William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Huyo Peter Lwangisa nimesoma naye boarding enzi za primary. He used to be the most fearsome bully in school. I remember him as a vicious, violent, brutal individual who would beat you up for no reason. His was a reign of terror until the day he left the school. Kama mnaelewana naye huyo basi you guys must be cut from the same cloth.
Le mutuz Le Mobimba BOMAYE wewe ni Great Thinker , upo smart.- Unauliza majibu Samwel hayumo kwenye equation ya urithi na sio a threat kwa sababu hajasoma sana, tumia akili kidogo ndio maana majuzi nilimuambia my ex wale dada zangu hawana shida naye tena maana walichotaka ni Divorce wakiamini itanimaliza iliposhindwa basi hawana shida naye tena sasa wamewekeza kwa Mange, guys mbona ukisoma vizuri maelezo yapo very clear!,
- Imagine tukiwa kwenye ndoa my step sister alikataa kata kata watoto wangu wasilale kwake, lakini tulipokua in separation wakawa wanaenda kulala kwake niambie unaweza ku reason out na hizo akili?
le Mutuz
ilianza kama vichekesho na story ya majigambo ikaja kuwa ya kutafuta sympathy kwetu kwa kale kavideo,sasa imeturn na kuwa habari ya kututoa au kukaribia kututoa machozi.Mkuu heshima kwako na pole kwa uliyopitia
Le Mobimba .....
. ktk kitu kitaliweka Jina lako sawa ni hii chapter unayotuandikia William Malecela ni Nani kwenye Taifa hili na umuhimu wake. XWife Pamoja na wale Maadui wako ndio sterling man walikuwa wanakupaka matusi makubwa makubwa bila soni!
Kwa history hii najua sasa umewashinda!
Nadhan sasa hawaelewani! kwa Mshindo huu mzito kabisa.
Story yako inasisimua sana aisee........hongera kwa maamuzi magumu!View attachment 703634
PART 58:- "MY AMERICAN EXEPRIENCE"
Picha ya Coupon niliyonunulia tiketi na Hotel at Zurich ...Kwa kawaida kabla ya kufanya maamuzi yangu magumu hua ni muhimu sana natafuta JUSTIFICATIONS ambazo ni FACTS ninaziweza kuzisimamia hata mbele ya Watu wenye akili kua ilikua ni lazima nifanye nilichokifanya Uamuzi wa kurudi Bongo ulikua na tatizo moja kubwa sana Watoto! ...but nikaanza ku reason out kua hata nikibaki Watoto hawatakua wangu tena yatakua maisha ya kugombea watoto mahakamani kila siku, nitapangiwa muda wa kuwa nao na Mwaka Mmoja na Nusu wa Separation watoto wangu walikua wameshabadilika ukiwaona tu unajua wana tatizo.
Mama yao alikua anahangaika kuwa train ili wa fit anachotaka yaani kuonyesha Wanampenda yeye kuliko mimi a nonsense theory cause ninajua from Criminology Studies kua Watoto ni watu wenye akili sana za their Security kuliko hata sisi watuwazima ikitokea a choice ya kuchagua baina ya Baba na Mama yupi wa kuishi naye watoto automatically 99.1% watachagua Mama tu cause ndiye anayewalisha na kuwa nao wakati wote Mwanaume akiwa kazini lakini watoto wakikua wanaamua tofauti sio kwamba hawajui kua mama yako anawavuruga ...
Safari ilikua imeiva Ijumaa tu kesho Jumamosi safari kwa bahati ikatokea Concert la Mzee Yusuph Ijumaa usiku nikaenda na kama kawa my ex akaingia na kundi lake wakiwa na jeuri nzito sana usoni mwao nilikaa pembeni nawachora tu nawacheka kimoyo moyo kua kesho mtapata mshituko wa ajabu hahaha nilikua na mshikaji wangu Peter kama kawaida hata yeye sijamuambia kua kesho ni balaaa ...uchunguzi wangu wa siri ni kwamba my ex na wenzake walishaenda mahakamani na Wanasheria walishapata makaratasi ya kunifikisha mahakani kudai mshahara wangu nikasikia furaha waliokua nayo makaratasi ninatakiwa kupewa Jumatatu.
Nasikia my ex alishaanza kutafuta nyumba kubwa ya kuishi kwa kutumia mshahara wangu hahahaha nilicheka sana mwenyewe kimoyo moyo ingawa bado nilikua napigana na nafsi yangu kuhusu watoto kwenye makaratasi ya Divorce my ex alidai lazima abaki na watoto na Sheria inamruhusu then likanijia wazo la nitawafanyia nini watoto kama mimi mwenyewe sipo sawa! baada ya kulipia lipia kila kitu muhimu nikabaki na Dola 1500 tu!
..ITAENDELEA
Ha ha haNoma sana hii, ndio maana kuna watu hawaoi kabisa.
Umenikumbusha definition moja ya marriage ilitolewa na bachela mkongwe
'Marriage is a man choosing his own slave master'
Noma sana hii kitu
Ha ha ha
Sana aisee,Atari mkuu mtu unaweza kuwa mwehu hiv hivi kumbe slavemaster wako kashafanya yake [emoji23][emoji23]
Hahaha jamaa ananpa vitu nicvyovielewa[emoji23][emoji23][emoji23] kwenye pita pita zangu umeifany hii siku inaniishia vzur wew learned sister [emoji23][emoji23]
Hahaha jamaa ananpa vitu nicvyovielewa
Dah episode hii imeniumiza sanaView attachment 703143
PART 50:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Picha ni Marehemu Mama yangu mzazi akiwa London ambako alikua akienda mara kwa mara...Matatizo ya Ndoa na Matatizo ya kazi yote kwa mpigo nikaanza kumkumbuka Mama yangu siku moja aliingia Chumbani kwangu ghafla nikiwa mdogo ninakaa kwa Uncle Lusinde, akanikuta na Cash nyingi sana alipigwa na mshangao akaniambia "William unapenda maisha makubwa sana utayapata lakini yatakugharimu sana" .
Infact Mama yangu mzazi hakutaka kabisa kusikia habari za kumuoa mke wangu na hata Baba yangu hakutaka na Dada yangu mmoja pamoja uadui wetu bado na yeye alipinga openly. Wazazi wangu ya kumkataa waliyasemea in Private lakini Dada yangu alimuambia yeye mwenyewe kabla ya kufunga ndoa kua haungi mkono ndoa cause anajua kua nitakuja kuumia tu lakini wote in the end wakaheshimu uamuzi wangu so now yamenikuta ninamkimbilia nani? ...
Marehemu Mama yangu amechafuliwa sana na my ex wife na anaowatumia Mama yangu alikua Miss Tukuyu, akawa Miss Mbeya, then Miss Tanzania na Miss East Africa baadaye Mwalimu Baba wa Taifa alimtumia sana kwenye kujenga UWT na Mama Sophia Kawawa ninakumbuka sana nikiwa mdogo akawa Muwakilishi wa UWT Taifa Mikutano ya Kimataifa sawa hakua na Elimu kubwa sana lakini alikulia Malawi alikua na uwezo wa kuongea Fluent English alikua anasafiri all the times nje ya Nchi ...lakini kwa makusudi kabisa ametukanwa sana kwamba eti alikua ni muhudumu wa Gesti ...
Marehemu Mama yangu alikua ni mfanyakazi wa NBC tawi la Clock Tower kwa muda mrefu sana huku akiwa ni Kiongozi wa UWT Taifa alijenga makazi mazuri sana Kigamboni siku moja Jeshi wakachukua lile eneo na kumlipa pesa ndefu sana akajenga Nyumba kubwa na Shamba Minazi Mirefu/Ukonga ...lakini ukisoma matusi ya my ex kwa mama yangu hutaamini kua anyezungumziwa ni huyu Marehemu Mama yangu aliyekua anasafiri nje kila wakati ....
Sawa sikatai kua in the end hakuwa na maisha mazuri sana kama aliyokua nayo zamani lakini ilitokana na matatizo mengi aliyoyapitia mimi nikiwa nje ambayo yalimvuruga sana kisaikilojia na ambayo hayakunihusu na ndio yaliyompelekea kuuza kila kitu na kuhamia Tunduma by the time ninarudi nikamkuta huko!
.....ITAENDELEA
Pole bestDah episode hii imeniumiza sana