Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

- Sawa sawa hebu iandike Citoyen kwa kilingala! piunguza maneno maneno kwenye hii story yagu ya USA huna la kuongeza wala kupunguza kaaa pembeni ujifunze tu!

le Mutuz
Sasa citoyen ni kifaransa ntaandikaje kilingala Sawa Sawa useme niandike water kiswahili which is wota
 
Le Mutuz huwa anakataa umri wake bure.

Marehemu Mzee Nyirabu alikuwa Office kati ya 1974-1989.

Mzee Jamali Waziri wa Fedha mara ya pili 1979-1983.

Roughly tuchukulie 1983 ndio aliomba Visa ya Belgium. Hadi kumaliza form 4, JKT etc si chini ya miaka 20. Jumlisha tofauti ya 2018 na 1983 inakuja 55 years Ndio Umri watu ambao huwa wanamwabia. Ila yeye anadai ana 35 yrs.
Mtoto wa kwanza wa lemutuz ana 36
 
Pamoja na Ujumbe wako unakosea kitu kimoja,
Kuziweka episodes zote mfulululizo,
Nadhani hata yeye hajashindwa kuziweka hivyo mfululizo kama unavyoziweka wewe, anaweka moja moja ili watu wazisome kwanza (Regardless ni za ukweli ama vipi).
Wewe unatakaje kwani coz tumekusongezea hapa JF Coz post zinakuwa published IG so mimi nafanya sharing coz sharing is caring so kama nawewe unaweza kuwa una post moja moja.
 
Sasa citoyen ni kifaransa ntaandikaje kilingala Sawa Sawa useme niandike water kiswahili which is wota

- Wewe ni mgeni wa WaCongo wao maneno yote ya Kifaransa wanayo kwa kikwao AIDS ni SIDA kwa Kilingala na Sida vile vile Mwananchi anaitwa kwa kifaransa Cintoyen kwa Kilingala wanaita Cintwayeen, ingawa kwa Kilingala Mwananchi ni Kintonzengu, hahahaha nimekaa Antwerpen na Brussels, nilikua nashinda Matonge nakijua Kifaransa na Kilingala nje ndani.

- Imagine Story nzima Parts. 31 wewe unalilia neno moja tu la Kifaransa hahahaha lazima una ishu kubwa ila unajificha nyuma ya Cintoyen sema nikusaidie hapa hahahahaha

le Mutuz Mobimba
 
- Wewe ni mgeni wa WaCongo wao maneno yote ya Kifaransa wanayo kwa kikwao AIDS ni SIDA kwa Kilingala na Sida vile vile Mwananchi anaitwa kwa kifaransa Cintoyen kwa Kilingala wanaita Cintwayeen, ingawa kwa Kilingala Mwananchi ni Kintonzengu, hahahaha nimekaa Antwerpen na Brussels, nilikua nashinda Matonge nakijua Kifaransa na Kilingala nje ndani.

- Imagine Story nzima Parts. 31 wewe unalilia neno moja tu la Kifaransa hahahaha lazima una ishu kubwa ila unajificha nyuma ya Cintoyen sema nikusaidie hapa hahahahaha

le Mutuz Mobimba
We lemutuz acha kuwetesa vijana bana.siyo mambo hayo endelea kuwapa darasa coz hawajatembea .
 
namtetea le mutuz hajawahi kata umri

- Binafsi sijawahi kuusema Umri wangu isipokuwa ukisoma my story utaona matatizo niliyoyapata kwenda Majuu kwa sababu ya Umri mdogo, na the story behind it ni kwamba baada ya kuachana na my ex Wife aliamua kuanza kunichafua kwenye mitandao na hasa alipojaribu kurudiana nikakataa. Akaanza kutangaza umri wangu wa uongo kwamba nina Miaka 55, baadaye ikawa 56, then 58 mwisho akasema miaka 60, alipoona haina impact yoyote ya mimi kukosa Wasichana hapa Bongo akaamua kuungana na Mange kunichafua, akampa copy ya my Passport ikarushwa Dunia nzima bado haikuwa na Impact ndio mpaka leo kila mtu asiyenipenda ana struggle na umri wangu ambao binafsi nimeamua kutoutaja ili kumuonyesha Shetani anayewaongoza wanaonishambulia kuwa hana nguvu na hajui what is my wekaness.

- Ninasema hivi mimi binadam mnyonge kama wengine wote na sio Mkamilifu, ila kwa sababu ninamjua Mungu for myself najua binadam alituumba binadam kwa mfano wake, na kwamba Mungu alimnyima Shetani kujua siri ya Weakness zetu binadam, so Shetani anapokushambulia anachofanya ni kubahatisha wapi unyonge wako upo kusudi akumalize. Binadam wanapokuchukia wanaongozwa na Shetani ndio maana kwenye my Story nilisema mpaka leo bado ninapigana na Shetani yule yule niliyeanza kupigana naye toka nikiwa mdogo isipokua siku hizi kwa kujua kuwa nina akili nyingi sana ananirushia makombora mazito sana, nilikataa toka nikiwa mtoto kumuonyesha Shetani my Weakness na mpaka leo sijakubali kumpa hiyo nafasi ya kumuonyesha kua amenipata, ndio watu wengu mnahangaika sana na mimi ni kwa sababu mnahangaishwa na Shetani ambaye anadhani anaweza kunivuruga kwa kutumia wajinga wengi kunishambulia.

- Imagine my ex Wife anayo copy za Passport yangu lakini mpaka leo na yeye anahangaika kusimamia umri wangu wewe huoni kua ni maajabu ya Dunia?

- Now majuzi Shetani kabahatisha sana kuchukua kipande cha Video kwa wizi akadhani sasa kanipata, hahahahaha matokeo ni kagundua kua wala hata sijatingishika so anahangaika maana alishawaaminisa watu wake wajinga kwamba kwa hii kivideo atanimaliza hahahahahaha, na yote hii nini ni urithi wa Baba yetu mzazi ambaye yupo hai inasikitisha sana,

- Ninakumbuka nikiwa mdogo ndugu yangu wa kiume Marehemu Senyagwa alipofariki Dunia (Mungu Amuweke Pema Peponi) vichwa vya habari vya Magazeti vilisema "MTOTO WA KWANZA NA PEKEE WA KIUME WA WAZIRI MALECELA AFARIKI DUNIA" ilinishangaza sana as of WHY wameandika vile na huku wanajua nipo na wanjua kua kuna mwingine marehemu Ippy Malecela na yeye ni mtoto wa Malecela? Nani aliyewatuma kuandika vile? Ndio maana ninasema huyo ni Shetani niliyanza naye siku nyingi sana kupigana naye, nia na madhumuni yamekuwa ni kuhakikisha Dunia inaamini mimi sipo na kwa bahati mbaya sana hata my ex Wife naye akatumbukia huo mtego, leo my ex hataki niwaone watoto wangu lakini yupo radhi kuwapelekea kwa maadui zangu za jadi ..hahahahahaha....lakini sijawahi kutingishika wala kubabaika mwendo wangu wa maisha ni ule ule,

- So now najua Shetani anajipanga upya baada ya kuona kivideo hakina effect najua atakuja na kituko kingine cha ajabu maana ni kazi yake kuwaaminisha wale wanaomuamini kua ana nguvu, ambazo ninajua kwa kumjua Mungu hana ndio mimi nipo mpaka leo. Suala la umri analijaribu sana kulitumia Shetani lakini anashindwa kwa sababu sijampa nafasi hahahahahahaha!

I hope nimewasaidia wengi hapa leo kwa haya maneno machache lakini mazito sana ninajua hilo!

le Mutuz Mobimba!
 
Back
Top Bottom