Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
PART 68:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Baada ya hii Chapter ninabakiza 2 za mwisho to PART 70 na nitagusa tu yanayohusiana na USA cause niliyoyapitia hapa Bongo toka nirudi ni kitabu kingine kabisa .... Now back to USA my ex akazikataa Dola 200 nilizowatumia watoto akadai kua kwanza ni ndogo na pili rafiki yangu anamdhalilisha sana kabla ya kumpa kool nikamuambia Peter basi watafute watoto wape kwa siri my ex alijua hilo so akamtegea Peter alipoenda kuwapa yeye mwenyewe akamshukia na kuanza kumtukana huku akimtupia zile pesa kua hataki tena kutumiwa pesa watoto na kwamba ni mwanzo na mwisho hata mimi kuongea na Watoto wangu ..nikamuambia Peter zirudishe haraka cause huku Bongo Dola 200 ni nyingi sana nikamuambia ni bora nilikuonya mapema kuhusu my ex kua tunaweza kuishia kugombana sisi wanaume bila sababu kisa ujinga wake tu ...
Well my thinking was the same my ex anataka kunivuruga akiwa USA mimi nikose Amani huku Bongo, no way sitampa hiyo nafasi. Nikakata mawasiliano ya aina yoyote na anyone anayemuhusu ila the next thing akaanza kunifuatilia kwenye mitandao, akagundua nina rafiki msichana mbongo anayeishi South Africa. Akaanza kumfuatilia mpaka akamuomba urafiki inbox then akaanza kunichafua kwa msichana yule. Mbebezz akawa ananitumia screen shots ..
Now Dada yake my ex anayemuuzia biashara yake Bongo naye akawa ananitukana sana hasa Facebook so nikamtumia zile sms za mdogo wake nikamuambia tu mwambie aniache kama kweli kaniacha anahangaikia nini sasa kutafuta Bebezz zangu.hahahaha... My ex akaendelea na mashambulizi Jamiiforums ambako aliungwa mkono sana na watu kule wasioelewa anything. Then nikasikia amepata Bwana amebadili Dini na kua Musilamu so kaolewa kwa siri Manispaa na kua mke wa pili.
Nina rafiki yangu ambaye mke wa kwanza wa huyo Bwana ni mdogo wake so but I could careless cause now my ex was never my problem tena ingawa kabla hajaolewa alijaribu kumtumia rafiki yangu Davis Mosha ili nimrudie I was like Davis you are not serious yakaishia hapo hapo ...now after 2 years kikatokea nilichokua nakisubiri sana nilijua my ex atapigana sana kuja Bongo likizo na Watoto kuonyesha kwamba she is strong hahahha na anaweza hata peke yake kwa bahati nzuri sana!
..ITAENDELEA