Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Ndjabu Da Dude ...your level of thinking and perceiving things is very shallow. It is imbecility and utter stupidity to judge people by their looks! Did he chose to have that "noggin" of his? He was born that way, so why are you mocking him? Do you think its funny? C' mon man, man-up and get a life looser!

You must be a fat-ass yourself to react the way you did [set of shiny white teeth optional]
 
We nawe acha ufala sio kila mtu ni x wa Lemutuz,huyo Le Kibamiazi anajishtikizia kila dakika na wakati maisha yake yote ya mitandaoni yani like an old public joker,Mimi ningekuwa huyo mke wake unafikiri ningemuexpose kiasi gani na siri zake zote na miaka yote walioishi?Me Kibamiazi aache kujishtukizia na kumchafua X wake ambaye hana hata time naye.
Wewe inakuuma nini x wake akichafuliwa kama unavyodai ?
 
wow, then ni vizuri kwamba hauoni ulikosea chochote juu ya mamako, na kwamba unaona ni vyema kuanika ugomvi wako na neema. lete vitu lemutuz tusivyovijua tuvielewe. however, ukweli halisi inaonekana umemiss kitu kikubwa sana kuhusu maisha na hauelewi kama umemiss icho kitu, haujabarikiwa nacho icho kitu na haujui kuwa haujabarikiwa nacho, HAUONI UTHAMANI WA MAMA YAKO,, nilichokuwa nasema ni kwamba, kwa mwanadamu mwenye akili ya kawaida anayeishi US, mwenye uwezo wa kubadilisha magari ya garama apendavyo, mwenye kupata mshahara mzuri tu kama uliokuwa unaelezea, mwenye uwezo kubadilisha mabebz kama ulivyokuwa wewe, angeweza kusacrifice chochote ili kuspend time na mamake, wewe ni mtoto wa kambo, mamako ndio inawezekana umedumu naye kuliko babako, kwa mamako wewe ulikuwa lulu, ulikuwa moyoni mwake lakini, amesacrifice vitu vingi sana usivyovijua kwaajili ya maisha yako lakini ulipokuwa mtu mzima ulimtelekeza aishi bila kukuona (hata kama anakusikia kwa simu etc na unatuma vihela) for 30 good years ukaona si bora kusacrifice umarekani ili urudi, and still unaona haujafanya kosa, hivi vijana wadogo wanajifunza nini kwako kwa kutokukubali kosa kama funzo kwa wadogo zako, ninaamini mamako alikuwa anakupenda sana na ulikuwa moyoni mwake, ulikuwa wa thamani mno kwake na alitegemea vingi kwako na si ajabu alitamani awe anakuona mara nyingi lakinni wewe ulimtupa 30 years ati unatafut amaisha? SI N DO MAANA MAISHA YENYEWE HUKUYAPATA ukarudi bongo na pumbuu tu mzee, na still hauoni unatakiwa kukiri kosa ili wadogo zako wajifunze, ivi unajua inafika kipindi naamini le mutuz either umeathirika sana na aina ya maisha uliyoishi na kuna nati fulani zimelegea au pengine hauna akili? una moyo kweli wewe mwanadamu uliyelelewa na mamako tu unaishi 30 years mbali ati usingeweza kumsaidia sana kwasababu ulikuwa unatafuta maisha yako kwanza, yeye angeamua kutafuta maisha yake kwanza badala ya kukulea wewe si ungekuwa msengee wa barabarani tu wewe hata kusoma usingejua sijui ungekuwa unalima mahindi tunduma au ndizi tukuyu au wapi sijui, au ungekuwa mtoto wa barabarani? wa mama huwa wana sacrifice mno kwa watoto wewe hauoni uthamani huo? au ndo maana unaonekana upo kawaida tu kuishi mbali na watoto si ajabu hata watoto wewe hauwathamini kwasababu watajifunza nini kwako haujui kuthamini wazazi na watoto wako watakuwa wakielewa maisha yako hivyohivyo, watoto wako na marafiki zako wanajifunza nini kwako? aisee we nilikuwa nakustahi lakini hauna akili kabisa kabisa na kuna uwezekano mkubwa una laana haki ya nani, unalaana ya bimkubwa au nati imelegea kichwani huko ha hauelewi kama umelegea nati.
Niliambiwa na mama ake kwamba huyu mtu ni mgonjwa na amemsumbua sana baba yke.Umeongea yote,lkn je,atakuelewa? Kuna upogo mkubwa kati ya huyu na binadamu wakawaida( reasonable man).Moja ,ama muendelee tu kumsoma au mmpotezee ,huyu siyo binadamu mwenye reasoning mind.
- Mpaka sasa hivi nipo Part 39, hakuna wa kunizuia kuandika ninachotaka na nilichoamua mwenyewe kwa hiari yangu.

- Neema sijawahi kumchokoza ila kumjibu tu inapobidi na niatendelea na hilo naomba tu ukiona nimemjibu ruka page tu maana inaonekana inakukera sana, vumilia tu mimi nisipomjibu ninaweza kuumwa maana sikuzaliwa kutokujibu, na ningekua sijibu in my life nisingefikia hapa nilipo.

- Kuhusu Marehemu Mama yangu hakuna popote nilipomkosea nilikua Majuu natafuta maisha yangu hakunipeleka yeye wala mtu yoyote it was me na maisha yangu aliyoniletea yeye mwenyewe, sikuwa na makaratasi so nisingeweza kurudi lakini nilipopata nafasi ya kurudi nilifanya nilichokiona ni sawa, now nisingeweza kumsaidia kabla sijawa sawa HAPANA, ninarudia tena kwamba ishu ya MArehemu Mama yangu i was 100% right.

- Again kwenye maisha yangu sijawahi kumpa nafasi binadam yoyote kuamini kua ana power over me, naona unajaribu kushauri ninyamaze maana Neema ana mapungufu mengi sana yangu ukweli ni kwamba ana chuki za kumuacha na kuendelea na maisha yangu ndicho kinachomuumiza ndio maana halali kunifuatilia tu maisha yangu, yupo na id zake feki kila mahalia ananifuata mimi sina muda naye mpaka nikifika huku ndio namkuta na ninampa majibu nikiamua kumuanika ya kwake ambayo ni ya kweli atajinyonga,

- So please aidha soma uelimike au nyamaza uwaachie wengine ila ushauri kama wako nauogopa sana maana unanifundisha kuwa a Coward I am not!, na sijakuomba ushauri wowote uwe wewe wala mtu yoyote I am just enjoying my life!

le Mutuz
 
Swala la kumkosa mwanae kwa muda wa miaka thelathin think lilitosha kumvuruga Bibi yetu,j iulize,alibeba Mimba ya Le kokobanga Nye Nye,miezi Tisa ,akamlea mtoto peke yake,akampeleka shule,baadaye mtoto akamkimbia akenda kupanga chumba YMCA,baada ya hapo akamkimbia kabisa na usimuone 30 years,kwanini huyu mama asiuze kila kitu ukonga akarudi kulinda makaburi kwa kuamini kwamba mizimu ya Babu yake imechukia?Mama wa watu alifrastrate,alivurugwa kwa kumkosa mwanae na asijue kama alimkosea ama la.Kuna mama alikufa kwa shinikizo la damu baada ya mwanae kukataa kuoa.Hivi Le nye-nye ,ndo mtoto pekee wa huyu mama?
 
- Nilikua nasoma College na nimeweka wazi kua Miezi 6 Baharini na Miezi 6 Shuleni, Ukiwa Mwanafunzi huwezi kuwa Melini ukwa 2nd Engineer hahahahahaha seriously nilikua Apprentice Engineer kwa the sake of lugha rahisi nimeweka Assistant Engineer,

- Kuandika Uongo Chapter 22 inahitaji kua umekufa sio binadam wa kwaida, so take back ujinga wako ulichoandika wote ni ujinga mazafantazzz, nimeweka wazi nilikua kwenye meli ya CMB inayoitwa MV. Luxemburg na ilikua inabeba Coal nenda google utaikuta, nimesema nimesoma Zeeman College Antwerpen, nimelala kituo cha basi nikiwa na hela zangu mfukoni so relax mjinga wewe hata meli hujawahi kupanda. hahahahahaha U know

le Mutuz
Patamu hapa
 
- I mean thanks boss, makelele meengi as if wana maisha kweli hahahahaha guys eti huwa mnaongelea nini haswa na hayo mafanikio ya maisha yenu? Huwa ninajaribu kuwasoma nashindwa kuwaelewa, The Americans taught me Mwanaume anatakiwa kuwa na Maisha na maisha ni kula vizuri, kulala vizuri, kuvaa vizuri, na pesa mfukoni ambavyo vyote ninavyo as opposed na watu wengi sana humu,

- Kila siku kelele kuna yule Mjinga mmoja nimemuona anapigana sana na ukweli wa habari yangu, anatukuza Ubaharia foolish kabisa wewe kweli in your right mind unaweza kutukuza Ubaharia? Maisha ya kukaa baharini Wiki 3 bila Mwanamke? Halafu mnafika Uchina mwanamke mzee anaingia kwenye meli kwa boti ya magendo Mahabaria wote mnamgombania mama mzee wa Kichina, unasifia kua ni maisha?

- Wewe fala uliwahi kupanda Meli gani? Itaje I mean maneno maneno mengi kwa sababu ni mtandao hakuna anayekuona? hahahahahahaha Yes nilipokua naenda USA nilikua sijui nitafikia kwa nani lakini ningeweza kwenda kwa Balozi Chagula aliyekuwa best man wa harusi ya Baba yangu hivi unaamini angenifukuza? I mean unaandika ujinga ujinga unadhani sisi wote ni wajinga wajinga kama wewe?

Tulia soma habari ya MWanaume hapa kama huwezi kapike jikoni mazafantazzz mjini hapa wengine mtavalishwa madela U know!

Le Mutuz
Sasa na wakati mzuri.waliokua wanarusha mawe muhusika akiwa hayupo.WAJE WAPANGUE HOJA KWA HOJA.ASIKIMBIE MTU
 
- Well, hili suala zima la Kibamia ni yale yale tu, my ex wife ameanza siku nyingi sana kunishambulia humu Jamiiforums kwa jina la "Case Mtanga" now nenda yapitie matusi yake yote toka alipoanza mpaka alipoachia kama kuna hata point moja alipogusia maneno ya Kibamia, infact alipoona singishiki ma mashambulizi yake hapa alimtafuta Mange akaanza kushurikiana naye mpaka akampa copy ya my Passport lakini hata ukisoma mashambulizi yake na Mange hutalikuta hilo neno,

- Again toka Mange ameanza kunishambulia ametumia maneno mengi sana ya matusi, akafika mahali akaanza kutumia ID zake Instagram kunitengenezea story akidai ametumiwa na watu kumbe ni yeye mwenyewe, kwa msiojua this game la Social MEdia ni kwamba Mange anazo ID kama 100 ambazo anaweza kuzitumia kukushambulia in one topic wewe ukadhani unasambuliwa na watu wengi tofauti ukitaka kujua kua ni ID zake utakuta followers 0. However hakuwahi hata siku moja kusema maneno ya Kibamia ni kwa sababu kwa kuongea sana na my ex wife anajua sio ukweli.

- However, huwa sina haraka na anything in my life hili suala la Kibamia nitakuja kulijibu kwenye kitabu changu cha "MY INSTAGRAM DATING LIFE" kwa sababu mle Instagram I have dated so many women Maarufu na wasiokua ambao ndio mashahidi wangu on that ingawa sio muhimu sana lakini for the sake of setting the record straight will do that. Otherwise, ningekua na Kibamia kweli my ex Wife angekua mtu wa kwanza kukomalia hiyo ishu kwa sababu kwa kuishi na mimi Miaka 15 kuacha Miaka kama 10 ya ku date tukiwa watoto sidhani kama baada ya kudate KIBAMIA kwa miaka 10 ya utoto wake angekubali kuja kuolewa na tena na KIBAMIA na kuishi nacho miaka 15 sio kweli, na besides Umaarufu wa Instagram umenifanya nitembee na wanawake wengi sana ambao kama ingekua kweli wangeshajitokeza siku nyingi sana kutoa ushahidi.

- One thing I must admit ni kwamba pamoja na matatizo yote niliyoyapitia bado siamini kwamba Matatizo yangu ni ya wengine hapana I am responsible na matatizo yangu ambayo mengi pia nimejitakia mwenyewe kwa kujua au kutokujua, kwa mfano Msichana aliyenirekodi nimekua naye close range dating for last two years infact nilikua ninaelekea kumuoa, akafanya kosa ambalo huwa sina msamaha nalo la kuchangia msichana wangu, Sheria ya Maisha yangu ni nikijua hapo hapoa namuacha. Niligundua Jumamosi nikamuacha Jumapili rasmi, Jumatatu akajifanya yeye alikua na Bwana siku zote na Jumanne kale kavideo kakatokea, Polisi wakaniomba niwape ruhusa wamkamate nikakataa nikawaambia muacheni ni Msalaba wake na Mungu wake.

- Ishu ya Kibamia haijaniumiza sana kwa sababu tu sina kibamia ila ningekua nacho kweli ninaamini by now ningekua nimeshajitoa Social Media kwa ujumla, again ninasema kwamba ishu ya Video makosa yangu yalikua ku date msichana mwenye uwezo mdogo wa kufikiri, ingawa pia imenihakikishia of how Good of a Man I am kwa sababu sijawahi kuachana na Msichana yoyote kwa amani ni kwa sababu wanakua wanajua watakachokikosa baada ya kuchana na mimi, so wanapigana na ile spirit ya "TUKOSE WOTE" but its ok yote ni maisha, na maisha lazima yasonge mbele.

Again I hope nimemsaidia mtu hapa.

Le Mutuz
Tukose wote spirit.... Nshakutana nayo hiyo
 
Le Mutuz please stori yako ya The American Experience mbona humu Jamii forum hujaendeleza.Mwisho ni mpaka part 28.Tafadhali weka humu part 29 na kuendelea.
 
Unaitumia vibaya sana haki na uhuru wako wa kuwa mjinga..this crap you are writing ni ujinga ata kukujibu naona kinyaa..

Unazungumza eti nataman Malecela awe baba yangu..emu ona aibu na umsitiri baba yako..maana sion lolote la usifa au uzuri kunifanya niwe matamanio hayo..the way i see it baba yako historia hii itambuka kwa tiltle tu ya UWAZIRI MKUU..lakini we all know ukiachana na na U-PM alikuwa mburula aliyeotea nafas kulingana na mazingira ya uhaba wa wasomi na nia ya Mwl kuweka watu wa karibu ambao angeweza kuwa manipulate na kuwatumia to his advantage na baba yako was a perfect chambo!!

Swali la kaburi la mama yako..ndio sababu nitaendelea kukuita mjinga tu, na siku nyingine hii i.d THE LIST usikurukupe kuijibu kipwagu hivo..hakuna mahali duniani udongo unafanya tabia zinazoendana na theory ya utetezi ulioandika kasome SOIL PROFILE!! Eti ukae mwaka na unusu..puuzi kabisa

Na ni afadhali umekiri kuwa sasa umepata hela ya kujenga kaburi..na kuwa hii ina reflect logically kuwa by time MAMA YAKO ANAFARIKI ukiwa na miaka 50+ hukuwa na pesa ya kujenga!!! hahaha duh what a waste!! Inawezekanaje hii !!!

ishi umri wako mzee sio size ya kiatu yako..idiot!!
Aisee akil kubwa inakaribia kushindwa na akili nying
 
PART 36:- "MY AMERICAN EXPERIENCE" Hatimaye Msichana akaja kutoka Belgium alikokua anafanya kazi akakaa siku 10 ninakumbuka siku ya kuondoka kurudi Belgium alikua analia kwamba anataka kubaki I was like no mpaka tufunge Ndoa na baadaye kweli tulifunga Ndoa ambayo nilitumia pesa zangu kulipia Gharama zote za Harusi ilinifanya nipunguze kiasi kikubwa cha my Savings lakini sikujali cause nilijiambia harusi ni mara moja tu in life SIKUMCHANGISHA MTU hata senti moja mke alikua ameacha kazi yake ya Ubalozini Belgium akaja kua jobless kwangu ilimchukua Miaka 5 kufanikiwa kupata kazi tena katika hii Miaka 5 nilikua ninapigana kutunza mke na Watoto 2 peke yangu lakini maisha yalikwenda sawa...now nilikua nimejitenga sana na Wabongo ambao waliposikia nimeoa Mbongo walishitushwa sana tena the fact ya Mbongo wasiyemjua lakini mioyoni mwao walifurahi sana maana walijua kua mimi ni binadam mgumu sana kuingilika so watamtumia mke wangu I was very protective of my Wife katika Miaka 15 ya Ndoa nilikua namheshimu sana mke wangu that I NEVER CHEATED ...
ninarudia kwamba in 15 years of my marriage I NEVER CHEATED nilidhani kwamba mimi ni binadam mpungufu kama wengine wote lakini atleast nijikaze nisi cheat ili Mke wangu atakapokumbuka kua sijam cheat atanisamehe mapungufu yangu mengine ya Kibinadam cause hata mimi nilimuambia the same kua as long as hamna cheating from her nipo tayari kuishi na mapungufu yake yote mengine lakini sio Cheating ...halafu nilijiepusha kabisa kumuongelea negatively my wife so Wabongo wote walikua wanajua kua sikua na huo muda wa kumponda mke wangu kama wengine wengi walivyokua wanafanya unakuta mke anamponda mume na mume anamponda mke lakini then unawakuta pamoja ilikua inanishangaza sana ..now ndoa was great mtoto wa kwanza wa kiume na wa pili wa Kike then siku moja ikatokea the unthinkable mtihani mzito ambao sijausahau mpaka leo kwa sababu ndoa yangu ilikua ndio mfano kwa kila Mbongo pale New York nilikua nampenda sana my Wife cause I felt ndiye binadam pekee niliyenaye maishani mwangu na angalau NINAYEMUAMINI kidogo maisha yalikua yamenifundisha kutomuamini mtu furaha ya ndoa yangu nilijua ilikua ni maudhi sana kwa wengine ila sikujua...ITAENDELEA!
a7c20836eeaba6037d202b5330568a52.jpg
 
Back
Top Bottom