Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

kama ni kweli am sure wa miaka 57 wenzake wanatamani kuwa kama yeye!
 
Daah..!,kusema kweli baada ya kupita kwenye hili andiko nimemrespect sana huyu Bro,,before nlikuwa namchukulia tu kama mshikaji mzembe ambaye amepata mbeleko ya life hasa kwa kuzingatia nafasi aliyokuwa nayo mzee wake ndani ya Chama na Serikali,,kumbe ni bonge la mpambanaji..!
 
Hebu wewe jaribu leo kukesha halafu lala saa 11 alfajili uweke alarm ikuamshe saa 12 asubuhi then oga ingia mtaani kesho uje utupe ushuhuda ulichokiona ndio utajuwa tofauti ya tantalila na fact.
 
Maneno mazito sana haya kutoka kwa Lemutuz.
 
Hebu wewe jaribu leo kukesha halafu lala saa 11 alfajili uweke alarm ikuamshe saa 12 asubuhi then oga ingia mtaani kesho uje utupe ushuhuda ulichokiona ndio utajuwa tofauti ya tantalila na fact.
Mbona nafanya hivyo mara nyingi tu kama nikipata series kali nakesha nayo afu alfajiri naamsha chombo na nakua fresh kabisa kutwa nzima.

Hebu jaribu na wewe tuone itakavyokua. lol.
 
Nyinyi ndio wale vibaraka wake kwenye kile kiblog chake uchwara?

Mtu ameondoka Tanzania kafunga mkanda unasema ni mpambanaji?

Uliza mabaharia kipindi hicho ni lazima uingie mamtoni kwa store away melini, na ukikutana na Warusi wakikutowa chimbo wanakutosa baharini unabaki kuwa historia.

Ok tunasubili part ngapi sijui inayofuata tuone simulizi yeye na mke wake Neema Ngwilulupi walikutana wapi? Ni New York au wapi?

Na je ni kwa nini Neema Ngwilulupi ameajiliwa kwenye Tanzania mission New York wakati hana sifa je ilikuwa ni influence ya nani? Alipata kazi kabla ya kuwa mkwe wa Malecela au baada ya kuwa mkwe wa Malecela.....

Nitarudi, leo tupo hapa.

Nina imani page zimeshafika 10 sasa sauti za umeme zitashuka kuja kutililika hapa.
 
Sorry Chief kama nimekukwaza,,mimi hata sijui kama ana blog,coz mara nyingi taarifa zake huwa nazisoma hapa hapa JF na ndo nikapata kufahamu kumbe jamaa ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu

Binafsi namuona mpambanaji kwa sababu ni watoto wachache sana wa viongozi wakuu Serikalini,na hasa Serikali za nchi zetu za Kiafrika,,kutafuta maisha kwa staili ngumu kama alivyofanya mchizi,jamaa anasema alifanya vibarua USA vikiwemo vya kudeki kumbi za sinema ili apate ada ya kulipia Chuo,,mimi sijui ni watoto wa mawaziri wakuu wangapi toka Shitholes Countries wanaweza fanya hayo mambo

Najua inawezekana kwenda nje hakupata ugumu sana kama wengine walivyopata,,lakini kwa nafasi ya Mzee wake naona bado kulikuwa na changamoto ambazo zilitakiwa kuwapata vijana wa mitaani na si yeye

Anyway,,ngoja tuendelee kupata uhondo wa simulizi ya hii stori
 
Kuna watu wakiweka historia zao za kweli humu, zile za kuzaliwa uswahilini mbuzi kalamba reli, mama muuza gongo baba mpigisha kolokolo. Wame-hustle kichizi mpaka leo respect wanaburuza life, huyu Le Mutuz cha mtoto tu. Huyu kakua anakula mayai ya bure Ikulu ataongea nini, wakati watu wamezaliwa uswahilini mayai anasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…