Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

PART 10:- "MY AMERICAN EXPERIENCE" .

.kesha Saa Kumi Asubuhi nilikua nimeshafika Yard at the Bronx Terminal nikaanza mazoezi ya kuendesha ili nikafanye mtihani rasmi wa kuendesha nishinde nitimize ndoto yangu ya kuwa na kazi ya Uhakika na Mshahara mzuri yalikua yamebaki masaa 3 yaani from Saa Kumi Asubuhi mpaka Saa Moja Kamili.


Niliyopangiwa kuingia mtihani so hapa Yard nilikua najaribu kukumbuka kila kitu kinachotakiwa ili nikifanye kwenye mtihani niweze kushinda so Saa Kumi na Mbili na Nusu Errol Mzee Mjamaica aliyenifundisha sana hii kazi alikuja na ndiye aliyekua ananipeleka kwenye mtihanl maana ni lazima uende na Dreva mwenye Leseni.


Mzee Errol akaniambia "African najua utashinda na afanya mambo makubwa sana yako maana una akili sana" akaniuliza "Hivi Waafrika wote wana Akili kama wewe?" sikumjibu kitu zaidi yan "Twende kwenye mtihani imebaki Dakika 30.

tukaondoka mimi naendesha yeye amekaa pembeni tulipofika mahali pa mtihani Inspector Maalum toka New York City Department of Motor Vehicle akaingia ndani ya Truck akimuashiria Errol kushuka na yeye akakaa pembeni akaangalia makaratasi yote yanayohusika na akaniuliza "wewe ndiye ulikua unaendesha mlipokua mnakuja?" nikamjibu "Ndio" kwa mshangao mkubwa sana Inspector akaniambia "Jinsi ulivyokuja hapa mpaka uka Park hili truck sihitaji hata kukufanyia test maana nina kazi nyingi sana so nakupa leseni yako.

I almost fainted kwenye kiti cha dreva nilipakua nimekaa infact machozi yalinitoka sijuii kwa nini Boom Inspector akanipa mkono na kunitakia heri "Good Luck".


Mzee Errol akarudi na kuniuliza kwa mshangao kwanini sijaenda naye kwenye mtihani? nikamuambia kilichotokea ...

Dina mmiliki wa Kampuni yetu American Harzadous Waste Inc. akapiga simu hapo hapo kuulizia matokeo nikamuambia kuwa nimefanikiwa akaniambia ukirudi ofisini nina zawadi yako..


.Mzee Errol kwa mshangao makubwa sana akaniambia African mpaka Mzungu mwenye Kampuni anafuatilia leseni yako? You mean a lot to those White folks" akaongeza "ukiona Mzungu anakufurahia mweusi hivi ujue kesha ona potential yako ya kumuingizia pesa tukarudi Yard nikaagana na Mzee Errol nikaenda ofisini kwa My Big Boss Dina ...ITAENDELEA! 11

Ayooo Mchomvu wape mashavu wana wape mashavu.......Le Akiliz Kubwaz.
 
Ila jamaa anayo familia au hana kabisa??
naskia ametelekeza familia huko USA..but kwakuwa maneno yenyew nimeyaskia kupitia kwa watu sitaki kuamini zaidi hilo...!!?
nahata kama hilo suala litakuwa na ukweli nahisi kutakuwa na jambo ambalo sio lakawaisa ambalo lilimsukuma muhusika kuweza kufnya hilo suala
 
Watu km Lemutuz huwa waishi miaka mingi na yenye kwakua wanaishi maisha yasiyohitaji stress. Kwa wengine itawasumbua lkn ni kwaajiri yake na afya yake. Siwezi kuishi km yeye lkn ni mtu anae take things easy af anasonga. Tunaishia kupata stress, magonjwa hatimae vilema na pengine vifo kutokana na kufikiria kuhusu watu wengine mf. familia, mke, watoto, majirani, marafiki na hata jamii zinazo tuzunguka ndo sababu kubwa znazofanya hata wengine kuchanganyikiwa au kunywa sumu. Wanaweza wakawa wanakusema au wewe mwenyewe ukawa unajistukia kuwa labda wananionaje, au wananidharau n.k. Unaweza ona wenzio uliosoma nao wapo mbali kimaisha ww bado, wengine ni Mawaziri lkn ww hata uwenyekiti wa s/mtaa huna, wengine wamejenga wewe huna hata sehemu ya kulima bustani. Tunapaswa tuishi kwa imani kuwa Mungu ana wkt wake na kumshukuru kwa anachokupa kwa wkt huo na kufurahi kwakuwa afya yako bado ni njema, burudika, cheza Mziki, lala usingiz mnoono huku ukiendelea kumkumbusha Mungu kitu ulichokua unamuomba maishani mwako.
UMEGUSA AMBAPO HUWA NAPALENGA KABISAA KTK MAISHA YANGU ..HUWA NAWAAMBIA WATU KUWA SITAMANI KUWA MTU ASIYEJITAMBUA..ILA NATAMANI MAISHA YAWATU WASIOJITAMBUA..NASBABU KUU ZA KUTAMANI MAISHA YAO NI KAMA HIZO ULIZOZIELEZEA HAPO ...
mtu asiyejitambua hana pressure ya kuwa kwenye mahusiano ya aina yoyote Yale ..iwe nikuwa na mke/demu rafiki /Jamaa ..nyumba Gari .kazi nzuri /biashara wala mafanikio ya aina yoyote Yale .hata wanapokuwa na watoto huwa wanaishia kuwa telekeza tu ..so hali kama hiyo huwa inawafnya kutokuwa na msongo waaina yoyote ule kuhusu maisha yao...
 
PART 12: "MY AMERICAN EXPERIENCE"

so now l was a Commercial Driver Class A & Harzadous Material ni Leseni ambayo in USA inakuruhusu kuendesha anything on the Road infact l was now a Professional Driver ni Leseni inayoheshimiwa sana hata na Traffic.


wakikusimamisha ukiitoa tu wanakuwa Wapole kidogo isipokua tu inakupa Wajibu mzito sana Barabarani like ukigongana na gari lingine kosa linakua ni lako unless Traffic wa prove otherwise.


Kazini I was the Man of the hour cause kwanza kulisukuma Semi Trailer with matairi 18 at Downtown Manhattan kwangu iligeuka kuwa kama kuendesha Baiskeli infact sikuwa na saa maalum ya kuanza kazi kuna wakati ninaanza Saa Sita Usiku na siku nyingine Saa Kumi Asubuhi kazi iliyoisumbua sana my Company now ikawa "a piece of cake" kwa lugha ya the Americans.

lakini mwisho nikaamua kujipangia kuanza kazi Saa Kumi Asubuhi kila siku ili nipate muda wa kwenda College usiku kule Mahospitalini Wazungu wakaniamini sana mpaka wakanipa copy za Funguo za Loading Docks za Hospitali zao.


ninapokuja nafungua mwenyewe napiga kazi ninaenda front Desk Security Guard ananisainia paper maana Harzadous Material Papers sio mchezo.


masaa yangu ya kazi yakawa tofauti na wafanyakazi wengine wote nikawa sionekani kabisa lakini always nilikua intouch na my Supervisor Jack pamoja na 0wner Dina na Mume wake Russ.



kampuni ilikua na Mashindano ya Mfanyakazi Bora wa Wilki, Mwezi na Mwaka ukishinda unapata zawadi mbali mbali nilifanikiwa kuchukua zawadi zote kwa Miaka 10 mfululizo Mwisho owner akaamua kuziondoa cause ni theory iliyokubalika na kila mtu pale kazini kwamba hawezi kutokea wa kunishinda Vigezo vilikua Kuja kazini kila siku, kuwahi kazini, kumaliza kazi, kuvaa Uniform, na kukubalika na Wateja.


hakuna mizengwe wala ujanja ujanja ni Computer tu inasema nani anatakiwa kuwa mshindi.


siku moja Owner Dina akaniita 0fisini na kunipa Great News kama alivyosema kua Kampuni imepata mkataba mpya wa ku service Magereza yote makubwa ya New York City and State akasema ni wajibu mpya utakao nihusu yaani kuanza kwenda kupiga kazi ile ile na kwenye magereza kama kawaida nilikubali bila a sana wala kubisha cause my theory was hajanituma mtu kuja USA...ITAENDELEA! 13
 
PART 13: "MY AMERICAN EXPERIENCE"


my life's theory in Ameica was like sijalazimishwa na mtu kwenda kuishi kule so sina Sababu ya kulalamikia anything ila kupiga kazi tu na USA haijalishi kama umesoma sana ulikotoka as long as huna Green Card utaishia kufanya kazi yoyote ili u survive so l was a Marine Engineer lakini isingenisaidia lolote bila Green Card infact nakumbuka Mbongo mmoja ambaye Bongo alikua Engineer wa ndege ya Rais then na kule USA alikua anafanya kazi ya kulea matahira.


so who was l? l mean infact among all Wabongo wahangaikaji New York nilikua now ni mmoja wapo mwenye kazi nzuri na ya uhakika.


Boom nikaanza kupiga service Magereza siku ya kwanza nikaenda Manahattan Federal Prison ile Jela inayoheshimiwa sana USA maana ni ya Rumande Wahalifu mashuhuri Duniani wanaosubiri kesi zao l mean ipo Lower Manhattan Downtown karibu na Twin Towers.


nilipokaribia getini nikakutana na Askari wenye mbwa nikaamriwa kushuka chini Askari na Mbwa wakaingia Cabin na wakaingia nyuma ya Trailer.


nikaambiwa niwape Leseni yangu then nikaruhusiwa kuingia nikiongozwaa na Askari tukaanza kupishana na Mahabusu hatimaye Askari akaniuliza kama namjua Sammy Gravano nikamuambia nimewahi kumsikia.

akamuita Mahabusu aliyekua mbele yetu anavuta Cigar akamtambulisha kwangu shocked huyu ndiye Mafia wa hatari sana alikua msaidizi wa the Mafia King John Gotti ameua watu wengi sana kwa mikono yake nilikua natetemeka mwili mzima ila alijua kua sikua na nia hata ya kumuangalia usoni l was scared Askari aligundua akanionyesha sehemu ya kuingiza Trailer.



nikapiga kazi nikaondoka na nikagundua baadaye sana kua nimepewa kazi ya Magereza kwa sababu sikua na Criminal Record kwenye ID yangu USA ukiwa na tatizo na Sheria wanaingiza kwenye record za Serikali so pale mlangoni Magereza walipochukua my Leseni kumbe ndicho walichoenda kuangalia now wakikuta una record like ulikimbia kesi unabaki pale pale Magereza na kama un record huruhisiwi kuingia ndani.


nikaongezwa Mshahara now l was making 18 USD kwa saa nikatafuta Two Bedrooms apartment nikaanza kuishi vizur kwa mara ya kwanza after olmost one Years ya kusota sana pia nikaanza kuogopa U afraca nikatamani kuwa NIGGA. ITAENDELEA! 14
 
story haijafika mwisho lakini kuna kitu najifunza kwa huyu mtu
1. alitumia nafasi ya baba yake vizuri kiasi bila kuwa na utegemezi wa 100% tofauti na kama mimi mzee wangu angekua malechela nisingekaa nilale hata guest ya bei chee sembuse warehouse
2. Mpaka sasa hajalaumu sana familia yake amegusia kidogo umama wa kambo lakini hajaonesha athari za waziwazi kwenye maisha yake
3. kwa kiasi ni mfano wa kuigwa kwa watoto wa viongozi wengine kwa namna alivyohastle.
4. Naona hata now anauwezo wa kuwa billionaire kwa namna asivyo na aibu wa kujali he can do anything... ingawa mara nyingi mtu asiyekuwa na aibu busara yake inakua ndogo kiasi.

CHA KUNISHANGAZA...

Inaonekana jamaa jamaa alikua mdogo sana kipindi ambacho kwa Mimi tayari nilikua na mtoto kwa sababu ya hamu za ujana ...so jamaa hajaelezea hata nukta ya maisha yake ya mahusiano ....

Kingine kinachonishangaza kwa maelezo yake ukipiga hesabu alipotoka baharini alikua na pesa ndefu coz alikua havuti wala hanywi na misosi yote ni ya bure kwenye meli...lakini ni kama alianza moja from kwenye treni..sasa najiuliza alikua anasave how...labda sijaelewa..baharia mwaka mzima huna mpango na mwanamke ni hatari kidogo
 
Back
Top Bottom