- Hizi picha zingekua na ubaya wowote nisingezi post kwenye Instagram yangu ni mimi mwenye nilizipiga na kuzi post, that is my Mother ilikua ni mara yangu ya kwanza kumuona after almost 31 years, nilipo ondoka Dar nilimuacha ana maisha mazuri sana hapo nikamkuta ameamua kuishi maisha ya Tunduma.
- Seriously sioni hoja ya msingi hapa so far naona ni attacks tu za kitoto amabazo nimezizoea sana mitandaoni, tatizo langu sio kujenga kaburi kwanza ilikua kuheshimu wananchi wa tunduma na pili muda ninao mdogo sana ndio maana hata kujenga sasa hivi nimeamua kutuma watu nitaenda likiisha,
- Naona makelele mengi lakini hoja ya msingi sijaiona, labda ungeweka kaburi la mama yako na nyumba uliyomjengea labda kidogo ningekuelewa au unasemaje?
le Mutuz