Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Kwa kweli tusamehewe,ni kutokujua,apo kwenye kudhalilishwa mama ndo pameniumiza,mana kama ningekua mimi mama angu ndo anafanyiwa hivyo,saiv nipo gerezani kwa kesi ya kuua[emoji125] [emoji125] [emoji125]Duuh,Le mutuz sasa unatuliza machozi,kiumbe wa mungu kupitia yote haya!!!!!!!!!! Putting myself in your shoes ningekuwa nimeshajinyonga-God bless you,na utusamehe tuliokuhukumu negatively before
Na hii story angeitoa kipind icho anashambuliwa na ex wife angeonekana anajarb kujitetea bado asingeeleweka,ana akil sana huyu jamaa kuitoa saivi pamepoa poaTulimkosea sana kaka wa watu mungu mkubwa angekufa tungedaiwa yaani
Hahaha alitaka kunifosi nipambane nae wakti mi nshajifunza kwa lekokobanga kumkwepa shetani mchonganishi[emoji23] [emoji23]Nlicheka san kwa ulivyomtoka [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] chizi weweHahaha alitaka kunifosi nipambane nae wakti mi nshajifunza kwa lekokobanga kumkwepa shetani mchonganishi[emoji23] [emoji23]
Ni shetani ndo anafanya kazi ya kupelekesha akili za watu mpaka tunashindwa kuelewana[emoji2] hivyo ukiona mtu anafanya kitu kibaya ujue shetani ndo kamtumaKweli lekokobanga nakukubali bro maana ukiachia tuu hiyo stori yako mwenyewe na ulivyokua unapambana na shetani mchonganishi katika Maisha yako.
Humu pia kulikua na shwetani wawili Yule shetani @ the List na mwenzie shetwani @ case! Ila naona kama wamefyta until further notice!
You are humble you know!
[emoji2] [emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] chizi wewe
X wife ni katili kabisa,sema ndoa za ughaibuni zina changamoto-Amani ni kitu cha nadra sana,rights zote tumepewa wanawake,mwanaume akipatikana huteseka sana-i have seen these scenario's with my own eyes.Happily married and after a couple of years,a brutal messy divorce battleLe mutuz we ni mwanaume yaan nawaza tu hapo mama alivyokulisha sumu kuhusu baba lakini mwisho wa siku haujayasikiliza ulikuwa sawa na baba yako ni watoto wachache wenye moyo huo
Ila huyu x wife wako alikuwa na roho mbaya sana sana anasahau kama mmezaa wanawake sisi
Inapendeza ulivyojirudi ......huyu jamaa amepitia maisha ya ajabu sana, mke wake ni mgumu sana, dada zake ni wa kuwakimbia kama nyoka. roho hiyo walichukua wapi? thank God babake alimpenda/anampenda the same way I will love my son from another woman.
Hahaha alitaka kunifosi nipambane nae wakti mi nshajifunza kwa lekokobanga kumkwepa shetani mchonganishi[emoji23] [emoji23]
X wife ni katili kabisa,sema ndoa za ughaibuni zina changamoto-Amani ni kitu cha nadra sana,rights zote tumepewa wanawake,mwanaume akipatikana huteseka sana-i have seen these scenario's with my own eyes.Happily married and after a couple of years,a brutal messy divorce battle