bahati mbaya nilifikiria toka nikiwa mdogo,

- By the time nimemamliza kitabu changu mtakua uchi wote hahahahahaha hiyo tu ndiyo furaha yangu, hahahaha si unaona sasa mmeshajulikana kua ni wachawi na kujifanya fanya kote, kusoma bure hata elimu haikuwasaidia hahahahaha

hapa ndio kisiki chenu hahahahahaha subiri bado doze inakuja

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…