Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Tonnes of flesh and teeth on display here. Mr Ambassador's gigantic noggin must be the size of a 15 kilo watermelon and is even shaped like one.
 

PART 34:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Wazungu walinifundisha tabia ya kujali sana wengine kwao mtu akiwa anakaribia kufa wanampa ushauri wanamsainisha makaratasi ya kumtoa viungo fulani mwilini mwake vije viwasaidie wengine wanaobaki ndio sababu inayonifanya niandike hii story nimesoma story za Maisha ya Mike Tyson mpaka Donald Trump vitabu vyao vilinisaidia sana sana cause hasa cha Tyson nilikuta ana mambo mengi aliyoyapitia niliyowahi kuyapitia so nikajifunza kua kumbe ninayoyapitia mimi sio wa kwanza nikakumbuka usemi wa Biblia kua "THERE IS NOTHING NEW UNDER THE EARTH"...

Niligundua mapema sana nikiwa mtoto ninasoma Kipa Imara Kanisani kua kuna Shetani in life ambaye ni kiumbe wa Mungu aliwahi kua Malaika wake namba moja akamuasi na kuondoka na Nguvu zake almost zote za Kimalaika ana uwezo wa kufanya mambo mengi kama Mungu lakini sio yote na nilishaamua kumuamini MUNGU toka nilipomaliza Kipa Imara ila nilikubali within nafsi yangu kua simjui Vizuri lakini nahitaji kumjua for my self ilkua ni ndoto yangu kubwa sana siku moja kumjua Mungu vizuri ..Mungu akanipatia hiyo nafasi nikiwa New York siku moja nikaamua kujiunga na Chuo cha Bible Study baada ya kumaliza Degree ya Political Science nilisoma kile Chuo kwa Miaka 2 by the time nimemaliza nilikua tayari namjua Mungu for my self ...

Mkuu wangu wa Chuo Joe Santos Mmarekani/Mbrazil ambaye mpaka leo ninawasiliana naye was amazed na maswali yangu nilikua na maswali mengi sana toka nikiwa mdogo so nilitaka kuhahakisha ninapata majibu kutoka kwenye Biblia ndio kwa mara ya kwanza nikajifunza Sheria muhimu sana ya Maisha yangu ambayo nina iishi mpaka leo ya "Matatizo mengi ya Binadam hujiletea mwenyewe" na infact 90% ni only 10% hua ni Natural Ptoblems na nikajifunza in life "TUNAVUNA TULICHOPANDA" nikajifunza in life "HAKUNA BINADAM ANAWEZA KUKUDHARAU NI MPAKA WEWE MWENYEWE UMRUHUSU" boom now I was ready kupigana na Maisha kivingine kabisa cause now nilijiamini kua namjua Mungu very closely hanidanganyi mtu tena ...

But nani wa kumuoa likaendelea kua ishu ingawa siku iruhusu kunisumbua cause nilikua ninaendelea na Dating lakini wadada wa Kimarekani tu! Nilikua nawaogopa sana Wabongo hahahaha! ...
ITAENDELEA!
 
Amesema kwamba,bimkubwa mwenyewe aliamua kuchagua maisha hayo ya Tukuyu,alimpa nyumba ya kinyerezi akae lakin mama akakataa akataka kwenda kuishi Tukuyu maisha yake alochagua.....
Kama nimeelewa tofaut mtanirekebisha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hata kwetu wanakaaga mwaka ndo wanajengea,wanasema wanasubiri hicho kipindi chote ili kaburi lititie
 

- Labda niliweke tena sawa, nilipoodoka kwenda USA Marehemu Mama yangu alikua anaishi Dar, Sitakishari alikua na nyumba kubwa na Shamba kubwa sana na alikua ni mfanyakazi wa NBC. Nikiwa USA huku nyuma, aliuza kila kitu na kuamua kuhamia Tunduma kwao, akajenga nyumba nzuri na shamba kama kawaida yake, lakini akaanza kuumwa umwa mara kwa mara akaamua kubadilishana nyumba yeye akachukua ya mjini akampa mtu yake ya shambani. Nikaja kukutana naye baada ya miaka 31 akiwa anaishi mjini Tunduma, nikamisihi kuhama akagoma kabisa kwamba hawezi kuacha makaburi ya wazazi wake pale Tunduma, ok nikamwambia basi hamia Mbeya mjini akagoma, hamia Dar akagoma.

- Maisha yake yalikua ni ya kawaida cause hayakuwahi kuwa makubwa, on my part kwanza nilikua ninashambuliwa sana kwamba sijaenda kumuona so nikaenda kumuona na kuweka hizi picha ambazo mpaka leo sijawahi kuona tatizo lake zaidi ya kushambuliwa sana na watu ambao hawajawahi kuonyesha nyumba walizowajengea wazazi wao.

- Again nilikua Majuu napigania maisha yangu kwanza cuase siwezi kumsaidia anyone kama mimi mwenyewe sipo sawa, sikuwa na makaratasi kwa hiyo sikuweza kurudi, by the time ninarudi nilijaribu as much as I could kumsaidia, miezi 2 ya mwisho wa uhai wake nilikua ninatuma pesa kila wiki kwa ajili ya dawa na Hospitali, nina amani sana na yote niliyomfanyia toka nirudi moja kwa moja kutoka Majuu,

- Nilijifunza siku nyingi sana kuyapuuuza ya walimwengu kwa sababu, siku moja wananitangaza sina pesa ni mdananda tu mjini lakini the next day wanasema hakumjengea mama yake, sasa kama ni kweli ningemjengeaje na mimi ni mdananda tu? hahahahahahaha

- Iangalie vizuri Jamiiforums utaona toka nilipoanza kushambuliwa humu, lakini Social Media ndiyo my job ndiyo my Field wanaonichukia wanaongozwa na Shetani ambaye kila siku anawaahidi kuwa wasubiri kidogo atanipata tu, hahahaha tatizo ninamjua toka nikiwa mdogo yes kuna sehemu ninateleza kama binadam mpungufu, lakini kwenye vita yangu na yeye Shetani anajua kua haniwezi, ndio maana unaona vilio vingi humu ndani ni kwa sababu Shetani anajaribu sana kunitisha na kunishusha kwa kuwatumia wajinga ambao wanahangaika kutafuta my weakness lakini hawanipati, walidhani kale kavideo katanimaliza wamekwama hahahaha sasa wanahangaika tu mara hili mara lile, hapa mmekwama guys hahahahaha!

le Mutuz Mobimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…