Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Ni ujinga kupigana na asili. Watoto kuwajaza usheteni wa kumchukia baba yao ni dhambi mbaya sana! Watoto wajiongeze, wamsome baba yao vzr hasa kwenye kitabu atakachoandika ili wawe na maamuzi mazuri juu ya mama yao asiyejitambua!
 
Last part imenisikitisha sana. It is a cry of an abondoned child. Mungu atusaidie tuwalee watoto wetu wa nje ya ndoa kwa maadili sawa na wale wa ndoa. Ona jinsi athari inavyoweza kuonekana kwa babu. He neither has the discipline nor the confidence. Is a living thorn to otherwise a well groomed family
 
We jamaa ni mpumbavu sana
 
Nlichopenda katika harakat zake zote,kuwin na kufail hajamlaumu mtu yoyote,tofaut na watu wengine akifeli anaanza kulaumu watu kwamba bila fulan kufanya hivi nisingefeli,Lemutuz pamoja na ugumu aliopata kwa ndugu zake from step mother bado amekua ngangari na hajawalaumu ndugu zake wala wazazi wake,anakaambia najilaumu mwenyew kwa ujinga wangu,either kwa kujua ama kutokujua[emoji2]
Kuna ka akili flani hivi amenipandikiza since nimeanza kusoma hii story yake,japo kwa haraka haraka huwez mwelewa
 
Ni ujinga kupigana na asili. Watoto kuwajaza usheteni wa kumchukia baba yao ni dhambi mbaya sana! Watoto wajiongeze, wamsome baba yao vzr hasa kwenye kitabu atakachoandika ili wawe na maamuzi mazuri juu ya mama yao asiyejitambua!
Watot wameshajazwa sumu,na hiv bado wapo na mama yao,hata wakisoma kitabu bado mama yao atawaambia ni muongo huyo anatafuta tu huruma kwa watu,labda tu watoto wenyew watumie akili zao bila kupandikizwa na mama yao
 
Yote tisa,ex wife kumdhalilisha mama mkwe wake sio kitu cha urahis mwanaume kuvumilia,et em imagine mama ako anatukanwa mitandaon tena na mtu wako wa karbu kabisa...aiseee uyu baba ana moyo
Inauma sana mama anauma jaman le mutuz ana moyo wa pekee amevumilia miaka mingiiii mpaka kaamua kuyatoa ya moyoni pamoja na mitihani yote aliyopitia jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…