Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)


You must be a fat-ass yourself to react the way you did [set of shiny white teeth optional]
 
Wewe inakuuma nini x wake akichafuliwa kama unavyodai ?
 
Niliambiwa na mama ake kwamba huyu mtu ni mgonjwa na amemsumbua sana baba yke.Umeongea yote,lkn je,atakuelewa? Kuna upogo mkubwa kati ya huyu na binadamu wakawaida( reasonable man).Moja ,ama muendelee tu kumsoma au mmpotezee ,huyu siyo binadamu mwenye reasoning mind.
 
Swala la kumkosa mwanae kwa muda wa miaka thelathin think lilitosha kumvuruga Bibi yetu,j iulize,alibeba Mimba ya Le kokobanga Nye Nye,miezi Tisa ,akamlea mtoto peke yake,akampeleka shule,baadaye mtoto akamkimbia akenda kupanga chumba YMCA,baada ya hapo akamkimbia kabisa na usimuone 30 years,kwanini huyu mama asiuze kila kitu ukonga akarudi kulinda makaburi kwa kuamini kwamba mizimu ya Babu yake imechukia?Mama wa watu alifrastrate,alivurugwa kwa kumkosa mwanae na asijue kama alimkosea ama la.Kuna mama alikufa kwa shinikizo la damu baada ya mwanae kukataa kuoa.Hivi Le nye-nye ,ndo mtoto pekee wa huyu mama?
 
Patamu hapa
 
Sasa na wakati mzuri.waliokua wanarusha mawe muhusika akiwa hayupo.WAJE WAPANGUE HOJA KWA HOJA.ASIKIMBIE MTU
 
Tukose wote spirit.... Nshakutana nayo hiyo
 
Le Mutuz please stori yako ya The American Experience mbona humu Jamii forum hujaendeleza.Mwisho ni mpaka part 28.Tafadhali weka humu part 29 na kuendelea.
 
Aisee akil kubwa inakaribia kushindwa na akili nying
 
PART 36:- "MY AMERICAN EXPERIENCE" Hatimaye Msichana akaja kutoka Belgium alikokua anafanya kazi akakaa siku 10 ninakumbuka siku ya kuondoka kurudi Belgium alikua analia kwamba anataka kubaki I was like no mpaka tufunge Ndoa na baadaye kweli tulifunga Ndoa ambayo nilitumia pesa zangu kulipia Gharama zote za Harusi ilinifanya nipunguze kiasi kikubwa cha my Savings lakini sikujali cause nilijiambia harusi ni mara moja tu in life SIKUMCHANGISHA MTU hata senti moja mke alikua ameacha kazi yake ya Ubalozini Belgium akaja kua jobless kwangu ilimchukua Miaka 5 kufanikiwa kupata kazi tena katika hii Miaka 5 nilikua ninapigana kutunza mke na Watoto 2 peke yangu lakini maisha yalikwenda sawa...now nilikua nimejitenga sana na Wabongo ambao waliposikia nimeoa Mbongo walishitushwa sana tena the fact ya Mbongo wasiyemjua lakini mioyoni mwao walifurahi sana maana walijua kua mimi ni binadam mgumu sana kuingilika so watamtumia mke wangu I was very protective of my Wife katika Miaka 15 ya Ndoa nilikua namheshimu sana mke wangu that I NEVER CHEATED ...
ninarudia kwamba in 15 years of my marriage I NEVER CHEATED nilidhani kwamba mimi ni binadam mpungufu kama wengine wote lakini atleast nijikaze nisi cheat ili Mke wangu atakapokumbuka kua sijam cheat atanisamehe mapungufu yangu mengine ya Kibinadam cause hata mimi nilimuambia the same kua as long as hamna cheating from her nipo tayari kuishi na mapungufu yake yote mengine lakini sio Cheating ...halafu nilijiepusha kabisa kumuongelea negatively my wife so Wabongo wote walikua wanajua kua sikua na huo muda wa kumponda mke wangu kama wengine wengi walivyokua wanafanya unakuta mke anamponda mume na mume anamponda mke lakini then unawakuta pamoja ilikua inanishangaza sana ..now ndoa was great mtoto wa kwanza wa kiume na wa pili wa Kike then siku moja ikatokea the unthinkable mtihani mzito ambao sijausahau mpaka leo kwa sababu ndoa yangu ilikua ndio mfano kwa kila Mbongo pale New York nilikua nampenda sana my Wife cause I felt ndiye binadam pekee niliyenaye maishani mwangu na angalau NINAYEMUAMINI kidogo maisha yalikua yamenifundisha kutomuamini mtu furaha ya ndoa yangu nilijua ilikua ni maudhi sana kwa wengine ila sikujua...ITAENDELEA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…