Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Ahahah super mababez walikuja kunipokea u know? Me am super star u Know?

Hili ndilo jibu atakalo kupa ngoja aje [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi swala langu umenifanyia lakini
 
ebf4c6bd012ab56264415640edb544de.jpg

Cc. Shunie
Nakosa mauhondo shunie mm jaman najuta kuguna nakula block le kokobanga
 
Duh [emoji15] Le Mutuz kainingia USA Rais Ronald Reagan (1980-1988) [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu anasema kabla ya hapo alikuwa Ubeligiji miaka 5 kabla ya hapo.?!!
Inawezekana Le Mutuz alikuwa Kilanja shuleni wakati wazazi wetu wapo shule moja naye duh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
 
Huhuhu story inazidi kunoga

Le super tall[emoji3]he is humbled u know...
 
Kila siku nikitoka job nina kama tshs 2m.

acha kudanganya watu.
Siwezi kudanganya watu ; ulizia tu watu enzi za mzee rukhsa hapo long room ilikuaje?? Sema hivho kizazi wengi waliobaki bongo wametangulia mbele za haki; tulikua tunaondoka na mifuko ya rambo imejaa pesa sndugu yangu.. ni uamuzi tu mtu kuacha maisha fulani kuifuata your dream life sawa na le mutuz alivotaka kua niggaz.
 
Kuna watu wakiweka historia zao za kweli humu, zile za kuzaliwa uswahilini mbuzi kalamba reli, mama muuza gongo baba mpigisha kolokolo. Wame-hustle kichizi mpaka leo respect wanaburuza life, huyu Le Mutuz cha mtoto tu. Huyu kakua anakula mayai ya bure Ikulu ataongea nini, wakati watu wamezaliwa uswahilini mayai anasa.
Wabongo tutaacha lini kushindana kupitia shida?

MTU unawambia umeteseka, anasema hujateseka kama yeye...as if mnashindana
 
m
Siwezi kudanganya watu ; ulizia tu watu enzi za mzee rukhsa hapo long room ilikuaje?? Sema hivho kizazi wengi waliobaki bongo wametangulia mbele za haki; tulikua tunaondoka na mifuko ya rambo imejaa pesa sndugu yangu.. ni uamuzi tu mtu kuacha maisha fulani kuifuata your dream life sawa na le mutuz alivotaka kua niggaz.
mifuko imejaa pesa kila siku,na bado ukaamua fuata your dream kwenda nje-Au pesa Enzi hiyo haina thamani? bundle ya noti inanunua beer mmoja?
 
m

mifuko imejaa pesa kila siku,na bado ukaamua fuata your dream kwenda nje-Au pesa Enzi hiyo haina thamani? bundle ya noti inanunua beer mmoja?
Sio pesa ilikua haina thamani bongo palikua choka mbayaa,na ile hamu ya mamtoni tu. Ingawa bongo yenyewe haijabadilika kihivyo hata sasa bado ni choka tu, ingawa kuna unafuu fulani wa hali..uongo mbaya life ya bongo securitywise kwa wenyenazo ni zero; leo unaweza ukawa nazo ukatesa sana halafu kesho akaingia kiongozi mwingine na sera zake ukarudi kua kapuku wa kutupa. Mifano hai ninayo kwa waliobaki niliowaacha wako hoi bin taaban.
 
Wabongo tutaacha lini kushindana kupitia shida?

MTU unawambia umeteseka, anasema hujateseka kama yeye...as if mnashindana

Mkuu hiyo ni tafsiri yako wewe. Comment yangu inawaelezea watu waliozaliwa with nothing at home lakini wamachakarika mpaka wamerekebisha mambo na sasa much respect. Sasa sijui mashindano ya shida yako wapi hapo?
 
Why compare his hustles with others? Uliposema tuu "Lemutuz cha mtoto" tayari hayo ni mashindano
 
so what? kwani kupigwa na maisha ni dhambi? pesa huja na kupotea...i hope yeye (Lemutuz) siyo wa kwanza, na siyo wa mwisho kukumbwa na hizo misfortune. hata hivyo, maisha yake binafsi yanakuhusu nini? kwa nini umushikie bango na kashfa juu? why? sikutaka kujibu your comment, ila imenibidi tu. Records show kuwa unalalamikiwa na kila member humu JF kwa lugha isiyo na staha....kumbuka hakuna mkamilifu hapa Duniani. Yeah, may be Lemutuz ni ombaomba...Coz i don't know the guy in person...but what the fucker are you to judge him?. je wewe unajua future yako? think this way, Kesho ukigongwa na gari or uangukiwe na nyumba na u-paralyze mwili mzima...je hutokuwa ombaomba in one way or another?

THINK TWICE
Achana na huyo Jestkilla mkuu. Tayari picha inaonesha ni nani na ana uhusiano gani na Le Mutuz. Atulize kitenis, jamaa hana haja na urithi wanaoupigania kwa povu hilo.
 
Back
Top Bottom